Madhara ya kutofanya mapenzi kwa muda mrefu

Nataka nisitishe kufanya mapenzi kwa kipindi cha mwaka mmoja ujao yaani kuanzia tar 15th Dec 16 had 31th Dec 17 bila kujali mpenzi wangu niliye naye atakubali so hatokubali....na sina sababu maalum ila kikubwa nataka nifunge tu na nijizuie kutamani
Mmh..posts zako humu. Mara mkeo anawapiga shoga zako, mara ukimlala demu wako hamu inaisha n.k....
 
Unataka utamaniwe ww? Mbona huna sababu ya msingi? Ww piga tuu, uache ili nn? Au umeukwaa tayari?
 
Itafika kipindi mafuta ya mgando au sabuni ukiviona tyu lazima u Disee yaaan
 
Duh, sidhan kama kutakuwa na madhara kiafya ila kisaikolojia inawezekana kukawa na madhara..ila njia nzuri ni kufanya saana mazoez na dhamira yako itatimia
 
Mwaka mzima kwa mwanaume aliyekamikilika? Sio bure utakuwa na ttzo unatuficha mkuu......... Au jongoo akimuona salome ashtuki? Tell us the truth
 
Nataka nisitishe kufanya mapenzi kwa kipindi cha mwaka mmoja ujao yaani kuanzia tar 15th Dec 16 had 31th Dec 17 bila kujali mpenzi wangu niliye naye atakubali so hatokubali....na sina sababu maalum ila kikubwa nataka nifunge tu na nijizuie kutamani
Si tu kwa mwaka mmoja bali mpaka pale utakapoowa mke wako halali.

Hakuna madhara yoyote kukaa bila zinaa zaidi zaidi ni faida tupu unapata.
 
Mmh..posts zako humu. Mara mkeo anawapiga shoga zako, mara ukimlala demu wako hamu inaisha n.k....
Kwan usichoelewa ni nini ???au unataka nipost kwamba Dr silaa amerud chadema[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Habari zenu wakuu hivi kuna madhara yeyote kukaa bila kufanya mapenzi kwa mda mrefu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom