Madhara ya kushirikiana na Israeli!

Madhara ya kushirikiana na Israeli!

Sheikh,
This is too cheap and too shallow to buy!
Kwa maelezo haya wewe ni maamuma tu na hata hiyo dini unayojidai kuifahamu huna lolote. Israel na Palestine ni mataifa 2 tafauti na kila nchi ina serkali yake na Muisrael anaongea Kiebrania(Hebrew) na Mpalestina anaongea Kiarabu(Arabic)! Sasa unaposema asili yao ni eneo moja na lugha moja husomeki! Kama ni asili moja na jamii moja Vita visivyoisha vya Mpalestina na Muisrael ni vya nini?
Kuhsu utofauti wa dini ni mtazamo wako finyu. Wewe unafikiri ugomvi wa nchi hizi mbili ni Ukristo zidi ya Uisalamu? Kuna Waarabu/Wapaletina ni Wafuasi wa dini ya kikristo wazuri tu.
Katika hili inaonekana sheikh huna hoja!
Mataifa yaliokuwa wanaongoza dola kwa kipindi hicho waliwafanya wa hebrew kubadili dini wengine walikuwa waislam kipindi uislam ulivyoingia hapo palestine na waroma walivyoingia wengine wakawa wakristo kilichotokea kwa kipindi kirefu hawa palestine muslim waliadupt lugha ya kiarabu na palestine chtistians lakini palestine jews walikuwa wanaonge ki hebrew na kiarabu na wameishi pamoja kwa karne nyingi,kabla ya wa khazar kuivamia israel,kwa bahati nzuri siku hizi history ya dunia unaweza kuipata kwa dakika chache,waafrika ni vizuri kabla haja gombana kuhusi watu weupe mjue historia,ndiyo maana nilikuwa nawaambia mwanzo mwafrika unaweza kumwaminisha chochote ndiyo maana waliacha dini zao wakaambiwa hawana dini eti mwarabu na mzungu ndiyo aliwaletea mungu na sasa mwisraeli atawapa pepo,hivi kwa akili yenu waafrika mtu mweupe awe na pepo atamfungulia mwafrika?
 
Na uhakika baada ya karne moja kutakua na africa budists baada ya mchina kuingia africa,halafu mchina akipigana na mwarabu au muisraeli na nyie waafrica mtatukanana,hivi nyie waafrika sijui mnaakili ya namna gani,dini ni hiyari yako lakini uafrika wako ni wakudumu kokote utakapoenda utachukuliwa wewe kama mwafrika aidha kwa waarabu,israel,marekani wewe ni mwafrika tu,sasa nyie mungu aliwasahau kuwaletea mtume au?hamna bara hovyo katika ulimwengu huu kama waafrika angali waliokuwa waki kamata watumwa katika afrika walikuwa viongozi wao machifu,angalia bara wanaotumika sana ni afrika,angalia bara inayoabudu watu wa bara zingine na kuchukia wakwao ni afrika, viongozi wabinafsi waafrika hata ukisoma watu wanavyo bishania mambo ya watu weupe itakuonye waaffika ni watu wa nzmna gani,mwaarabu na mzungu amuuze babu yako halafu leo koo inawakauka kwaajili yao,hiyyo pepo mtasubiri sana na wajukuu wenu kisha wakuu zao na mtabaki mkitumiwa na watu weupe hadi mjitambue kama nyie ni waafrika na siyo waislam wala wakristo,kwani hivi sasa mnafindishwa muislamu ndugu yake muislamu na mkristo ndugu yake mkristo na siyo mwafrika mwenzake na sasa mwafrika haingii pepo hadi amfuate israeli kweli utumwa hataisha afrika.
 
Stemcell& Barbarosa,

Ukweli utabakia kuwa ukweli kwamba Israel ni taifa dogo lililobarikiwa na Mungu na nchi au mtu yeyote anaye thubutu kuipuuza, kuilaani na kujitenga kiutengamano na Israel kwake laana haiepukiki!
Kuna watu wengi sana na wana mtazamo hasi na Israel hasa linapokuja swala la vita vya Mashariki ya kati kati ya Israel na Palestina. Kama mtu anataka kujua nguvu ya Mungu iliyoko juu ya Israel na aichokoze nchi hiyo ndipo atajua kama Wana Israel wanapiganiwa na Mungu au la!

Kurejesha uhusiano na Israel siyo swala la mjadala baali ni swala la lazima na kwenda kinyume na hapo ni kama nilivotangulia kusema ni kujitakia LAANA na MAJANGA ya nchi na hivo kupelekea hali ngumu za kimaisha, kiuchumi, kisiasa na kijeshi.Nilitangulia kusema kuwa Tanzania ni nchi tajiri kiraslimali na ilitakiwa iwe na Uchumi wa kupigiwa mfano kwa mataifa ya Afrika lakini kwa vile tulikataa BARAKA za Mungu na kuvunja uhusiano na Israel ndiyo maana tunateseka sana. Nchi ina kila aina ya Madini mengine yakiwa hayapatikani popote lakini nchi imebakia fukara na maskini ya kutupwa kwa sababu tu ya LAANA toka kwa Mungu.

Ni wakti wa kujiuliza kwanini Tanzania na watu wake ni maskini ilhali nchi imejaa kila aina ya Raslimali huku ikizidiwa Uchumi na nchi ndogo kama Rwanda, Kenya na Uganda. Kwanini hawa wenzetu wana Mashirika ya Ndege yaliyo imara na yanayofanya vizuri kibiashara? Kwanini thamani ya Shilingi ya Tanzania kila siku inazidi kuporomoka/kushuka thamani ikilinganishwa na fedha ya wenzetu? Bila shaka jibu ni dhahiri shahiri: LAANA YA KUVUNJA UHUSIANO NA KUILAANI ISRAEL NDIYO INAYOLITESA NA KULITAFUNA TAIFA LA TANZANIA!
 
Nguvu ya mungu iko kwa watu weupe,nyie waafrika simna laana,wewe unadhani hao mnao bishania si ndio waliwauza kama wanyama,kipindi hicho hizo bibilia na kurany zilikuwa haziko,kama siyo unaakili ya kitumwa nitajie pahali pamoja kwenye hizo vitabu palipo kataza utumwa,au mungu alisahau kama mwafrika alikuwa anauzwa?nacho amini mimi kila lugha ya kiafrika ilikuwa na neno mungu kabla ya watu weupe kuja africa,na kama mwafrica angekuwa na uwezo wa kuwa na maandishi ya kuhifadhi nae angekuwa na kitabu kama biblia na kurany,angalia dini zote zilizo duniani ni mataifa yaliokuwa na uwezo wa kuandia aidha ni hindu,budist,jews na waarabu.kuhusu history ni history bibilia wala kurany haiwezi kubadili kina natanyahu ni ashkernazi na ni wa khazar.
 
Kwa hiyo unataka tuwe na ushirikiano na Iran tu ili tupate tende!
 
Napenda tuwe na Ushirikiano na nchi zote Duniani zisizoshutumiwa na UN kuwakandamiza binadamu wengine, kama vile Apartheid AK ilivyokuwa inawakandamiza Watu weusi vile vile Israeli inawakandamiza Wapalestina kwa makusudi kabisa ingawaje UN wameshawaambia wawape Wapelestina nchi yao na pia wasiendeleze ujenzi kwenye maeneo ya Wapelestina lkn bado mkono wa damu Netanyahu anakiuka!
 
Najua kuna baadhi ya watu wanashangilia sana ujio wa Kiongozi mkubwa wa Israeli kwenye nchi za AM na hata nchi yetu pia iliwakilishwa ingawaje Raisi wetu hakwenda namuunga mkono kwa hilo!

Binafsi naona kwamba siyo jambo la busara kushirikiana na nchi hiyo ya Israeli, na sababu ni kwamba nchi hiyo ina maadui wengi sana na niijuavyo Israeli, Kiongozi wao hakuja hapa kwa sababu anapenda kusaidia nchi zetu kama ambavyo wengi wanaamini, kwani kama ingekuwa ni hivyo kwa nini hakuja miaka 5 iliyopita? kwa nini leo hii? Hivyo basi ingawaje hilo linaweza kuwa kweli kwa upande mmoja lkn pia tusisahau kwamba Israeli wanategemea msaada wetu kwao pindi watuhitajipo, sasa ni msaada gani tutawapa Israeli?

Ninachopenda kuonya mimi ni kwamba sasa hivi Dunia imechafuka na inaendelea kuchafuka siku hadi siku, kitakachokuja kutokea ni kwamba maadui wa Israeli watakuwa maadui wetu, ghafla na sisi tutaingia kwenye hayo magomvi ya akina Irani, Uturuki na sijui Urusi na Isis, Je tunaweza kukabili hali hiyo?

Kulikuwa na sababu kwa nini Mlm.Nyerere alifwata Siasa za ,,kutofungamana na upande wowote ule", alielewa hili, kwani Mlm.Nyerere alisomea Historia tena huko huko Ulaya hivyo uelewa wake wa Siasa za kidunia ulikuwa mkubwa sana na hakuwa mjinga alivyoamua kujitenga nchi na Siasa za Mataifa makubwa au unaweza kusema kutokuchagua upande!

Hivyo tuchekelee kushirikiana na Israeli lkn siku wakituhitaji tusianze kusema hayatuhusu, hapo ndipo tutakapojua MOSAD ni nani, na je tuko tayari kuwafanya maadui wa Israeli maadui wetu?

Tukumbuke kwamba hakuna msaada unaokuja bure, hata ukisikia USA wametoa msaada TZ basi ujue ni lazima kwa mfano computer ziwe za Dell na siyo Toshiba, ukisikia Ujapani wametoa fedha za br. ni lazima Kampuni ya Japani ndiyo ijenge vile vile Uchina, hivyo kama tunachekelea kupata misaada ya Israeli pia tukubali kuwa nao watakapo tuhitaji, hayo mambo ya akina Boko Haram, Al shabab sijui Koni huko Uganda msifikiri yapo tu bila ya sababu ...

Binafsi nisingependa TZ yetu ijiingize kwenye hayo maugomvi, kwani hatuwezi kuhimili kuwa na maadui!

*
In the UN there are many [resolutions] which target Israel and we want to change this with the help of the Africans,” Arye Oded, a former Israeli ambassador to Kenya and Uganda, told German broadcaster DW

Israeli exports to Africa totaled about $1 billion last year, about 2% of its total exports.

With insurgencies and Takfiri militancy growing across Africa, including Qaeda-affiliated al-Shabaab and Daesh-linked Boko Haram, Israeli leaders are looking to sell advanced military equipment to the continent, the New York Times wrote.

Netanyahu is also expected to discuss the eviction of around 40,000 migrants and refugees from Sudan and Eritrea who entered Israel through Egypt.

According to the British daily Financial Times, Israel has reached an agreement with Uganda and Rwanda to resettle the refugees.

Last year, Israel ordered African migrants to choose between deportation and indefinite imprisonment. About 2,000 Africans are reportedly held in Israeli prisons.

[/QUOTE
Mkuu kwani nchi zonazo pambana na IS, ALKAIDA, ETC zote zina uhusiano na Israel??
Unaonelana una sanabu zako zilizo jificha lakini usitupeleke huko!! Ukishirikiana na Israel unabarikiwa, wale watu wana ujuzi wa mambo mengi hasa kilimo!!
 
Moronic ideas. Sisi si wapalestina. Nakushauri urudi tena kwa darasa ukajifunze kwa nini nchi moja inaamua kuwa na mahusiano ya kidemokrasia na nchi nyingine.
 
Mbna marekani anamaadui wengi saaaanaaa ata kumzidi israeli lkn nchi nyingi zimeshikamana nae
 
Ni hatari sana kuungana na Israel, ni bora kufikiria mara 2 kuliko kuwahi kuungana nao, Mahusiano yetu na Israel yatakuja kutatokea puani
 
Wewe una agenda yako ya siri,
una chuki na Israel kwa imani yako!!
Neno la Bwn linasema atakaye kulaani nitamlaani, nitambariki atakaye kubariki!!
Huoni hizo laana zinavyo angamiza mataifa??
Kwani hayo mataifa yanayo pambana na IS yanahuusiano wowote na Israel??
 
Moronic ideas. Sisi si wapalestina. Nakushauri urudi tena kwa darasa ukajifunze kwa nini nchi moja inaamua kuwa na mahusiano ya kidemokrasia na nchi nyingine.
Wewe unajuwa nini kuhusu demokrasiya ya israel?soma waulize dini zingine zilizoko israel kama kuna demokrasia?hapo hamna tofauti na saudarabia ambapo dini zingine haziruhusiwi kujenga nyumba ya ibada zaidi ya zilizoko na wayahudi akibadili dini kuingia ukristo au uislamu anashitakiwa hiyo ni fact kuhusu demokrasia ya israel.
 
Haujasema kweli katika suala la Israel na Palestina. Si kwamba Tanzania hatukufungamana na upande wowote, bali tulikuwa tunaiunga mkono PLO ya Palestina na kuilaani Israel. Nakumbuka mwaka 1992 nikiwa sekondari 'nilitembezwa' Matembezi ya Mshikamano kuiunga mkono PLO. kwa hiyo si kwamba hatukufungamana na upande wowote, so please re-check your facts.
Aaahhh kumbeeeee.uko upande wa palestinaa.hauko upande wa tanzania
Unaongea kwa manufaa ya palestina na sio tanzania
 
Wewe unajuwa nini kuhusu demokrasiya ya israel?soma waulize dini zingine zilizoko israel kama kuna demokrasia?hapo hamna tofauti na saudarabia ambapo dini zingine haziruhusiwi kujenga nyumba ya ibada zaidi ya zilizoko na wayahudi akibadili dini kuingia ukristo au uislamu anashitakiwa hiyo ni fact kuhusu demokrasia ya israel.

Who cares about their democracy? kwani Mbona Marekani bado inashirikiana na Tanzania, kwani hawajui kama Tanzania kuna ufisaidi wa kutisha au tunaua albino? Jiongeze.
 
Back
Top Bottom