Nawe siku ukikutwa wakati marinda yako yakifumuliwa utakuwa mtamu balaa!na
ni watamu balaa,,usiombe ukapendwa na jimama alafu ukamkuna vizuri
Atakuvizia na siku akikushika hapo Itabidi KY iwe karibu la sivyo atakufumuwa marinda.Swali ni je, asipobahatika kunifumania lakini akajua ama kuhisi natembea na mke wake hii itakuwaje hii.
Utapatikana tu.... Tembea na KY yakoKuna mmoja ananiwinda lkn hanipati ng'o, ila wanajua kucare aisee sijui ni experience!!
Napatiakanaje sasa wakati sina mpango wa kutembea naye? acha kukremu/kukariri wwUtapatikana tu.... Tembea na KY yako
madhara yake nikwamba mume wake bado hajajuaNdugu zangu, naomba hoja na sio vitisho mara mke wa mtu ni sumu nk.... Maana neno mke wa mtu ni sumu lilishapoteza ukali na mvuto maana toka tumezaliwa tunalisikia.
Hivyo katika utoaji wa hoja/ ufafanuzi achana na nadharia ama dhana ya zamani kuwa mke wa mtu ni sumu......
Hawa wake za watu nao wamezidi, wanatutaka sana vijana hasa ambao hatujaoa, hata mimi ni mhanga wa hilo jambo. (WANATUANZA WAO)
Tupeni ushauri wa maana, mfano:-
Je, kama jamaa hatanifumania kibanjuka nae usumu utakujaje? Ama hata akinitambua tu kuwa mimi ndie nambanjua mkewe anaweza niparamia hata njian?
Je, kama akinijua na asinishike je itakuwaje hapo?
Mwisho kabisa wanasheria mtusaidie, sheria zinasemaje juu ya kukamatwa ama kuhisiwa unatembea na mke wa mtu, je kuna kifungo ama faini? Kama vipo n kwa kiwango gani?
Mwisho wanaume mliooa punguzeni ukali ndani ya ndoa zenu, na mjitahidi kuwaridhisha wake zenu maana mnatupa tabu vijana ambao bado tunategemewa sana.
kazi sana humu!Swali ni je, asipobahatika kunifumania lakini akajua ama kuhisi natembea na mke wake hii itakuwaje hii.
Point!Kuna madhara mengi kutembea na mke wa mtu:
1. Hutakuwa huru naye, kuna wakati utamuhitaji lakini hatakuwa na muda. Yuko na mumewe. Hali hii inaweza kukunyima raha maishani na kukupa stress.
2. Unajiingiza kwenye mtandao wa Ngono. Si wako peke yako, na hujui mumewe yuko na wangapi. Ni rahisi kuambukizwa magonjwa.
3. Mara nyingi atakuwa na watoto...utalazimika kuwapenda watoto wake ili kumfurahisha.
4. Yawezekana ukatumia gharama nyingi zaidi kuliko ukiwa na gf wako peke yako. Mtalazimike mjifiche fiche sana, ntafute tax tinted n.k. Lakini pia wengine wanachepuka ili kutafuta hela.
5. Anaweza kuachwa na mumewe hivyo na kuwa mzigo kwako. Unaweza kumkimbia na wewe lakini dhambi ya kuvuruga ndoa ya watu haitakuacha kamwe.
6. Mkigundulika mumewe anaweza kukudhuru, hivyo unaweza kujikuta unalazimika kuhama mji na kupoteza mwelekeo wako kiuchumi.
akijua atakukabidhi mwenyeweAkijua itakuwaje?
Sababu ni nyingi na ni hivyo hivyo kwa wanaume waliooa! Wahehe wanasema " inyumba fiyamalema" maana yake nyumba yaani ndoa inaficha mambo mengi. Ndiyo siri ya wazee wa zamani kufanya juu chini asimfumanie mkewe. Akitoka safari atatanguliza kiashiria kwanza kama kofia au fimbo. Nafikiri sababu kuwa kwenye ndoa tuna mapungufu mengi na occassionally ufumbuzi wa tatizo mojawapo huenda ni "mchepuko wa muda ambao si lazima ndoa ivunjike". Hili linawezekana tu kama hulijui na hutaki kulijua. Kuishi kwa kuvumiliana ndiyo suluhisho.Na tujiulize, kwanini mwanamke yupo kwenye ndoa anapata kila kitu lakini anataman na kuamua kutembea na mwanaume nje ya ndoa?
Lengo la mchepukaji hapa huwa ni nini?Sababu ni nyingi na ni hivyo hivyo kwa wanaume waliooa! Wahehe wanasema " inyumba fiyamalema" maana yake nyumba yaani ndoa inaficha mambo mengi. Ndiyo siri ya wazee wa zamani kufanya juu chini asimfumanie mkewe. Akitoka safari atatanguliza kiashiria kwanza kama kofia au fimbo. Nafikiri sababu kuwa kwenye ndoa tuna mapungufu mengi na occassionally ufumbuzi wa tatizo mojawapo huenda ni "mchepuko wa muda ambao si lazima ndoa ivunjike". Hili linawezekana tu kama hulijui na hutaki kulijua. Kuishi kwa kuvumiliana ndiyo suluhisho.
Nilikua sijajakuelewa anaekuwinda Ni. Nani.... Kumbe anaekuwinda ni mke wa mtu na wewe unasave... Heri yakoNapatiakanaje sasa wakati sina mpango wa kutembea naye? acha kukremu/kukariri ww
Ndio mkuu, msg hazikatiki mara umekula mara nakutakia usiku mwema lala unonoo..maneno kibao ila mimi sina mda naye kwakweli hlf naona hakati tamaaNilikua sijajakuelewa anaekuwinda Ni. Nani.... Kumbe anaekuwinda ni mke wa mtu na wewe unasave... Heri yako