Madhara ya kutembea na mke wa mtu

Madhara ya kutembea na mke wa mtu

Kuna madhara mengi kutembea na mke wa mtu:
1. Hutakuwa huru naye, kuna wakati utamuhitaji lakini hatakuwa na muda. Yuko na mumewe. Hali hii inaweza kukunyima raha maishani na kukupa stress.
2. Unajiingiza kwenye mtandao wa Ngono. Si wako peke yako, na hujui mumewe yuko na wangapi. Ni rahisi kuambukizwa magonjwa.
3. Mara nyingi atakuwa na watoto...utalazimika kuwapenda watoto wake ili kumfurahisha.
4. Yawezekana ukatumia gharama nyingi zaidi kuliko ukiwa na gf wako peke yako. Mtalazimike mjifiche fiche sana, ntafute tax tinted n.k. Lakini pia wengine wanachepuka ili kutafuta hela.
5. Anaweza kuachwa na mumewe hivyo na kuwa mzigo kwako. Unaweza kumkimbia na wewe lakini dhambi ya kuvuruga ndoa ya watu haitakuacha kamwe.
6. Mkigundulika mumewe anaweza kukudhuru, hivyo unaweza kujikuta unalazimika kuhama mji na kupoteza mwelekeo wako kiuchumi.

Ujumbe mzuri, Mkuu.
 
Yeye aliyewaumba Mume na Mke ndiye alikataza kitendo cha kulala na Mke wa mwingine. Mungu anajua madhara ya kulala na mke wa mtu mwingine ndiyo maana alikataza hili tendo lisifanyike.

Imeandikwa hivi;
MITHALI 6:32-33
"Mtu aziniye na mwanamke hana akili kabisa; afanya jambo litakalomwangamiza nafsi yake".
"Atapata jeraha na kuvunjiwa heshima; wala fedheha yake haitafutika".

Watu wengi hawajui hili, kuna laana mbaya sana kwenye tendo hili la zinaa. Hata kama mumewe asipojua, lakini unapolala na mke wa mtu mwingine, moja kwa moja unapata laana na mikosi mingi sana. Unaweza usiione hii mikosi kwa haraka lakini mwisho wake huwa ni mbaya sana. Tena ukifa bila kutubu hii dhambi, fahamu kuwa utaishia kwenye Jehanum ya moto wa milele.

Jambo la msingi ni kumuheshimu MUNGU na kuitii sauti yake. Kumbuka, hatuishi milele hapa duniani, hujui ni siku gani utaondoka.
 
Hela hawaombia kabisa wewe kazi Yako ni kumkuna ,Mimi Huwa nawakuna tu hamna namna ,ukiwalamba vizuri hawa wadudu kweli unawafaidi hawalingani kabisa na vitoto vya shule

image.jpeg
 
Yeye aliyewaumba Mume na Mke ndiye alikataza kitendo cha kulala na Mke wa mwingine. Mungu anajua madhara ya kulala na mke wa mtu mwingine ndiyo maana alikataza hili tendo lisifanyike.

Imeandikwa hivi;
MITHALI 6:32-33
"Mtu aziniye na mwanamke hana akili kabisa; afanya jambo litakalomwangamiza nafsi yake".
"Atapata jeraha na kuvunjiwa heshima; wala fedheha yake haitafutika".

Watu wengi hawajui hili, kuna laana mbaya sana kwenye tendo hili la zinaa. Hata kama mumewe asipojua, lakini unapolala na mke wa mtu mwingine, moja kwa moja unapata laana na mikosi mingi sana. Unaweza usiione hii mikosi kwa haraka lakini mwisho wake huwa ni mbaya sana. Tena ukifa bila kutubu hii dhambi, fahamu kuwa utaishia kwenye Jehanum ya moto wa milele.

Jambo la msingi ni kumuheshimu MUNGU na kuitii sauti yake. Kumbuka, hatuishi milele hapa duniani, hujui ni siku gani utaondoka.
Mkuu, asante sana una ujumbe mzuri wenye kukonga nyoyo za watu hata zilizongumu.....

Ni wakati wa kufanya toba na kumrudia muumba maana tumetanga mbali na mapenz ya mungu.
 
Sijajua kwanini mod wameamua kutuwekea picha mbaya kama hii yenye kututapisha,pliiiz mod town hyo picha
 
Sijajua kwanini mod wameamua kutuwekea picha mbaya kama hii yenye kututapisha,pliiiz mod town hyo picha
Hata me nashangaa, ililetwa na mshana jr hyo picha, dah n mbaya sana, nakula nyama hapa ngoja niahirishe.
 
Kuna shehe moja anasema mwanaume ukifanya zinaa jua fika atatoka mama yako,dada yako au ndugu yako wa kike atakwenda naye kufanya zinaa kulipia zinaa uliyoifanya
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom