Madhara ya kutofanya mapenzi kwa muda mrefu

Madhara ya kutofanya mapenzi kwa muda mrefu

Ndugu hakuna madhara yoyote isipokua utakua umechagua fungu jema katika imani ya Yesu tunasema umejiweka pure which is required for every human being on earth. Stay pure mpaka utakapokutana na ubavu wako halali. God is with u na hakuna kilichoharibika hata kimoja.
Kwa mawasiliano zaidi ni-PM ntakupa mwongozo sahihi wa kibiblia.
Huu mwingine ni ushauri utaabishao ambao hata waliotoa hawaufatishi.
You are responsible for your life on earth. The rest won't be available when you face the outcome of you following their mediocre advices and opinions.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
WanaJf mnaweza kunisaida madhara anayoweza kuyapata mtu kwa kukaa muda mrefu without sex.

Take it from me .Your body is a temple from God .Tulia,nilitulia for 6 years before I met my husband the father of my kids .nilivyompiga kibuti x wangu nilijirusha wewe nikaingia college George Washington after 2 years in college I met my hubby.A men I was dreaming of.rich handsome ,good in bed,caring yaani .Tulia
 
Habar. Naombeni msaada na kueleweshwa tu kwa faida yangu na wengine. Eti kijana ke/me ambaye ameshawai kufanya mapenz je akikaa kwa muda wa zaidi ya miezi 2 anaweza akapata tatizo.? Mana nimesikia mtu akitokwa na chunusi nyingi usoni, au kua na hasira, pia na mawazo sana ni dalili. Je ni kwel
 
attachment.php

Nijuavyo Mimi binafsi Kuna Madhara makuu kutofanya jambo la mapenzi kwa muda mrefu ,kwanza mwili unakosa

nguvu. Akili pia inakuwa haifanyi kazi vizuri,unakuwa mtu mwenye hasira hasira zisizokwisha,au mtu mwenye huzuni huzuni

pasipo na sababu yoyote ile unakuwa mtu mwenye wasiwasi mwingi pasipo na sababu yoyote ile,na pia unapata ugonjwa

wa Stress hayo tu ndio baadhi ya madhara ya kutofanya mapenzi kwa muda mrefu inafaa uwe una fanya tendo la ndoa

kwa wiki japo mara 2 au 3 huo ndio ushauri wangu.
 
Madhara ya Kutoshiriki Tendo la Ndoa kwa Muda Mrefu

Aise, kwa kawaida kama wewe si mgonjwa wa aina yoyote ile, kwa maana ya ugonjwa ku-offset

system ya mwili, madhara ya kutofanya tendo la ndoa kwa muda mrefu ni makubwa kuliko unavyofikiria as long as upo ktk active range of age! madhara yapo ya Negative na positive.

Mfumo wa fahamu (central novous system) hutumia zaidi tendo la ndoa ku-radiate energy

inayowezesha ubongo pamoja na mifumo mingine ya mwili kufanya kazi zake vizuri bila msongo.

Suala hapa si lazima uke na uume kukutana na kuingiliana (penetration) ila tu stimulation(msisimko)

inayofikisha mtu kileleni (orgasms). kwahiyo, nature(asili) inataka mke na mme kufanikisha zoezi hili maana ni jambo muhimu kama ilivyo kutoka jasho mwilini maana sio tu mwili unaondoa uchafu ndani

lakini pia inacontrol joto la mwili (cooling effect).

Anayesema amekaa zaidi ya mwaka na hana madhara.., well sikatai wala sikubali maana hatuna ushahidi nalo lakini zipo njia nyingi mbadala kama kutumia sex toys, dildo(vibrant artificial penis

zitumiazo umeme), usagaji n.k. sasa sijui yeye anatumia ipi sababu vichocheo anavyo mwilini and, it's

brain iniciated.

Ukidumu bila tendo la ndoa muda mrefu, baadhi ya madhara madogomadogo nikama haya:

Hasira za mara kwa mara ktk mambo madogo,

kupendelea sana kuangalia picha za uchi,

Kusahausahau,

Kupendelea story za mapenzi,

Kutokwa damu nyingi wakati wa hedhi (Mke),

Kupenda kurukiarukia mambo ya watu wengine (tabia ya kufuatilia mambo yasiyokuhusu),

Kuumwa na kichwa,

Kukakamaa mgongo (wanaume),

Kuingiliwa kirahisi na jini mahaba katika usingizini wakati unapolala.

Kupoteza umakini ktk kazi (efficiency),

Siku ukikutana kimwili na mwenye virusi bila kinga utaambukizwa kirahisi mno,

Waweza ku-develop tabia mpya ambayo hukuwahi kuwa nayo ili iwe mbadala kama ulevi n.k.
 
Mang'anyi! Mabigi! Makubwa! Didn knw this aisee..
Kumbe jamaa zetu wanaofatilia yasowahusu ni ukosefu wa ngono mwilini eee! Hi hi hi
 
attachment.php

Nijuavyo Mimi binafsi Kuna Madhara makuu kutofanya jambo la mapenzi kwa muda mrefu ,kwanza mwili unakosa

nguvu. Akili pia inakuwa haifanyi kazi vizuri,unakuwa mtu mwenye hasira hasira zisizokwisha,au mtu mwenye huzuni huzuni

pasipo na sababu yoyote ile unakuwa mtu mwenye wasiwasi mwingi pasipo na sababu yoyote ile,na pia unapata ugonjwa

wa Stress hayo tu ndio baadhi ya madhara ya kutofanya mapenzi kwa muda mrefu inafaa uwe una fanya tendo la ndoa

kwa wiki japo mara 2 au 3 huo ndio ushauri wangu.

asante sana kwj mawazo yako. Unatakiwa ufanYaje ili ILi kupunguza hayo matatizo kwa mtu ambae ataki kufanya mapenz kwa sasa
 
asante sana kwj mawazo yako. Unatakiwa ufanYaje ili ILi kupunguza hayo matatizo kwa mtu ambae ataki kufanya mapenz kwa sasa
Ufunge kama wanavyofunga Waislam au Bwana Yesu alifunga siku 40. wewe funga kila wiki mara 2 jumatatu na alkhamisi itakusaidia hiyo kiafya na kukuondoshea matamanio mabaya ya zinaa.
 
Ndugu hili suala bila ata kwenda chuo kikuu madhara yapo!mkuu mzizi mkavu amemaliza kila kitu ni vitu vyaukweli kabisa!
 
Madhara mengine ni "vyombo" kutoa kutu badala ya manii!!
 
...unakuwa na nyege mshindo...hata ukiona k ya mtoto mdogo tu ngoma hiyo ishaamsha popo... saa ingine hata cylinder head ikigusa tu chupi hiyoo inapandisha mlingoti, kama uko kwenye daladala umesimama mwanamke akikubana tu Kidogo na makalio yake balaa unaweza kumaliza kila kitu hapo hapo, jitahidi fanya japo mara 2 kila Siku 7×30×12
 
ahahaha mkuu yani umetoa makavu makavu. Ila hiyo mara 2 kwa siku ni balaa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom