Madhara ya kushirikiana na Israeli!

Madhara ya kushirikiana na Israeli!

uwe na ushirikiano na waafrica wenzako ili mpambane na fikira potofu ya kuambiwa pepo inaletwa na watu weupe.
Sasa wakiteswa wapalestina inatuhusu nini sie? badala ya kuzungumzia shida zetu tumeng'ang'ana wapalestina wapalestina utafikiri tumelogwa! sijui tumekula maharage ya wapi!!!
 
Moronic ideas. Sisi si wapalestina. Nakushauri urudi tena kwa darasa ukajifunze kwa nini nchi moja inaamua kuwa na mahusiano ya kidemokrasia na nchi nyingine.

Dunia nzima ingekuwa na moyo wa kibinafsi kama wewe basi hata sisi leo hii tusingekuwa hapa, AK Apartheid iliisha kwa sababu Dunia nzima walisema,, sisi ni Waafrika weusi" kwa maana ya kuungana pmj ili kutetea haki ya mtu mweusi, utumwa uliisha kwa sababbu Dunia nzima walisema sasa utumwa basi na hivyo tukaacha kuuzwa, Ukoloni uliisha kwa sababu watu ambao hawakuwa wabinafsi kama wewe walisimama na sisi Waafrika na kuumaliza, hivyo Wapelestina pia wanastahili mtetezi na uzuri ni kwamba mambo yanabadilika kila siku tayari UN imeitaka Israeli isitishe mara moja ujenzi wa makazi yao kwenye makazi ya Wapalestina, USA, EU, Asia zote kwa pmj zimeitishia Israeli kwamba hawaitaisapoti kwenye UN kama ikiendelea na kuwakandamiza Wapalestina na ndiyo maana mkono wa damu Netanyahu kaamua kuja Afrika kwa maana anajua kuna watu kama wewe ambao hata hawajui Dunia inakwendaje watamuunga mkono kwa sababu ambazo unazijua wewe mwenyewe lkn nina uhakika siyo za kidini na wala hazina uhusiano wowote ule na ukristo, yaani sababu zako za kuunga mkono mambo ya Israeli siyo za kidini hilo nina uhakika wa 100%!
 
VP kuhusu ile ishu ya kuwafunga uzaz wa2 weuc
Unajua mwafrika anapenda raha na shortcut ya maisha,ndiyo maana wanatumika sana na weupi hata machifu walipewa ushanga wakawa wanauza wenzao,mwafrica ukimwambia kina utaingia peponi ukimsifu mtu mweupe atamuua mwafrica mwenzake.hata maalbino wanapata shida ,wakongwe masikini,angalia wakiambiwa utaombewa upate hela jinsi wanavyo toka,maisha ya mwafrika haito badilika kwa miujiza ila kwa kwenda na mambo ya ukweli na siyo vitabu za weupe,hao mafalasha ni watumwa wengine kazi zote chafu ni zao kizoa taka kusafisha vyoo nk.
 
Haya mambo yanakwenda ndani sana kuliko unavyodhania, sasa unafikri Misri leo hii kuna Amani ya kudumu? Ninachosema ni kwamba Israeli ana maadui wengi na ipo siku pia ataomba msaada kwetu hajakuja hapa bure hata siku moja, amekuja kwa ajenda maalumu!
Nchi za hatari ni za kiarabu mbona tuna mahusiano nazo wakati wanajilipua kila uchao na mpaka misikitini kwao wao ni kujilipua tu.
 
Nchi za hatari ni za kiarabu mbona tuna mahusiano nazo wakati wanajilipua kila uchao na mpaka misikitini kwao wao ni kujilipua tu.
​
Nchi za Kiarabu zinaingiaje hapa? Na kama wanajilipua mimi hilo linanihusu nini?​
 
Sasa wakiteswa wapalestina inatuhusu nini sie? badala ya kuzungumzia shida zetu tumeng'ang'ana wapalestina wapalestina utafikiri tumelogwa! sijui tumekula maharage ya wapi!!!
Haituhusu chochote ni ujinga wa waafrica kukimbilia watu weupe na kutukana ndugu zao kwa ajili ya weupe,ukitoka africa kitambulisho chako cha kwanza ni uweusi wako,dini ni hiyari yako lakini uwafrica wako ni bora kuliko vyote,na huwa inanikera mwafrica akiwacha historia yake na bado kumtea mtu mweupe na kusahau kuwa tuma mambo yetu mengi ya kutatua.leo hii mwafrica adui yake mwafrica ukifika mipakani mkenya,mzaire,malawi,msomali,mganda anasumbuliwa halafu mhindi,mwaarabu,mchina,mzungu anapatiwa huduma nzuri,ukombozi wa africa kiuchumi itakuja kwa kijielewa kwanza mwafrica,hakuna mtu mweupe atakaye komboa africa zaidi ya mwafrica mwenyewe,mwafrica ni mtumwa wa kidini.
 
​
Nchi za Kiarabu zinaingiaje hapa? Na kama wanajilipua mimi hilo linanihusu nini?​
Usijifarague wewe si ni mwenzao!!!maana sisi tunajua waarabu na Israel ni maadui sasa na wewe umenunua huo ugomvi na kutaka kutupandikizia sisi tumekukundua mapema wewe ni kibaraka wa waarabu tu.
 
Usijifarague wewe si ni mwenzao!!!maana sisi tunajua waarabu na Israel ni maadui sasa na wewe umenunua huo ugomvi na kutaka kutupandikizia sisi tumekukundua mapema wewe ni kibaraka wa waarabu tu.

Kibaraka wa Mwarabu ndiyo mtu gani? ana sifa gani? Kuwa mtetezi wa Waplestina ndiyo mtu unakuwa kibaraka wa Mwarabu? Wazungu, Wajapani walivyokuwa wanatetea ukandamizwaji wa watu weusi AK walikuwa ni vibaraka wetu? Fumbua macho kijana hii Dunia ni kubwa zaidi ya hapo, usiangalie kila kitu i black & white kuna rangi nyingine pia!
 
Dunia nzima ingekuwa na moyo wa kibinafsi kama wewe basi hata sisi leo hii tusingekuwa hapa, AK Apartheid iliisha kwa sababu Dunia nzima walisema,, sisi ni Waafrika weusi" kwa maana ya kuungana pmj ili kutetea haki ya mtu mweusi, utumwa uliisha kwa sababbu Dunia nzima walisema sasa utumwa basi na hivyo tukaacha kuuzwa, Ukoloni uliisha kwa sababu watu ambao hawakuwa wabinafsi kama wewe walisimama na sisi Waafrika na kuumaliza, hivyo Wapelestina pia wanastahili mtetezi na uzuri ni kwamba mambo yanabadilika kila siku tayari UN imeitaka Israeli isitishe mara moja ujenzi wa makazi yao kwenye makazi ya Wapalestina, USA, EU, Asia zote kwa pmj zimeitishia Israeli kwamba hawaitaisapoti kwenye UN kama ikiendelea na kuwakandamiza Wapalestina na ndiyo maana mkono wa damu Netanyahu kaamua kuja Afrika kwa maana anajua kuna watu kama wewe ambao hata hawajui Dunia inakwendaje watamuunga mkono kwa sababu ambazo unazijua wewe mwenyewe lkn nina uhakika siyo za kidini na wala hazina uhusiano wowote ule na ukristo, yaani sababu zako za kuunga mkono mambo ya Israeli siyo za kidini hilo nina uhakika wa 100%!
wewe tumeshakujua ni kibaraka wa waarabu hivyo umetumwa na na Mabwana zako waarabu ili kupandikiza chuki zisizo na msingi hapa,Tunashukuru sasa tuna uhusiano na wa Kibalozi na Israel na wewe na waarabu wako kajinyongeni sasa ili hasira zenu zitulie dhidi ya Israel.
 
Najua kuna baadhi ya watu wanashangilia sana ujio wa Kiongozi mkubwa wa Israeli kwenye nchi za AM na hata nchi yetu pia iliwakilishwa ingawaje Raisi wetu hakwenda namuunga mkono kwa hilo!

Binafsi naona kwamba siyo jambo la busara kushirikiana na nchi hiyo ya Israeli, na sababu ni kwamba nchi hiyo ina maadui wengi sana na niijuavyo Israeli, Kiongozi wao hakuja hapa kwa sababu anapenda kusaidia nchi zetu kama ambavyo wengi wanaamini, kwani kama ingekuwa ni hivyo kwa nini hakuja miaka 5 iliyopita? kwa nini leo hii? Hivyo basi ingawaje hilo linaweza kuwa kweli kwa upande mmoja lkn pia tusisahau kwamba Israeli wanategemea msaada wetu kwao pindi watuhitajipo, sasa ni msaada gani tutawapa Israeli?

Ninachopenda kuonya mimi ni kwamba sasa hivi Dunia imechafuka na inaendelea kuchafuka siku hadi siku, kitakachokuja kutokea ni kwamba maadui wa Israeli watakuwa maadui wetu, ghafla na sisi tutaingia kwenye hayo magomvi ya akina Irani, Uturuki na sijui Urusi na Isis, Je tunaweza kukabili hali hiyo?

Kulikuwa na sababu kwa nini Mlm.Nyerere alifwata Siasa za ,,kutofungamana na upande wowote ule", alielewa hili, kwani Mlm.Nyerere alisomea Historia tena huko huko Ulaya hivyo uelewa wake wa Siasa za kidunia ulikuwa mkubwa sana na hakuwa mjinga alivyoamua kujitenga nchi na Siasa za Mataifa makubwa au unaweza kusema kutokuchagua upande!

Hivyo tuchekelee kushirikiana na Israeli lkn siku wakituhitaji tusianze kusema hayatuhusu, hapo ndipo tutakapojua MOSAD ni nani, na je tuko tayari kuwafanya maadui wa Israeli maadui wetu?

Tukumbuke kwamba hakuna msaada unaokuja bure, hata ukisikia USA wametoa msaada TZ basi ujue ni lazima kwa mfano computer ziwe za Dell na siyo Toshiba, ukisikia Ujapani wametoa fedha za br. ni lazima Kampuni ya Japani ndiyo ijenge vile vile Uchina, hivyo kama tunachekelea kupata misaada ya Israeli pia tukubali kuwa nao watakapo tuhitaji, hayo mambo ya akina Boko Haram, Al shabab sijui Koni huko Uganda msifikiri yapo tu bila ya sababu ...

Binafsi nisingependa TZ yetu ijiingize kwenye hayo maugomvi, kwani hatuwezi kuhimili kuwa na maadui!

*
In the UN there are many [resolutions] which target Israel and we want to change this with the help of the Africans,” Arye Oded, a former Israeli ambassador to Kenya and Uganda, told German broadcaster DW

Israeli exports to Africa totaled about $1 billion last year, about 2% of its total exports.

With insurgencies and Takfiri militancy growing across Africa, including Qaeda-affiliated al-Shabaab and Daesh-linked Boko Haram, Israeli leaders are looking to sell advanced military equipment to the continent, the New York Times wrote.

Netanyahu is also expected to discuss the eviction of around 40,000 migrants and refugees from Sudan and Eritrea who entered Israel through Egypt.

According to the British daily Financial Times, Israel has reached an agreement with Uganda and Rwanda to resettle the refugees.

Last year, Israel ordered African migrants to choose between deportation and indefinite imprisonment. About 2,000 Africans are reportedly held in Israeli prisons.

Absolutely
 
I think, and I would like my country to keep on supporting the noble cause of Palestinians. The suffering of Palestinians goes much beyond our religious and racial affiliations.
Supporting Israel simply because you are a Christian it's nonsense. Also supporting Palestinians simply because you are Moslem it's also nonsense.
 
wewe tumeshakujua ni kibaraka wa waarabu hivyo umetumwa na na Mabwana zako waarabu ili kupandikiza chuki zisizo na msingi hapa,Tunashukuru sasa tuna uhusiano na wa Kibalozi na Israel na wewe na waarabu wako kajinyongeni sasa ili hasira zenu zitulie dhidi ya Israel.

Lakini kwa taarifa yako tu labda hili haulifahamu ngoja nikwambie, ukimuuliza Muisraeli achgue kati yako wewe Mwafrika mweusi na Mwarabu pmj na mataizo yote aliyonayo Muisrali na Mwarabu atachagua Mwarabu, na ndiyo maana pmj na kuwa na Waarabu wengi Israeli lkn wanaobaguliwa na kuondolewa vizazi ili wasizae ni Waafrika weusi kama mimi na wewe na siyo Waarabu, Israeli kuna Wakimbizi wengi wa kiarabu ktk Syria, Lebanoni na kwingineko na wanashi Israeli imewachukuwa lkn hawaitaki wakimbizi wa weusi wa Kiafrika na wengi wako jela, ndiyo maana Netanyahu amekuja Rwanda anataka kuwarudisha, hivyo usifikiri utetezi wako wa Israeli ndiyo utaongeza thamani ya utu wako wewe kama Mwafrika kwake!
 
Wewe una agenda yako ya siri,
una chuki na Israel kwa imani yako!!
Neno la Bwn linasema atakaye kulaani nitamlaani, nitambariki atakaye kubariki!!
Huoni hizo laana zinavyo angamiza mataifa??
Kwani hayo mataifa yanayo pambana na IS yanahuusiano wowote na Israel??
Kwa hiyo wewe mwafrica unaamini mambo yako yatakuwa mazuri ukimsifia mwisraeli?LOL utumwa hatoisha africa,basi na mchina kesho akija na kitabu akikuambia umtumikie utabarikiwa utakubali tuu,wake up uko kwenye ndoto kubwa sana ya kuamini weupe,hivi wewe mweusi ungeenda na kitabu kwa .weupe umwambie hayo maneno angekufuata kweli?mtu mweupe angejua pepo palipo asinge mwonyesha mwensi milele.
 
I think, and I would like my country to keep on supporting the noble cause of Palestinians. The suffering of Palestinians goes much beyond our religious and racial affiliations.
Supporting Israel simply because you are a Christian it's nonsense. Also supporting Palestinians simply because you are Moslem it's also nonsense.

Na hili ndiyo tatizo kubwa lilipo hapa nchini ukisema Israeli tayari mtu anahusisha na Dini ukisema Palestina tayari wewe unaambiwa ni Muislamu lkn wanashindwa kuelewa Dunia hii imesha move on na haya mambo, sasa hivi watu wanaangalia utu na haki na siyo Dini na ndiyo maana pmj na ukristo wao Wazungu wenyewe nchi nyingi za Ulaya zinajitolea kusimama na Wapalestina, Bajeti kubwa ya Wapalestina inalipwa na Wazungu!
 
Haituhusu chochote ni ujinga wa waafrica kukimbilia watu weupe na kutukana ndugu zao kwa ajili ya weupe,ukitoka africa kitambulisho chako cha kwanza ni uweusi wako,dini ni hiyari yako lakini uwafrica wako ni bora kuliko vyote,na huwa inanikera mwafrica akiwacha historia yake na bado kumtea mtu mweupe na kusahau kuwa tuma mambo yetu mengi ya kutatua.leo hii mwafrica adui yake mwafrica ukifika mipakani mkenya,mzaire,malawi,msomali,mganda anasumbuliwa halafu mhindi,mwaarabu,mchina,mzungu anapatiwa huduma nzuri,ukombozi wa africa kiuchumi itakuja kwa kijielewa kwanza mwafrica,hakuna mtu mweupe atakaye komboa africa zaidi ya mwafrica mwenyewe,mwafrica ni mtumwa wa kidini.
Re check your thinking mkuu. Kweli taabu na kadhia za wapalestina hazikuhusu? Live and let others live. This world has got enough for everyone of us.
 
Kibaraka wa Mwarabu ndiyo mtu gani? ana sifa gani? Kuwa mtetezi wa Waplestina ndiyo mtu unakuwa kibaraka wa Mwarabu? Wazungu, Wajapani walivyokuwa wanatetea ukandamizwaji wa watu weusi AK walikuwa ni vibaraka wetu? Fumbua macho kijana hii Dunia ni kubwa zaidi ya hapo, usiangalie kila kitu i black & white kuna rangi nyingine pia!
Lakini kwa taarifa yako tu labda hili haulifahamu ngoja nikwambie, ukimuuliza Muisraeli achgue kati yako wewe Mwafrika mweusi na Mwarabu pmj na mataizo yote aliyonayo Muisrali na Mwarabu atachagua Mwarabu, na ndiyo maana pmj na kuwa na Waarabu wengi Israeli lkn wanaobaguliwa na kuondolewa vizazi ili wasizae ni Waafrika weusi kama mimi na wewe na siyo Waarabu, Israeli kuna Wakimbizi wengi wa kiarabu ktk Syria, Lebanoni na kwingineko na wanashi Israeli imewachukuwa lkn hawaitaki wakimbizi wa weusi wa Kiafrika na wengi wako jela, ndiyo maana Netanyahu amekuja Rwanda anataka kuwarudisha, hivyo usifikiri utetezi wako wa Israeli ndiyo utaongeza thamani ya utu wako wewe kama Mwafrika kwake!
Ndiyo maana ninasema wewe ni kibaraka wa waarabu,maana waarabu na Israel wana uadui hivyo wewe sasa hivi unafanya kazi za Mabwana zako waarabu kupandikiza chuki zisizo na ukweli ili na sisi tuichukie Israel kama walivyo Mabwana zako,sisi siyo wajinga kama wewe.
 
Usiwafanye watu wajinga wewe,umeambiwa mda mrefu kuwa mbona Tanzania ina mahusiano na nchi nyingi tu zenye maadui dunia nzima??? Leo wewe unataka kutuambia nini???Tumikia mabwana zako salama acha nchi yetu ifaidike na uhusiano na Israel na kwa chuki zako huwezi kuzuia mahusiano haya maana tayari yapo na yanaendelea kama Ugaidi wenu tutapambana nao tu.
 
Stemcell, kwahiyo bora uwalaani tu Wapalestina ili mambo yako yawe swaafi.
 
Back
Top Bottom