Madhara ya kutofanya mapenzi kwa muda mrefu

Madhara ya kutofanya mapenzi kwa muda mrefu

utaanza kujichekesha ×2 kila ukiona mwaume /mwanamke unajidindisha ovyo punyeto all the time ukiona hata matako ya punda mlia unadisa.


swissme
 
1.Hasira za mara kwa mara katika mambo madogo Mara kwa mara huwa anakasirishwa na vitu vidogo hata visivyokuwa na maana yeye huvitilia maanani .
2.Kutokwa damu nyingi wakati wa hedhi (Mwanamke), Tafiti zinaonesha kuwa mwanamke anapokuwa kwenye mzunguko wake wa siku 28 kama hatoshiriki tendo la ndoa kwa kipindi kirefu basi hupoteza damu nyingi wakati wa hedhi.
3.Kupenda kurukiarukia mambo ya watu wengine (tabia ya kufuatilia mambo yasiyokuhusu) hii pia ni tabia inayoibuka kisaikolojia kutokana na kile watoto wa mtaani wanachoita mizuka inampanda kwa yasiyo muhusu.
4.Kuumwa na kichwa, Wataalamu wametaja maumivu ya kichwa mara kwa mara wakati mwingine husababishwa na kutofanya mapenzi kwa muda mrefu.
5.Kukakamaa mgongo (wanaume), Inasemekana kuwa mwanaume akikaa bila kufanya mapenzi kwa muda mrefu husumbuliwa na maumivu ya mgongo ya mara kwa mara.
6.Kuingiliwa kirahisi na jini mahaba, Hii imeelezwa ni kutokana na ndoto zile utakazoota kifikra kwamba unafanya tendo la ndoa ndio hupelekea kumkaribisha jini mahaba katika mwili wako.
7.Kupoteza umakini katika kazi, Wataalamu wa mambo wanasema kwamba pindi unapokaa muda mrefu bila kushiriki tendo la ndoa unapoteza uwezo wa kufanya kazi kwa umakini unaotakiwa.
8.Siku ukikutana kimwili na mwenye virusi bila kinga utaambukizwa kirahisi mno, Inasemekana utakuwa umekamia mechi hivyo utauanza mchezo bila maandalizi yanayotakiwa hivyo msuguano utakuwa mkali na kuleta madhara.
Jiunge nasi Insta@mtembezionline ,fb@mtembezionline,youtube@mtembezi tv,
 
Nataka nisitishe kufanya mapenzi kwa kipindi cha mwaka mmoja ujao yaani kuanzia tar 15th Dec 16 had 31th Dec 17 bila kujali mpenzi wangu niliye naye atakubali so hatokubali....na sina sababu maalum ila kikubwa nataka nifunge tu na nijizuie kutamani
 
Madhara yake ni kuwa hutapata maambukizi kwa mara ya kwanza au maambukizi mapya. Pia utapata muda wa kutosha kufanya kazi za kuzalisha mali. Kama una mke au mpenzi pia atahudumu kwa watu wengine. Hayo ndio madhara makubwa.
 
Ukimaliza huo mwaka utakuwA domo zege
 
Hapa wote mnapiga porojo tu hakuna anae jibu swali lake na kutoa sababu za msingi na za kuaminika!!!! Wa bongo sisi weupe tu vichwani mwetu
 
Ikiwa unafanya Kwa ajili ya starehe yako hakuna madhara.

Lakini kama unafanya kwa ajili ya kuwa huko na mpenzi wako madhara yake makubwa.

Lazima atanitafuta tucheze hainaga ushemeji.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom