Madhara ya kutoka na changu yamenikuta

Madhara ya kutoka na changu yamenikuta

Pole sana....
Lakini iweke hii akilini mwako.Women are the greatest corn artists in the world,love them but trust none of ’em cuz trust turns into a double edged sword when given to a female friend.

When you think about it, there's only 2 people in the World, a man and a woman opposite of each other. When you look closer at them you would find they are one of the same for without the other one can not be.
 
Man came first then a woman ruined everything....
 
Niko sawa..nilisha pima tayari
Kapime na DNA ya mtoto. Tusitake kuishi kwa kubahatisha kuangalia sura jambo la msingi wakati teknolojia nzuri ipo.

Tukibishana kama Julius Nyerere alikuwa kweli ni mtoto wa Chief Nyerere Burito inaweza kuwa sawa, hakukuwa na DNA testing siku hizo.

Tukibishana kama huyu ni mwanao ama la wakati kuna vipimo vya kisayansi sasa huu utakuwa ama ni umasikini ama ujinga.

Quite possibly vyote.
 
Umaskini wako wa kutotoa laki tano mpime dna ndo utakuponza. Haya fanya hii njia ya kimila kama sio wako jiandae kugaramia msiba. Mtoto akilala toa ka dushe kako mpige kichwani kama ni wako hafi kama si wako nawatakia msiba mwema.

N:b. Zoezi hilo lifanye mama mtoto wakati hayupo. Kazi njema.

Lastly ubahili ni mbaya sana.
 
Mkuu nimeanza michakato ya DNA nitaleta mrejesho
 
Kapime na DNA ya mtoto. Tusitake kuishi kwa kubahatisha kuangalia sura jambo la msingi wakati teknolojia nzuri ipo.

Tukibishana kama Julius Nyerere alikuwa kweli ni mtoto wa Chief Nyerere Burito inaweza kuwa sawa, hakukuwa na DNA testing siku hizo.

Tukibishana kama huyu ni mwanao ama la wakati kuna vipimo vya kisayansi sasa huu utakuwa ama ni umasikini ama ujinga.

Quite possibly vyote.
Sawa mkuu nimeanza process za DNA
 
Hakuna haja ya kukataa mtoto kama kuna probability hata ya asilimia sabini kuwa ni wako. Unajua hata hawa watoto wa kwenye ndoa usikute tunabambikiwa pia. Lea kama vile umejitolea kulea mtoto yatima.
 
Huna cha kupoteza nini mkuu? maana unajitoa muhanga kama vile uhai unaspea au unafaa kufomati na kuweka mwingine mpya.
 
aisee,wanawake sijui tuliwakosea wapi wanaume! duu,inauma sana
 
Back
Top Bottom