Madhara ya kutembea na mke wa mtu

Madhara ya kutembea na mke wa mtu

Ndio mkuu, msg hazikatiki mara umekula mara nakutakia usiku mwema lala unonoo..maneno kibao ila mimi sina mda naye kwakweli hlf naona hakati tamaa
We mpotezee tu.... Usimjibu kitu... Atachoka tu.
 
Asante sana kwa ushauli, umenena sawa sawa, sasa, mume akijua na asiweze kunikamata ama kuproove kama n kweli atanidhuru vipi?
Atashindwaje kukukamata na ashakujua kwani unaishi Pluto?? Sio lazima akufumanie siku hizi unatumiwa tu watu wanakuteka wanakufanyia yao.
 
Ndugu zangu, naomba hoja na sio vitisho mara mke wa mtu ni sumu nk.... Maana neno mke wa mtu ni sumu lilishapoteza ukali na mvuto maana toka tumezaliwa tunalisikia.
Hivyo katika utoaji wa hoja/ ufafanuzi achana na nadharia ama dhana ya zamani kuwa mke wa mtu ni sumu......

Hawa wake za watu nao wamezidi, wanatutaka sana vijana hasa ambao hatujaoa, hata mimi ni mhanga wa hilo jambo. (WANATUANZA WAO)

Tupeni ushauri wa maana, mfano:-

Je, kama jamaa hatanifumania kibanjuka nae usumu utakujaje? Ama hata akinitambua tu kuwa mimi ndie nambanjua mkewe anaweza niparamia hata njian?

Je, kama akinijua na asinishike je itakuwaje hapo?

Mwisho kabisa wanasheria mtusaidie, sheria zinasemaje juu ya kukamatwa ama kuhisiwa unatembea na mke wa mtu, je kuna kifungo ama faini? Kama vipo n kwa kiwango gani?

Mwisho wanaume mliooa punguzeni ukali ndani ya ndoa zenu, na mjitahidi kuwaridhisha wake zenu maana mnatupa tabu vijana ambao bado tunategemewa sana.
Fikiria siku nawewe unafanyiwa hivyo?au fikiria siku dada yako aliolewa anafanya hivyo na kijamaa au mama yako mdogo...utajisikiaje?

Hiyo ni dhulma kwa mwanaume mwenzio utakuja umbuliwa siku ya mwisho
Majaribu yako tuyashinde na sio tuyaendee
 
We unawaza kudhuriwa kwa physically tena na mahakama ikutetee? watu wanaweza wasi deal na wewe bali kulinda mali zao. Hkuna kesi ya hisia km vile unavyotaka wewe ujibiwe ila watu wenye uchungu na wake zao watakuwekea kitu hapo kwenye utamu wao na wewe ukakudhuru ipasavyo tena bila mahakama au polisi kuingilia kati.
Tumia mifano hii,
Hujawahi kuona au kusikia kuwa watu wamegandana Gest?
Wanaume wengine kuvimbishwa MABUSHA
Wengine kukojoa mkojo wenye rangi km maji ya mchele lakini kwa maumivu makali.
Wengine kukojoa uzi usio na mwisho na ukiukata tu ndo kifo chako!
Wengine kukojoa samaki ambao wanaanza kutoka mkiani na kumalizia kichwa (up side down) pata maumivu ya zile miba.
Sasa kama wewe unataka sheria ya TZ ndio ije kukuhukumu basi utasubiri sana
 
Hilo halina shaka mkuu, sio fair kutembea na mke wa mtu mwingine wakati wasichana singles wapo kibao na ni wazuri
Kinachotia uchuungu ni kwamba mtu anagharamikia chakula, mavazi ,malazi, matibabu kwa sababu ya hicho 'kinyama-ugomvi' halafu wewe ukampigie hivi hivi.... Inaudhi kupita kiasi. Ndo maana mimi jitu likidakwa likapakwa KY silihurumii ingawaje mimi siwezi kufanya hivyo.
 
Atashindwaje kukukamata na ashakujua kwani unaishi Pluto?? Sio lazima akufumanie siku hizi unatumiwa tu watu wanakuteka wanakufanyia yao.
Hivi ni vitisho, nimesema nahtaji ushauri....... Pia akili ndogo haiwez kutawala akili kubwa, yaan nije nikamatwe na mwanaume msukuma wakati n born town
 
Fikiria siku nawewe unafanyiwa hivyo?au fikiria siku dada yako aliolewa anafanya hivyo na kijamaa au mama yako mdogo...utajisikiaje?

Hiyo ni dhulma kwa mwanaume mwenzio utakuja umbuliwa siku ya mwisho
Majaribu yako tuyashinde na sio tuyaendee
Kila mbuzi ale kulingana na urefu wa kamba yake, cha msingi kama umeoa ama hujaoa piga tu wake za watu maana ukijifanya mstarabu na wako anapgwa ama atapigwa tu. Don't trust a women
 
We unawaza kudhuriwa kwa physically tena na mahakama ikutetee? watu wanaweza wasi deal na wewe bali kulinda mali zao. Hkuna kesi ya hisia km vile unavyotaka wewe ujibiwe ila watu wenye uchungu na wake zao watakuwekea kitu hapo kwenye utamu wao na wewe ukakudhuru ipasavyo tena bila mahakama au polisi kuingilia kati.
Tumia mifano hii,
Hujawahi kuona au kusikia kuwa watu wamegandana Gest?
Wanaume wengine kuvimbishwa MABUSHA
Wengine kukojoa mkojo wenye rangi km maji ya mchele lakini kwa maumivu makali.
Wengine kukojoa uzi usio na mwisho na ukiukata tu ndo kifo chako!
Wengine kukojoa samaki ambao wanaanza kutoka mkiani na kumalizia kichwa (up side down) pata maumivu ya zile miba.
Sasa kama wewe unataka sheria ya TZ ndio ije kukuhukumu basi utasubiri sana
Vitisho hv
 
Kinachotia uchuungu ni kwamba mtu anagharamikia chakula, mavazi ,malazi, matibabu kwa sababu ya hicho 'kinyama-ugomvi' halafu wewe ukampigie hivi hivi.... Inaudhi kupita kiasi. Ndo maana mimi jitu likidakwa likapakwa KY silihurumii ingawaje mimi siwezi kufanya hivyo.
KY ninini? Ukijifanya msamala ujue watakupgia tu,mla huliwa, bora uwale tu
 
Ukizia watoto wa wenzako na wako wataziniwa,kula mke wa MTU na wako ataliwa tena chumbani kwako.
 
Hivi mke akiwa na tabia ya kumegwa nje, hivi unatakiwa kudeal na mwanamke ama jamaa naemega? Ukideal namimi huenda nikaacha, je..... kama ni tabia yake baada ya siku mbili anaanza kubanjuliwa na wengine.. ...

Jaman wanaume tuliooa tusiwe kama LUDDISM kwenye working class movement.
 
Ukizia watoto wa wenzako na wako wataziniwa,kula mke wa MTU na wako ataliwa tena chumbani kwako.
Bora tu, ndio maana nikasema hapo juu ya kuwa ukipata chance kula tu, maana hata ukijifanya huwatumii, wahuni hawatajali hilo watamtumia tu wako.
 
Tokea sumu ya panya inatengenezwa haijawahi badilika ikaitwa sukari, vivyo hivyo mke wa mtu ni sumu ambayo ukali wake huongezeka siku baada ya siku
 
Hivi ni vitisho, nimesema nahtaji ushauri....... Pia akili ndogo haiwez kutawala akili kubwa, yaan nije nikamatwe na mwanaume msukuma wakati n born town
SHAURI YAKO....WENZAKO TUMEONA MTU ANACHUKULIWA NA WATU KAMA SITA KWENYE NOAH NA KUPOTEA, WE JIONE JEMBE UONE YATAKAYOKUTOKEA. USHAURI ACHANA NA WAKE ZA WATU NA WEWE OA WA KWAKO.......USIJIFANYE HUWEZI KUWAKATAA...COZ TUMEPATA SANA VISHAWISHI VYA HAO WAMAMA BUT TUMEWAPOTEZEA WE SEMA MITAMAA IMEKUZIDI SO SUBIRI YAKUKUTE.
 
Hivi ni vitisho...... Kipi bora kati ya kuacha kuwapga wake za watu na wewe ukaja kupigiwa?

Ama

Kuacha kuwapiga wake za watu alafu ukaja kupigiwa wa kwako?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom