maulana majaliwa
JF-Expert Member
- Jun 3, 2016
- 261
- 143
Chanzo cha yote hayo moja moto moja baridi acha ziongewe kodi tu wajinga bado wengi
Kwa mtoto au anasa zingine..Mungu akusamehe
Bora hiloEasy, pima dna utapata hakika mambo ya kizamani ya kuangalia sura tu sio.
Mjomba sikumla kavu ila jezi ili pasuka na baada ya ku mind sana ikabidi tukapime na ndipo tukajikuta afya zetu zipo salama..hiyo bar ni jiran na home na nilipazoea sana..jamaa una roho ngumu sana, barmaid kavu kavu....achana na hiyo habari ya mtoto,,,, unajitia stress bure,,,halafu unajisifia jisni ulivomla bure,,,,,thamini uhai wako mkuu,,, tafuta pamanenti au oa kabisa,,,,,hao bar maid ni hatari zaidi ya vyangudoa....ukishindwa krb CHAPUTA.
Na hicho ndicho nachokiugopa coz siwezi kukubali au kukataa..ila muda mwingine huwa nataka niwapotezee tu wasinipe stressDaah kweli dada alipata zali la mentali. Make sure you do DNA before you invest a lot of feelings to the child.
No usipotezee. Kwa hii scenario DNA muhimu ili na wewe uwe na amani na mtoto apate haki zake za msingi.Na hicho ndicho nachokiugopa coz siwezi kukubali au kukataa..ila muda mwingine huwa nataka niwapotezee tu wasinipe stress
Chaputa:jamaa una roho ngumu sana, barmaid kavu kavu....achana na hiyo habari ya mtoto,,,, unajitia stress bure,,,halafu unajisifia jisni ulivomla bure,,,,,thamini uhai wako mkuu,,, tafuta pamanenti au oa kabisa,,,,,hao bar maid ni hatari zaidi ya vyangudoa....ukishindwa krb CHAPUTA.
Kumpotezea bila kupima na kuwa na uhakika ni kukimbia majukumu. Ukitaka kuruka agana na nyonga kapime DNA! kama ni mwanao utakua unatenda thambi kubwa kumkimbia mama na mtoto wako. Nenda kapime DNA ujue na uwe huruNa hicho ndicho nachokiugopa coz siwezi kukubali au kukataa..ila muda mwingine huwa nataka niwapotezee tu wasinipe stress
Bad perception... You are just judgemental. It seems kuna yaliyokukuta,inategemea uligusa wapi. I bet you have a mother and a sister or sisters too...are they also corn artists?!! Acha hizoooo wewePole sana....
Lakini iweke hii akilini mwako.Women are the greatest corn artists in the world,love them but trust none of ’em cuz trust turns into a double edged sword when given to a female friend.
Hapo mimi ndo paliponishinda, labda alikuwa anapiga kwa bluetooth. Ndo maana mtoto alizaliwa na miezi 8.Yaan wewe uliondoka kikazi kwa muda wa miezi mitatu...halafu ukarudi ukakuta ana mimba ya miezi miwili!!!!
Hongera kwa kupata mtoto.