Madhara ya kutoka na changu yamenikuta

Madhara ya kutoka na changu yamenikuta

Kijana,
1. Umeongea Habari za "safe days" ulikuwa na hakika? Unajua PIA kuwa kuna exceptions kwenye ovulation process Kwa Wanawake tofauti?
2. Mtoto ameshazaliwa Kwa nini usiende kupima DNA ili kuwa na uhakika na sio kubaki na mawazo ya kufikirika.
3. Kwa maelezo yako inaonekana umefika advanced level ya secondari na labda ulifika Chuo, mbona namna yako ya kupata majibu ya kitu kidogo namna hii ni ya chini sana? Elimu imekukomboa kweli?

Pamoja na Biology yako uliyoitaja kwenye Uzi bado unataka kufanana sura na Mtoto?!
Hivi Genetics ni form 3 au 4?!

Kama hutojali nipo tayari kukusaidia kupata kipimo cha DNA ili hili lifikie hitimisho.
 
ndo wanakuja kuwa wakina diamond wabadae then wanawakataa mnaanza"ooohh unajua,hanijar babaake mara ooohh "
 
Hujamtendea haki huyo dada wala kiumbe kilichopo tumboni mwake. Hata kama una wasiwasi usimpunish emotionally.
Nawasiwasi na Biuology yako--Mtoto huzaliwa anywhere from 36 to 41 weeks sasa unawasiwasi wa nini?
Kwenye thread unajichanganya mwanzo unasema alionyesha kukupenda - ghafla unasema ni malaya atakuwa na watu wengi. Kwani malaya si mwanamke mwenye moyo na hisia na ambaye anaweza siku moja kumpenda mtu mmoja?
Jitafakari na uwe mwanaume sahihi, take your responsibility brother. Damu yako unayoikataa itakulilia milele daima.
 
Kijana,
1. Umeongea Habari za "safe days" ulikuwa na hakika? Unajua PIA kuwa kuna exceptions kwenye ovulation process Kwa Wanawake tofauti?
2. Mtoto ameshazaliwa Kwa nini usiende kupima DNA ili kuwa na uhakika na sio kubaki na mawazo ya kufikirika.
3. Kwa maelezo yako inaonekana umefika advanced level ya secondari na labda ulifika Chuo, mbona namna yako ya kupata majibu ya kitu kidogo namna hii ni ya chini sana? Elimu imekukomboa kweli?

Pamoja na Biology yako uliyoitaja kwenye Uzi bado unataka kufanana sura na Mtoto?!
Hivi Genetics ni form 3 au 4?!

Kama hutojali nipo tayari kukusaidia kupata kipimo cha DNA ili hili lifikie hitimisho.
Unachosema ni sawa mambo ya inheritance na variation nayajua vizuri.dawa ni DNA ila sio mbaya kushare mawazo na marafiki..sasa nisaidie nifanikishe DNA testing mkuu
 
kama ni wako huyo mtt na umemkataa,nakuambia kitu kimoja leo, ila kitakuja kukupata badae, huyo mtt akipitia kipind kigumu ambacho wewe ungeweza kumsaidia, basi akilia tu we baraka zinapungua na unapata misuko suko mingi maishani, kwa ufupi udumia huyo mtt, si lazima mfanane midomo, mnaweza fanana hata makalio, au jinsia au mashavu, au hata macho.
Sijamkataa wala sijamkubali..nadhani unaelewa hii situation
 
Kumpotezea bila kupima na kuwa na uhakika ni kukimbia majukumu. Ukitaka kuruka agana na nyonga kapime DNA! kama ni mwanao utakua unatenda thambi kubwa kumkimbia mama na mtoto wako. Nenda kapime DNA ujue na uwe huru
Unachosema ni kweli
 
SIO KILA KINACHO POSTIWA HUMU HUWA NI FICTION STORIES..WENGINE NI MAISHA TUNAYO YA FACE KABISA
 
Habarini..
..

Basi bwana baada ya miezi mitatu nilirudi na nikakuta kweli ana mimba changa ya miezi miwili.. Kishingo upande nilikubali japo BIOLOGY yangu niliyo soma advance inakataa kutokana na siku tulizofanya ki biology zilikuwa safe na mimba isingetokea, ila kutokana na vyakula na magonjwa inaweza tokea mwanamke akashika mimba hata kama yuko kwenye siku salama..
.

Samahani lakini....how come umesafiri miez 3 umekuta ana mimba ya miez 2 ambayo umempa before safari
 
BAR MAID WA TANZANIA ASILIMIA 95% NI MATATIZO
 
Samahani lakini....how come umesafiri miez 3 umekuta ana mimba ya miez 2 ambayo umempa before safari
Kabla hata sijarudi alisha nambia kwa simu..situation iko hvyo kama kuna kosa basi ni mpangilio tu kiuandishi
 
Habarini..

Kiukweli naandika uzi huu nikiwa na majonzi na moyo unaniuma.

Mimi ni mwanaume mwenye tabia ya kwenda bar nakupata kinywaji moja moto moja baridi na kurudi home,huwa napenda pia kwenda live band na kufurahi na marafiki. Juzi niliweka uzi wenye title isemayo "WIMBI LA WATOTO WANAOKATALIWA NA BABA ZAO LAONGEZEKA. Uzi huu ulikua na maana kubwa sana maishani mwangu..

Siku moja nilienda bar jirani na home hapa na nikakuta kuna muhudumu mpya (bar maid) alikua mrembo na tamaa za mwili na pombe nikajikuta nimemtokea nikiomba chezo.. Alichonijibu ni kwamba hawezi kulala na mwanaume bila hela.. Hapo nikaelewa alikuwa kibiashara zaidi. Kweli mimi nilimpa pesa tukaenda room nikatupia ila bahati mbaya jezi ilipasuka so nikawa kwenye hatari zaidi magonjwa..

Kesho yake nilimuuliza afya yake maana kilichotokea jana sio kizuri. Akanambia yuko vizuri hana HIV basi nikamkomalia na kumtishia maisha endapo ningepatwa na gonjwa. Yule binti kusikia hivyo alienda kupima na kuniletea kipimo na majibu kuwa yuko fresh.. Mazoea yakazidi kwa uzuri wake nikapiga tena safari hii sikumpa hela na wala hakuniomba..

Basi akawa kama dia wangu maana nilikua napiga bure na alionesha kunipenda sana. Siku moja sielewi ni kwanini alinipigia simu na kudai ana hamu na mimi.. Nilimwambia sijisikii vizuri ila alinilazimisha sana hadi nikaenda na tukalala wote usiku ule..

Huyu dada kwa mwonekano ni kicheche mzoefu kwasababu siku hiyo tumelala wote usiku nilichukua simu yake nikakuta meseji kamtumia jamaa mwingine kuwa "ana hamu naye" kumuuliza akajitetea..

Picha likaanza mimi natakiwa nisafiri kikazi kwenda Morogoro. Nilimwambia kuhusu safari yangu na akaanza kusema niondoke nae kwani anahisi ana mimba.. Nilikataa nikamwambia asubiri nitarudi ali force sana ila nilimshinda. Ile kuondoka akanitumia meseji kuwa kapima ana mimba, nikamuuliza ya muda gani akasema hajui hadi ultra sound.. Nikamuuliza ni ya nani akadai yangu..

Ilikuwa shida kukubali coz niliwaza;
1. Kanambia hivyo ili niwe namtumia hela
2. Ameniona nina unafuu wa maisha
3. Ni malaya na kashindwa kujua ni mimba ya nani akaamua anitafute mimi aliyenizoea
4. Hana mimba ila anatengeneza mazingira ya kuvuna hela zangu..

Basi bwana baada ya miezi mitatu nilirudi na nikakuta kweli ana mimba changa ya miezi miwili.. Kishingo upande nilikubali japo BIOLOGY yangu niliyo soma advance inakataa kutokana na siku tulizofanya ki biology zilikuwa safe na mimba isingetokea, ila kutokana na vyakula na magonjwa inaweza tokea mwanamke akashika mimba hata kama yuko kwenye siku salama..

Nikaanza kuhudumia mimba ki shingo upande ila ilifika point miezi mitano nikaacha hadi nimuone mtoto.. Nilianza kujiona boya kuhudumia kitu nisichokuwa na uhakika nacho..

Kimahesabu yangu mtoto alizaliwa akiwa na miezi nane na wiki mbili kitu ambacho kilinishtua zaidi.. Kumuuliza akajifanya haelewi. Nikamwambia sikupi hela hadi nimuone mtoto kama anafanana na mimi coz muda anajifungua mimi nilikuwa safari.. Akasema poa.. Baada ya miezi miwili akanitumia picha za mtoto ili nitoe maamuzi kama nakubali au nakataa ye aendelee na maisha yake coz tangu mimba ikiwa ndogo sijamsaidia lolote..

Niliziangalia zile picha za mtoto ila bado sikuelewa coz pia ndugu zangu walisema hatufani na wengine wakasema tunafanana kidogo.. Ikabidi nimwambie mama ili akamuone huyo mtoto coz kina mama huwa hawapotei..

Baada ya kumwambia huyo binti mpango wa mama kumuona mtoto binti alikataa na mimi nikapatwa hasira nikamwambia asinitafute na namba yangu afute, yeye pia alijibu jeuri kuwa hatanitafuta na kweli sasa hivi ni mwezi hatujawasiliana.

Upande wa pili moyo wangu unamkubali mtoto ila muda mwingine unamkataa pia.. Mimba haijafikisha miezi tisa..

Ni hayo tu ndugu zangu mjifunze kupitia mimi na kama mna maoni pia karibuni.
hamna ubaya kama si wako atakuwa wa kufikia si haba, wengine hata wakusingiziwa hatuna.
 
kwamba ulisafiri kwa miezi mitatu ukarudi na kukumta demu wako ana mimba ya miezi miwili???? mlikuwa mnatumie blue tooth au email kutengeneza hiyo mimba? kwa hiyo nawe umejiridhisha kabisa kwamba hiyo ni mimba yako? au ndio unajifunza kuandika insha brother?
 
kwa hiyo umeacha ubadhuli ama maana unatia huruma du.Lakini msaidie tu fanya kama ni mtoto wako wa kuadapt na Mungu atakubariki si haba akaja kukusaidia pia.
 
Bad perception... You are just judgemental. It seems kuna yaliyokukuta,inategemea uligusa wapi. I bet you have a mother and a sister or sisters too...are they also corn artists?!! Acha hizoooo wewe
Them being mothers or sisters it don't take away what they real are.At the end of the day mothers or sisters are still women.And I'm talking bout women it doesn't matter which name they're been addressed in the society.....
 
kwa hiyo umeacha ubadhuli ama maana unatia huruma du.Lakini msaidie tu fanya kama ni mtoto wako wa kuadapt na Mungu atakubariki si haba akaja kukusaidia pia.
Ni ushauri unahitaji moyo wa simba kuufata..any acha nitulie kwanza asante kwa ushauri
 
Huyo mtoto ni wako mkuu ukimwachia huyo bidada ateseke nae ujue imekula kwako
 
kwamba ulisafiri kwa miezi mitatu ukarudi na kukumta demu wako ana mimba ya miezi miwili???? mlikuwa mnatumie blue tooth au email kutengeneza hiyo mimba? kwa hiyo nawe umejiridhisha kabisa kwamba hiyo ni mimba yako? au ndio unajifunza kuandika insha brother?
Hilo nimeshalijibu kuna makosa ya kiuandishi ila hii ndio situation nayo iface asee
 
Back
Top Bottom