jonas amos
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 3,648
- 4,452
Tatizo hujasem faida pengime tungepima tupate majibu stahki
Waarabu wenyewe hawana msaada zaidi ya kutuletea Utumwa, Uislamu na Ugaidi!
Hao wafungwa 2000 waliopo Jela ni Raia wa Nchi gani ?Najua kuna baadhi ya watu wanashangilia sana ujio wa Kiongozi mkubwa wa Israeli kwenye nchi za AM na hata nchi yetu pia iliwakilishwa ingawaje Raisi wetu hakwenda namuunga mkono kwa hilo!
Binafsi naona kwamba siyo jambo la busara kushirikiana na nchi hiyo ya Israeli, na sababu ni kwamba nchi hiyo ina maadui wengi sana na niijuavyo Israeli, Kiongozi wao hakuja hapa kwa sababu anapenda kusaidia nchi zetu kama ambavyo wengi wanaamini, kwani kama ingekuwa ni hivyo kwa nini hakuja miaka 5 iliyopita? kwa nini leo hii? Hivyo basi ingawaje hilo linaweza kuwa kweli kwa upande mmoja lkn pia tusisahau kwamba Israeli wanategemea msaada wetu kwao pindi watuhitajipo, sasa ni msaada gani tutawapa Israeli?
Ninachopenda kuonya mimi ni kwamba sasa hivi Dunia imechafuka na inaendelea kuchafuka siku hadi siku, kitakachokuja kutokea ni kwamba maadui wa Israeli watakuwa maadui wetu, ghafla na sisi tutaingia kwenye hayo magomvi ya akina Irani, Uturuki na sijui Urusi na Isis, Je tunaweza kukabili hali hiyo?
Kulikuwa na sababu kwa nini Mlm.Nyerere alifwata Siasa za ,,kutofungamana na upande wowote ule", alielewa hili, kwani Mlm.Nyerere alisomea Historia tena huko huko Ulaya hivyo uelewa wake wa Siasa za kidunia ulikuwa mkubwa sana na hakuwa mjinga alivyoamua kujitenga nchi na Siasa za Mataifa makubwa au unaweza kusema kutokuchagua upande!
Hivyo tuchekelee kushirikiana na Israeli lkn siku wakituhitaji tusianze kusema hayatuhusu, hapo ndipo tutakapojua MOSAD ni nani, na je tuko tayari kuwafanya maadui wa Israeli maadui wetu?
Tukumbuke kwamba hakuna msaada unaokuja bure, hata ukisikia USA wametoa msaada TZ basi ujue ni lazima kwa mfano computer ziwe za Dell na siyo Toshiba, ukisikia Ujapani wametoa fedha za br. ni lazima Kampuni ya Japani ndiyo ijenge vile vile Uchina, hivyo kama tunachekelea kupata misaada ya Israeli pia tukubali kuwa nao watakapo tuhitaji, hayo mambo ya akina Boko Haram, Al shabab sijui Koni huko Uganda msifikiri yapo tu bila ya sababu ...
Binafsi nisingependa TZ yetu ijiingize kwenye hayo maugomvi, kwani hatuwezi kuhimili kuwa na maadui!
*
In the UN there are many [resolutions] which target Israel and we want to change this with the help of the Africans,” Arye Oded, a former Israeli ambassador to Kenya and Uganda, told German broadcaster DW
Israeli exports to Africa totaled about $1 billion last year, about 2% of its total exports.
With insurgencies and Takfiri militancy growing across Africa, including Qaeda-affiliated al-Shabaab and Daesh-linked Boko Haram, Israeli leaders are looking to sell advanced military equipment to the continent, the New York Times wrote.
Netanyahu is also expected to discuss the eviction of around 40,000 migrants and refugees from Sudan and Eritrea who entered Israel through Egypt.
According to the British daily Financial Times, Israel has reached an agreement with Uganda and Rwanda to resettle the refugees.
Last year, Israel ordered African migrants to choose between deportation and indefinite imprisonment. About 2,000 Africans are reportedly held in Israeli prisons.
Una akili gani ya kuombwa msaada na ISRAEL?Umekuwa na urafiki na maadui wa Israel umewapa msaada gani?Haya mambo yanakwenda ndani sana kuliko unavyodhania, sasa unafikri Misri leo hii kuna Amani ya kudumu? Ninachosema ni kwamba Israeli ana maadui wengi na ipo siku pia ataomba msaada kwetu hajakuja hapa bure hata siku moja, amekuja kwa ajenda maalumu!
Kuna ukwelii hapa..Israel na Afrika kusini enzi ya Makaburu walikuwa wanashirikiana Maabara kutafuta vijidudu vya kumzuru Mtu mweusi, walitumia mabilioni ya pesa.
Israel gani unauozungumza ya bibilia au hii,ya bibilia siyo hii ya leo, kwani israel inayozungumzwa ni ya wana wa abraham na siyo hawa wa khazar,hawa khazar walibadili dini kutoka pagani na kuingia dini ya ki jews kisha kuteka nchi ya israel,lakini wenye asili ni palestinian jews,palestinian cristians na palestinians muslims,na wote hawa ni ndugu na siyo wasrabu kama media inavyo eleza. Na DNA imeprove hivyo.hao ndiyo wana wa abraham,pamoja na jayo yoote waafrika tunaamini watu weupe na kila mmoja anatutumia kupitia maandiko leo mwaafrika anabaguliwa kila mahali hata huko israel wafalasha wamechomwa sondano kwa siri miaka nyingi wakienda hospitalini ili wasizaliane,kwahiyo mtu mweusi ni ngumu sana kujielewa na mwepesi kutumika na kupigsna na ndugu yake kumlinda mweupe,na historia inaeleza waliokuwa wakikamata watumwa walikuwa weusi.Israeli Historian: Palestinians Are Biological Descendants of Bible’s JewsBlessed is he who bless Israel
Ulisoma post niliyokuwa nimei-quote?we u
wewe unadhani wanyarwanda wakija hapa tz wanakuja kufanya kazi bure ni watoto wa mjomba au shangazi yako?
Hao wafungwa 2000 waliopo Jela ni Raia wa Nchi gani ?
Kuna haja gani ya waarabu kung'ang'ania ardhi ndogo kiasiIsrael gani unauozungumza ya bibilia au hii,ya bibilia siyo hii ya leo, kwani israel inayozungumzwa ni ya wana wa abraham na siyo hawa wa khazar,hawa khazar walibadili dini kutoka pagani na kuingia dini ya ki jews kisha kuteka nchi ya israel,lakini wenye asili ni palestinian jews,palestinian cristians na palestinians muslims,na wote hawa ni ndugu na siyo wasrabu kama media inavyo eleza. Na DNA imeprove hivyo.hao ndiyo wana wa abraham,pamoja na jayo yoote waafrika tunaamini watu weupe na kila mmoja anatutumia kupitia maandiko leo mwaafrika anabaguliwa kila mahali hata huko israel wafalasha wamechomwa sondano kwa siri miaka nyingi wakienda hospitalini ili wasizaliane,kwahiyo mtu mweusi ni ngumu sana kujielewa na mwepesi kutumika na kupigsna na ndugu yake kumlinda mweupe,na historia inaeleza waliokuwa wakikamata watumwa walikuwa weusi.Israeli Historian: Palestinians Are Biological Descendants of Bible’s Jews
Kuna haja gani ya waarabu kung'ang'ania ardhi ndogo kiasi
wakati tunapigana na uganda idi amini alinda kuomba msaada israel wakamkatalia ila wapalestina walijitolea kumsaidia Idi amini kwa akili yako nani ni rafiki wa kweli
Nafikiri hata hauelewi kinachoendelea huko ningekushauri kwanza uulize ili uelekezwe au jaribu kujielimisha kuhusu hilo eneo!
Unafahamu kwanza Mwarabu ni nani? Unaposema Mwarabu ni kama vile useme Mwafrika huoni kwamba umeongelea kiujumla sana?
Je unafahamu kwamba Wayahudi na Wapelestina ni ndugu moja? Unafahamu hata Lugha yao ina asili moja?
Je unafahamu kwamba kinachowatenganisha ni Imani tu lkn ni watu wamoja?
Israel gani unauozungumza ya bibilia au hii,ya bibilia siyo hii ya leo, kwani israel inayozungumzwa ni ya wana wa abraham na siyo hawa wa khazar,hawa khazar walibadili dini kutoka pagani na kuingia dini ya ki jews kisha kuteka nchi ya israel,lakini wenye asili ni palestinian jews,palestinian cristians na palestinians muslims,na wote hawa ni ndugu na siyo wasrabu kama media inavyo eleza. Na DNA imeprove hivyo.hao ndiyo wana wa abraham,pamoja na jayo yoote waafrika tunaamini watu weupe na kila mmoja anatutumia kupitia maandiko leo mwaafrika anabaguliwa kila mahali hata huko israel wafalasha wamechomwa sondano kwa siri miaka nyingi wakienda hospitalini ili wasizaliane,kwahiyo mtu mweusi ni ngumu sana kujielewa na mwepesi kutumika na kupigsna na ndugu yake kumlinda mweupe,na historia inaeleza waliokuwa wakikamata watumwa walikuwa weusi.Israeli Historian: Palestinians Are Biological Descendants of Bible’s Jews
Mtoa mada unaweza kutupa hata mfano wa nchi moja ambayo ni inashirikiana na Israel imeingia kwenye mgogoro na maadui wa Israel kwa sasabu ga ushirikiano wake?
Halafu kwenye mada uliyoileta utapata watu wenye mitaxamo inayotofautiana kwa sababu Wakristo wanaamini kuwa ISRAEL ni taifa TUELE LA MUNGU hivyo kushirikiana nalo ni lazima ndo mana kuna mtu kacomment kuwa ushirikiano kati ya TZ Nna Israel ni "must"