Madhara ya kutofanya mapenzi kwa muda mrefu

Madhara ya kutofanya mapenzi kwa muda mrefu

...Zifuatazo ni sababu 10 ya madhara yake:
1. Kutotoa maamuzi sahihi
2. Kuwa kwenye ligi ya kipekee ya kupiga sana nyeto kushindana na hisia zako
3. Kucheka hovyo uonapo vijusi, kuku, na wanyama wengine wakilana uroda
4. Kupanda daladala kila wakati na chenji kibao ili uwalipie kinadada kutegemea utapata uroda
5. Kuwa na hasira ukiwa peke yako
6. Kujihisi umerogwa na ex wako hivyo ujikuta ukipiga sana nyeto kuona kama bado una nguvu
7. Kujihisi ms.enge na kujiremba kupindukia mithali ya Ben Kinyaia
8. Kuwahi kulala usiku ili usikilizie jirani zako wanafanya nini
9. Kupenda kuangalia sinema za X kila mara na kununua magazeti ili usome ujinga wa mastaa feki wa kibongo
10. Kutamani kujiingiza kwenye bongo movie ili upewe uroda na kina Wema Sepetu na wenzake

Upo sahihi kabisa mkuu.
Mean nilikata miaka mitano bila ku do.. nilikua mtata ile mbaya
 
Take it from me .Your body is a temple from God .Tulia,nilitulia for 6 years before I met my husband the father of my kids .nilivyompiga kibuti x wangu nilijirusha wewe nikaingia college George Washington after 2 years in college I met my hubby.A men I was dreaming of.rich handsome ,good in bed,caring yaani .Tulia

majini pia wanawapenda watu wa namna hii na huweka makazi miilini mwao.
 
hakuna madhara... si unaweza kupiga punyeto......hapo hufanyi mapenzi......unayetoka tuu...
 
Hakuna madhara ndiyo maana biologically kwa wanaume zinapozidi zinatoka zenyewe ndotoni ukiwa umelala.
 
madhara ya kutofanya ni madogo zaidi ya kufanya pale mazingira hayaruhusu. Its just a matter of cost benefit analyis

Cost benefit analysis for which part, a man or woman? There is cost to man, what benefit to man?
 
Kweli mbona MziziMkavu alileta article kwamba kutokufanya muda mrefu kunaongeza hasira kwa wanawake..since kunakuwa na muongezeko wa hormones!!

Mwili utasumbuka "nyege" tu lakini hakuna madhara (naamini unajua kuwa nisemapo madhara namanisha medical effects)...
 
kama hujaonja kaa nayo mbali kabisa.. Maana utamu wake ukijaribu tu hutaacha na ukiacha utakuwa unautesa ubongo na mwili wako.
 
Utaugua ugonjwa wa mapenzi na mwisho wake utaishia kubaka au kujibaka (punyeto / kusaga)
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom