Madhara ya kutofanya mapenzi kwa muda mrefu

Madhara ya kutofanya mapenzi kwa muda mrefu

WanaJf mnaweza kunisaida madhara anayoweza kuyapata mtu kwa kukaa muda mrefu without sex.


...Zifuatazo ni sababu 10 ya madhara yake:
1. Kutotoa maamuzi sahihi
2. Kuwa kwenye ligi ya kipekee ya kupiga sana nyeto kushindana na hisia zako
3. Kucheka hovyo uonapo vijusi, kuku, na wanyama wengine wakilana uroda
4. Kupanda daladala kila wakati na chenji kibao ili uwalipie kinadada kutegemea utapata uroda
5. Kuwa na hasira ukiwa peke yako
6. Kujihisi umerogwa na ex wako hivyo ujikuta ukipiga sana nyeto kuona kama bado una nguvu
7. Kujihisi ms.enge na kujiremba kupindukia mithali ya Ben Kinyaia
8. Kuwahi kulala usiku ili usikilizie jirani zako wanafanya nini
9. Kupenda kuangalia sinema za X kila mara na kununua magazeti ili usome ujinga wa mastaa feki wa kibongo
10. Kutamani kujiingiza kwenye bongo movie ili upewe uroda na kina Wema Sepetu na wenzake
 
So kwako wewe one week ni muda mrefu?

Okay, if that is the case madhara utakayoyapata ni pamoja na:-
-kidudu kupona (baadhi ya michibuko)
-kidudu kurejea rangi yake ya asili
-kichwa kikubwa kuanza kutumika ktk kufikiri tena.
-manii kujikusanya na sperm count kuongezeka.
-manii kuwa nzito kidogo na kupata karangi kwa mbali.
-chipi kutulia kiunoni kwa muda!
-mwili kunawiri!


Hapo ni kwa jinsia zote?? au ni ya kiume tuu!
 
Kwa jinsia ya kiume: SHAHAWA KUWA NZITO KAMA COLGATE siku utakaposex!
 
madhara yake siku ukifanya utakuwa unapiga makelele ovyo.Hata hivyo tuko karibu kufungua chuo juu ya mambo ya mapenzi.kutakuwa na kitengo cha utafiti kwa hiyo majibu zaidi yatapatikana huko.
 
Hamna madhara kiafya, ila kisaikolojia unakua tu uko uneasy, stress nyingi...higher levels za testosterone inakua associated na hasira, kusahau, kuchoka. . .just to mention a few.
Hii anaweza kuwa nayo Anne makinda
 
  1. madhara yake unaweza kubaka.
  2. kutofikia mshindo (this's a pretty big one).
  3. kutopata watoto (no passing one's genes on to the next generation).
  4. kama una mme/mke anaweza kukuacha.

vipi upo afghanistan?



wakukaya umomi???
 
Mmmmh ngoja niingie hapa ANGAZA nitarejea punde
 
madhara yapo jamaani hivi hamjawai kuckia watoto wa boarding wanachekackeka ovyo na kushindwa kusoma kabisa wengine hadi kurudishwa majumbani kwao unaisi huwa inatokana na nini
 
  1. Madhara yake unaweza kubaka.
  2. Kutofikia mshindo (This's a pretty big one).
  3. Kutopata watoto (no passing one's genes on to the next generation).
  4. Kama una mme/mke anaweza kukuacha.

Vipi upo Afghanistan?

U r a great thinker!
 
sasa sie watoto wa mwenyekiti wa serekali za mitaa waume zetu wako mbali ndio tushakua wagongwa? manake tunaonana kwa mwaka mara 3.................
 
Kama ni mwanaume - kamjamaa katasinyaa;
Kama ni mwanamke - katundu kanaziba.
 
jaman kaz bila kupata ile kitu unaweza ukamtaman hata asiyetamanika.si tulioachwa tunajua maumiv yake
..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom