Madhara ya kutembea na mke wa mtu

Madhara ya kutembea na mke wa mtu

We unawaza kudhuriwa kwa physically tena na mahakama ikutetee? watu wanaweza wasi deal na wewe bali kulinda mali zao. Hkuna kesi ya hisia km vile unavyotaka wewe ujibiwe ila watu wenye uchungu na wake zao watakuwekea kitu hapo kwenye utamu wao na wewe ukakudhuru ipasavyo tena bila mahakama au polisi kuingilia kati.
Tumia mifano hii,
Hujawahi kuona au kusikia kuwa watu wamegandana Gest?
Wanaume wengine kuvimbishwa MABUSHA
Wengine kukojoa mkojo wenye rangi km maji ya mchele lakini kwa maumivu makali.
Wengine kukojoa uzi usio na mwisho na ukiukata tu ndo kifo chako!
Wengine kukojoa samaki ambao wanaanza kutoka mkiani na kumalizia kichwa (up side down) pata maumivu ya zile miba.
Sasa kama wewe unataka sheria ya TZ ndio ije kukuhukumu basi utasubiri sana

Hii inanitisha. Sijui nimwambie leo jioni asije
 
Kuna wengine wakikuhisi tu lazima uliwe kiboga na masela yaani unatekwa then wanakusodomize
sasa imagine umehisiwa tu sasa ukikutwa live utapasuka msamba
 
Ndugu zangu,

Naomba hoja na sio vitisho mara mke wa mtu ni sumu nk.Maana neno mke wa mtu ni sumu lilishapoteza ukali na mvuto maana toka tumezaliwa tunalisikia. Hivyo katika utoaji wa hoja/ ufafanuzi achana na nadharia ama dhana ya zamani kuwa mke wa mtu ni sumu.

Hawa wake za watu nao wamezidi, wanatutaka sana vijana hasa ambao hatujaoa, hata mimi ni mhanga wa hilo jambo. (WANATUANZA WAO)

Tupeni ushauri wa maana, mfano:-

Je, kama jamaa hatanifumania kibanjuka nae usumu utakujaje? Ama hata akinitambua tu kuwa mimi ndie nambanjua mkewe anaweza niparamia hata njian?

Je, kama akinijua na asinishike je itakuwaje hapo?

Mwisho kabisa wanasheria mtusaidie, sheria zinasemaje juu ya kukamatwa ama kuhisiwa unatembea na mke wa mtu, je kuna kifungo ama faini? Kama vipo ni kwa kiwango gani?

Mwisho wanaume mliooa punguzeni ukali ndani ya ndoa zenu, na mjitahidi kuwaridhisha wake zenu maana mnatupa tabu vijana ambao bado tunategemewa sana.
Na wewe utaoa huo ushauri uje uutumie baadae
 
Ngoja utakapooa ndo utajua

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Namshukuru Mungu mpaka leo hii sijahawi kupitia changamoto/kishawishi hiki kwa maana ya ubize wa maisha yangu au ukauzu wangu
Lord eyes ™
 
Hakuna madhara yoyote kama usipokamatwa.

Tatizo ni kwamba lazima utakuja kukamtwa tu. Hii kitu ina formula kabisa na mara nyingi utadakwa tu.

Pia mara nyingi ukifuatilia mke huwa anabaki salama pale mnapodakwa, hata kama yeye ndo alikushawishi tatizo linabaki kwako na sababu ww ni kama tu mwizi, maamuzi ya mwenye mke juu yako jamii huwa wanaelewa.

Labda mama yako ndo atakuonea huruma kwa utakachotendewa.

Hakuna ulazima wa kutembea na mke wa mtu sababu hakuna jipya lolote atakalokupa ulikose kwa mwanamke mwingine, ila unaweza kufanya sababu uwezo wetu wa kufikiri binadamu ni tofauti sana.
 
Hii kitu jamaa mbaya asee, mimi nimewahi kumtokea mdada flani bila kujua kama kaolewa, mahusiano yakakolea kweli mpaka nikawa naenda kulala kwake siku mojamoja. Bwanabwana siku moja mlango uligongwa kitu kama saa sita hivi nikashangaa yule mdada ananiambia mumewe karudi ghafla, nilibaki namshangaa yule mpuuzi. Sikuwahi kuwaza kutembea na mke wa mtu na sikupenda alinisihi nijifiche kwani mumewe ni mwanajeshi niligoma nikamwambia kafungue nipo tayari kivyovyote. Alifungua akaingia msela akiwa full combat kumbe alikuwa det kuna mahali wanaenda wamelala hapo mjini ikabidi achomoke chap aje kumuona mkewe alivonikuta ndani alibaki amesimama kama kapigwa ganzi akaniambia hivi " bro unachonifanyia sio kitu kizuri wewe ni mwanaume mwenzangu kumbuka umeoa/utaoa mimi nafanya kazi ngumu na hatari ili mke wangu aishi vizuri kumbe muda ninaokuwa katika kazi ngumu kama hivi leo ndio mke wangu ninaeteseka kwa ajiri yake anautumia kunisaliti , nashukuruni sana" jamaa akasepa zake nilianza kumtia vitasa yule mpumbav kama nimemuoa mimi na ndio ukawa mwisho.
 
Ndugu zangu,

Naomba hoja na sio vitisho mara mke wa mtu ni sumu nk.Maana neno mke wa mtu ni sumu lilishapoteza ukali na mvuto maana toka tumezaliwa tunalisikia. Hivyo katika utoaji wa hoja/ ufafanuzi achana na nadharia ama dhana ya zamani kuwa mke wa mtu ni sumu.

Hawa wake za watu nao wamezidi, wanatutaka sana vijana hasa ambao hatujaoa, hata mimi ni mhanga wa hilo jambo. (WANATUANZA WAO)

Tupeni ushauri wa maana, mfano:-

Je, kama jamaa hatanifumania kibanjuka nae usumu utakujaje? Ama hata akinitambua tu kuwa mimi ndie nambanjua mkewe anaweza niparamia hata njian?

Je, kama akinijua na asinishike je itakuwaje hapo?

Mwisho kabisa wanasheria mtusaidie, sheria zinasemaje juu ya kukamatwa ama kuhisiwa unatembea na mke wa mtu, je kuna kifungo ama faini? Kama vipo ni kwa kiwango gani?

Mwisho wanaume mliooa punguzeni ukali ndani ya ndoa zenu, na mjitahidi kuwaridhisha wake zenu maana mnatupa tabu vijana ambao bado tunategemewa sana.
Hivi bado kwa muda huu kuna shule haijafunguliwa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom