Elections 2010 Madhara ya kutokumtambua Rais

Mvaa Tai

JF-Expert Member
Aug 11, 2009
6,159
4,442
Wana jf naombeni mnisaidie katika hili, hivi Tamko la Dk slaa kwamba Chadema haimtambui JK kama rais wa Nchi lina madhara yeyote kwa CCM au serikali iliyopo madarakani? na mimi kama mwana-CHADEMA nifanye nini ili kuonyesha kwamba simtambui Rais?. Maana majuzi nilitaka nikatae kumpisha barabarani kwasababu na mimi simtambui kama ni rais wa Tanzania lakini roho yangu ilisita kidogo.
 
Kwanza kabisa unatakiwa uelewe maana ya kutotambua matokeo pamoja na JK.
Slaa Dr. (Heshima kwake) hakujitokeza siku ya kutangazwa JK mshindi na hata kuapishwa kwake kama akina Lipumba walivyofanya si sababu ya Chuki binfsi na JK, laa.

Silaa kama angejitokeza katika matukio yote haya angeonyesha picha ya kukubaliana na mchakato mzima wa uchaguzi na utangazaji wa matokeo ambao ulikuwa mchafu, kwenda na kumkumbatia akimpongeza JK kama wagombea wengine angekuwa kakubali kuwa kikwete kashinda halali.

Hivyo kilichopo hapa ni kutokukubaliana na mchakato mzima wa uchaguzi na utangazaji wa matokeo uliofanywa na NEC ya CCM. Kama mchakato ulikuwa batili na matokeo pia batili, how comes umkubali mshindi? Dr. Slaa na Chadema wako sahihi

Msiwalazimishe wakubali kitu kwa mkumbo tu, kukubali matokeo ni kuwapa NEC na CCM go ahead ya mambo yao machafu
 
Madhara yapo sana hasa kwa JK mwenyewe ndo maana hata wabunge wa CHADEMA walioko Dodoma wanatakiwa kutoka nje ya ukumbi wa bunge mara JK atakapoanza kuhutubia..tena ikiwezekana wachukue draft na karata wawe wanacheza kabisa muda wote wa hotuba yake..akimaliza basi warudi ndani au waende zao chako ni chako kula kuku..Hiyo itatuma salamu very clear kuwa JK hupendwi na umeiba kura kuwa rais
 
Wana jf naombeni mnisaidie katika hili, hivi Tamko la Dk slaa kwamba Chadema haimtambui JK kama rais wa Nchi lina madhara yeyote kwa CCM au serikali iliyopo madarakani? na mimi kama mwana-CHADEMA nifanye nini ili kuonyesha kwamba simtambui Rais?. Maana majuzi nilitaka nikatae kumpisha barabarani kwasababu na mimi simtambui kama ni rais wa Tanzania lakini roho yangu ilisita kidogo.

Kaka huo ndio uzalendo. Siku nyingine lala barabarani uzuie msafara, hakika utakufa shujaa.:nono::nono::nono::nono::nono:
 
Madhara yapo sana hasa kwa JK mwenyewe ndo maana hata wabunge wa CHADEMA walioko Dodoma wanatakiwa kutoka nje ya ukumbi wa bunge mara JK atakapoanza kuhutubia..tena ikiwezekana wachukue draft na karata wawe wanacheza kabisa muda wote wa hotuba yake..akimaliza basi warudi ndani au waende zao chako ni chako kula kuku..Hiyo itatuma salamu very clear kuwa JK hupendwi na umeiba kura kuwa rais
Hee!
Hivi hili lawezekana?...anxiously waiting, time talks!
 
Madhara yapo sana hasa kwa JK mwenyewe ndo maana hata wabunge wa CHADEMA walioko Dodoma wanatakiwa kutoka nje ya ukumbi wa bunge mara JK atakapoanza kuhutubia..tena ikiwezekana wachukue draft na karata wawe wanacheza kabisa muda wote wa hotuba yake..akimaliza basi warudi ndani au waende zao chako ni chako kula kuku..Hiyo itatuma salamu very clear kuwa JK hupendwi na umeiba kura kuwa rais
Ningependa sana ningelikuwa mbunge nioneshe mfano wa kutomkubali maana hata kwenye quote zangu sitamtaja rais nitamtaja kwa jina lake bila kuainisha cheo chake.
Madhara yapo kwake sana kisaikolojia.
mie nimeshajitoa kusikiliza hotuba zake tena sana sana nitasoma quotes zake chache pale media itakapomake headlines na nitazitumia kikamilifu kumjaji huyu MCHAKACHUZI
 
Wana jf naombeni mnisaidie katika hili, hivi Tamko la Dk slaa kwamba Chadema haimtambui JK kama rais wa Nchi lina madhara yeyote kwa CCM au serikali iliyopo madarakani? na mimi kama mwana-CHADEMA nifanye nini ili kuonyesha kwamba simtambui Rais?. Maana majuzi nilitaka nikatae kumpisha barabarani kwasababu na mimi simtambui kama ni rais wa Tanzania lakini roho yangu ilisita kidogo.

Matamshi ya kiongozi wetu Dr Slaa yanawakilisha mawazo na misimamo ya watanzania waliowengi ambao wamechoshwa na maovu ya JK na Chama chake. Hivyo ni vema kumuunga mkono kwa kupinga kwa nguvu zote na bila kuficha yote maovu yaliyofanyika katika uchaguzi hadi kupelekea kumpata raisi!! Siyo vema kugoma kumpisha JK barabarani kwani kumbuka huyo jamaa ana dola ambayo inatii yote toka kwake mema na mabaya! Siku inakuja ambayo JK na CCM hawajui siku wala saa!!!:nono::nono::nono::nono::nono:
 
Ningependa sana ningelikuwa mbunge nioneshe mfano wa kutomkubali maana hata kwenye quote zangu sitamtaja rais nitamtaja kwa jina lake bila kuainisha cheo chake.
Madhara yapo kwake sana kisaikolojia.
mie nimeshajitoa kusikiliza hotuba zake tena sana sana nitasoma quotes zake chache pale media itakapomake headlines na nitazitumia kikamilifu kumjaji huyu MCHAKACHUZI

Kitu ambacho nasubiri nione ni je kama wabunge wa Chadema watatoka nje ya bunge pindi Kikwete atakapokuwa anahutubia
 
hakuna madhara kisheria cause kuna aina mbili za serikali
1.serikali iliyo madarakani kwa mujibu wa sheria (de jure).......ni kama yetu na dunia nzima itaitambua hivyo......hapa chadema wanakataa mfumo uliouweka uongozi huu otherwise wangelazimisha no2 ndo kuvunja sheria.

2.serikali iliyo madarakani kwa nguvu (de facto)
 
Hivi rais wa watanzania ni nana? ,Kwenye kujitangazia ushindi na kujiapisha niliona kijani tu tofauti na mwaka 2005ambapo mie nikiwa Mlimani nilienda kuona live baadhi ya viongozi wa Africa.

Nisaidieni pia eti hapa EA hakuna rais aliyekuwa rafiki wa Kikwete alipokuwa rais ?
 
Kitu ambacho nasubiri nione ni je kama wabunge wa Chadema watatoka nje ya bunge pindi Kikwete atakapokuwa anahutubia

Hivi sheria na kanuni za bunge zipoje ktk swala kama hili la kutoka nje ya ukumbi?
Isije ikawacost na tukawapoteza mashujaa wetu.
 
Madhara yapo sana hasa kwa JK mwenyewe ndo maana hata wabunge wa CHADEMA walioko Dodoma wanatakiwa kutoka nje ya ukumbi wa bunge mara JK atakapoanza kuhutubia..tena ikiwezekana wachukue draft na karata wawe wanacheza kabisa muda wote wa hotuba yake..akimaliza basi warudi ndani au waende zao chako ni chako kula kuku..Hiyo itatuma salamu very clear kuwa JK hupendwi na umeiba kura kuwa rais

Hii ndiyo AK47 yetu iliyobaki
 
Kutomtambua maana yake kutoshirikaian naye kwa namna yoyote ile...ikiwemo kuunda serikali ya pamoja....pia ni muvu nzuri kwa kuelimisha umma kuwa Rais hakupita katika kura bali kalazimisha kuendelea madarakani
 
Kisiasa: Chama au mtu binafsi unaweza usimtambue Rais (ruksa)

Kisheria: JK bado ni Rais, ama unamtambua au humtambui

Athari: Foreign denting and a big blow for internal politics on CCM side.
 
Madhara yapo sana hasa kwa JK mwenyewe ndo maana hata wabunge wa CHADEMA walioko Dodoma wanatakiwa kutoka nje ya ukumbi wa bunge mara JK atakapoanza kuhutubia..tena ikiwezekana wachukue draft na karata wawe wanacheza kabisa muda wote wa hotuba yake..akimaliza basi warudi ndani au waende zao chako ni chako kula kuku..Hiyo itatuma salamu very clear kuwa JK hupendwi na umeiba kura kuwa rais

Leo nimesoma gazeti la mwananchi,ambapo inasemekana Wabunge wa CHADEMA wameamua kuendelea kukaa bungeni wakati rais atakapokua anahutubia bunge!!mimi binafsi sikubaliani nao,ningependa watoke bungeni wakati rais atakapokua anahutubia!!
 
kwa mujibu wa kamanda mbowe(kamanda wa anga)wabunge wa chadema wataudhuria siku jk atakapo hutubia bunge.
 
Madhara yapo sana hasa kwa JK mwenyewe ndo maana hata wabunge wa CHADEMA walioko Dodoma wanatakiwa kutoka nje ya ukumbi wa bunge mara JK atakapoanza kuhutubia..tena ikiwezekana wachukue draft na karata wawe wanacheza kabisa muda wote wa hotuba yake..akimaliza basi warudi ndani au waende zao chako ni chako kula kuku..Hiyo itatuma salamu very clear kuwa JK hupendwi na umeiba kura kuwa rais

I like this. Wabunge wa chadema watakuwa na ujasiri huu au ndani kutakuwapo wakina lipumba?
 
Madhara yapo sana hasa kwa JK mwenyewe ndo maana hata wabunge wa CHADEMA walioko Dodoma wanatakiwa kutoka nje ya ukumbi wa bunge mara JK atakapoanza kuhutubia..tena ikiwezekana wachukue draft na karata wawe wanacheza kabisa muda wote wa hotuba yake..akimaliza basi warudi ndani au waende zao chako ni chako kula kuku..Hiyo itatuma salamu very clear kuwa JK hupendwi na umeiba kura kuwa rais
Hii iko sawa dawa ya mwizi ni kumuita mwizi watu wamjue.Ngoja tuone hatua ifuatayo.
 
Leo nimesoma gazeti la mwananchi,ambapo inasemekana Wabunge wa CHADEMA wameamua kuendelea kukaa bungeni wakati rais atakapokua anahutubia bunge!!mimi binafsi sikubaliani nao,ningependa watoke bungeni wakati rais atakapokua anahutubia!!

Ingefaa wabunge wa chadema watoke nje wakati rais atakapohutubia ili kuonyesha kutoridhika na ushindi wake.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom