ukiona mlingoti unaufananisha na mshedede.
WanaJf mnaweza kunisaida madhara anayoweza kuyapata mtu kwa kukaa muda mrefu without sex.
- Madhara yake unaweza kubaka.
- Kutofikia mshindo (This's a pretty big one).
- Kutopata watoto (no passing one's genes on to the next generation).
- Kama una mme/mke anaweza kukuacha.
Vipi upo Afghanistan?
Bora JK alianguka Jukwaani jangwani kwa ajili ya kiu na uchovu ugonjwa huu hauwezi kumpataMuulize JK.
ni kweli, nachopinga ni kusema kuwa hakuna madhara kabisa.
Yapo, kushindana na ny... Sio kazi rahisi, hata ukiona mlingoti unaufananisha na mshedede.
- Madhara yake unaweza kubaka.
- Kutofikia mshindo (This's a pretty big one).
- Kutopata watoto (no passing one's genes on to the next generation).
- Kama una mme/mke anaweza kukuacha.
Vipi upo Afghanistan?
ni kweli, nachopinga ni kusema kuwa hakuna madhara kabisa.
Yapo, kushindana na ny... Sio kazi rahisi, hata ukiona mlingoti unaufananisha na mshedede.
Matokeo yake unakuwa vipi ?
Kwa wanawake, matezi ya uzazi yanaweza kukuandama.
Muda mrefu ndio muda gani?
1 week
1 month
1 year
1 decade au?
madhara ya kutofanya ni madogo zaidi ya kufanya pale mazingira hayaruhusu. Its just a matter of cost benefit analyis
Sijui unataka kutuambia nini hapa mkuu? Ufafanuzi pls!!!
WanaJf mnaweza kunisaida madhara anayoweza kuyapata mtu kwa kukaa muda mrefu without sex.
one week............