Madhara ya kutoka na changu yamenikuta

Madhara ya kutoka na changu yamenikuta

DALILI ZINAONESHWA MLIKUWA MABABA WAWILI...ILA MZEE MWENZANGU UKIPIGA MAMBO HAYO JARIBU KUWA MZIMA KIAFYA MAANA POMBE SI MCHEZO MDA MWINGINE UNAWEZA KUAMBULIA UKIMWI........ASA KAMAULIVYOTUAMBIA KUWA C*NDOM ILICHANIKA
 
Mjomba sikumla kavu ila jezi ili pasuka na baada ya ku mind sana ikabidi tukapime na ndipo tukajikuta afya zetu zipo salama..hiyo bar ni jiran na home na nilipazoea sana..
Condom/mpira wa kiume+Electronically tested-(minus)BARMAID used la nguvu=papooooooch isiyotight haiwezi kupasua condom.
Uliamua kama kawaida yako kula kav-kav au "wannyama"
 
Na inawezekana siku ambayo alikuwa na hamu ndo alikuwa kwenye joto, na wewe ukakilalia mpaka asubuhi. Hongera mkuu
 
DALILI ZINAONESHWA MLIKUWA MABABA WAWILI...ILA MZEE MWENZANGU UKIPIGA MAMBO HAYO JARIBU KUWA MZIMA KIAFYA MAANA POMBE SI MCHEZO MDA MWINGINE UNAWEZA KUAMBULIA UKIMWI........ASA KAMAULIVYOTUAMBIA KUWA C*NDOM ILICHANIKA
Sawa
 
1.Wewe ulinogewa na ukajisifu kupata vya bure, ni wazi kinachokusumbua ni pesa ya malezi kwa huyo mtoto, Hasa ukizingatia wewe ni mpenda pombe, kama una kipato kidogo lazima utafute deffence mechanism.
2.Unataka huyo mtoto mfanane nini??? Kama ni kweli una nia na huyo mtoto mkapime D.N.A.

3. Wakati unalala na huyo binti alikwambia amefunga kizazi au wewe ulikuwa umehasiwa??? mpaka ushangae kukwambia ana mimba yako?? umaskini unakuja kwa njia nyingi ikiwepo ya mimba zisizotarajiwa, Halafu unazalishaje hovyo kama mbwa huoni unadhalilisha damu yako.

4. Kichwa cha habari kinapaswa kusomeka TAMAA YANGU IMENIPONZA NIMEPATA MAJUKUMU NISIYOTARAJIA.
 
Kweli,ila nitapima DNA sio vizuri apate tabu na mm nipo..kama sio wangu nita piga chini..najichanga kwa DNA sasa

Cheki pia ngoma, maana huwa hainekani kirahisi. Unaweza pima mara 2 haipo, mara ya 3 unayo: Hebu msikilize Ferooz kwanza:
 
Back
Top Bottom