Madhara ya kushirikiana na Israeli!

Madhara ya kushirikiana na Israeli!

Wana JF,
Tuache kupotosha mada hii. Israel inayozungumziwa na Biblia ni ileile ya sasa knayoongozwa na Ben Netanyahu.
Biblia inatufundisha kuwa Abramu na baadaye Abrahamu ndiye baba wa Wana Israel ambao walichukuliwa Misri utumwani na baadaye kurudishwa katika nchi yao ya Ahadi Kanani ambayo ndipo ilipo nchi ya Israel ya sasa. Tunaposoma Biblia kitabu cha Mwanzo(Genesis)12:1-3 inasema,

1 The LORD had said unto Abram, Get thee out of thy country, and from thy kindred, and from thy father's house, unto a land that I will shew thee.
2And I will make of thee a great nation, and I will bless thee, and make thy name great; and thou shalt be a blessing:

3And I will bless them that bless thee, and curse him that curseth thee: and in thee shall all families of the earth be blessed.

Sina maneno ya kufasiri kwa kiswahili lakini ni wazi kabisa Mungu alimaanisha kuwa Abrahamu ndiyo asili ya Israel ya sasa na
Abrahamu alimzaa Isaka naye Isaka akamzaa Yakobo(Israel).
Biblia imesema kuhsu Ishmael aliyezaliwa na mjakazi wa Sarah mkewe Ibrahimu kwa vile alikuwa tasa kwa muda mrefu. Uzao wa Ishmae(Palestina)haukuwa mpango mkamilifu wa Mungu na Biblia inasema huyu alikuwa mtoto wa haramu na kamwe asinge rithi pamoja na Isaka lakini atakuwa mwiba kwa ndugu yake Isaka!

Sote tunajua kinachoendelea kati ya Israel na Palestina and that is biblical and nobody can change that! Hivo basi kuisusia na KULAANI ISRAEL NI KUJITAFUTIA LAANA ya bure.

Tanzania kwa mara ya kwanza ulivunja uhudiano wa kibalozi na Israel baada ya vita vya Israel na Waarabu mwaka 1967 na ndiyo maana hatuna balozi wetu nchini Israel wala wao hawana balozi ao hapa kwetu.

Hili lilikuwa kosa kubwa sana alilowahi kufanya Baba wa Taifa Mwl.Nyerere(rip).Hapo ndipo laana ya Tanzania ilipoanzia(let this think deep into thine tiny mind).Mungu si mwanadamu hata aseme uongo! Dhambi ya kulaaniwa na Mungu baada ya kuilaani Israel na kuvunja ubalozi wake bado inatutafuna Tanzania. Hapa ndipo penye majibu ya KWANINI TANZANIA INA UTAJIRI WA RASLIMALI ZA ASILI KAMA MADINI,GASI ASILIA, WANYAMA,ARDHI KUBWA NA MIFUGO LAKINI NCHI BADO NI MASKINI?Hili swali aliulizwa JK a.k.a Mzee wa Msoga na mtangazaji wa BBC akajibu kuwa HATA YEYE KAMA RAIS ALIKUWA HAJUI!Na kweli hajui mpaka sasa!
Inaskitisha mtu ameleta uzi hapa ati anashabikia PM wa Israel kutoitembelea Tanzania kati ya nchi 3 muhimu za waanzilishi wa EA ya kale! Mtu hajiulizi ni kwa nini Ben Netanyahu kafika Uganda,Kenya,Rwanda na Ethiopia! Labda nitoe mfano mdogo tu wa hizi nchi 4 alizotembelea Netanyahau.Kwa vile vina ufungamano na utengamano na Israel nchi ZIMEBARIKIWA KATIKA CHUMI ZAO NDIYO MAANA UCHUMI WA NCHI HIZI(BLESSED) UKO VIZURI AS COMPARED TO TANZANIA(CURSED).
Ukiangalia nchi zote hizi hazina utajiri wa Raslimali kama Tanzania lakini ZOTE ZINA MASHIRIKA YA NDEGE YALIYO IMARA:Kenya Airways,Uganda Airways,RwandaAirways,Ethiopian Airways!!!!Tanzania Airways iko ICU inapumulia mashine! Tanzania peke yetu kwa maana ya dunia ndo tuna madini ya TANZANITE lakini Wakenya wanaongoza kwa kuuza madini haya nje ya nchi yao!
Angalia kwenye utalii Kenya wanatuzidi kwa biashara ya Utalii kwa mbali kabisa kwa vile wako smart kwenye utangazaji wa biashara hii kiasi kwamba ni kazi kuwashawishi Wazungu/Watalii kwamba MLIMA KILIMANJARO HAUKO KENYA!!!
Udhaifu wote huu wa Tanzania kushindwa kutumia fursa hizi tulizo jaaliwa na Mwenye enzi Mungu ni sehemu tu ya LAANA HII YA MUNGU KWA KUSHINDWA KUHESHIMU MAAGIZO YA MUNGU YA KULIHESHIMU TAIFA LA ISRAEL!!
Kama serikali ya Magu na CCM yake anapenda kuona nchi hii uchumi wake ukitamalaki basi lazima kurejesha uhusiano na Israel ikiwa ni pamoja na kufungua ofisi za Ubalozi kati ya nchi hizi 2 vinginevo laana itaendelea kuitafuna nji hii!
Najua kuna Waislamu hawapendi kusikia habari hii kwasababu ambazo mimi naziita ni za kipuuzi.

Kama unaamua kutumia Biblia basi naamini kwamba wewe Mkristo au unajiita Mkristo na kama hilo ni kweli basi nitadiriki kusema hata Dini yako yenyewe hauilewi, hivyo unaamini tu na kupelekeshwa, jaribu kwanza kuzielewa hizo Dini siyo unaamini tu juu juu!
 
Barbarosa,
Wewe achana na udini mimi nazungumzia kile tu vitabu vitakatifu vinasema ikiwa ni pamoja Quran ambamo ndani yake kuna Tourati,Injili na Zaburi na zote zimezungumza habari ya Nabii Musa, Ibrahimu,Isahaka na huyo Ishumaeli kwamba hwa wawili ni uzao wa Ibrahimu na kutoka kwao tuna haya mataifa 2 Israel na Palestina/Arabs! If that being the case, can you please prove me beyond reasonable doubt that inachosema Biblia ni contrary na hichi nilichosema kuhusu Israel?Una hiari ya kutumia Biblia na Kurani kwa vile vyote ni vitabu vya Mwenye enzi Mungu.
Je,unaweza kunithibitishia kwa mfano miji kama Yerusalemu iliyotajwa kwenye Biblia siyo hii tuliyo nayo sasa ambayo ndiyo Makao makuu ya Serikali ya Israel? Vipi kuhusu mji kama Bethelehemu alikozaliwa Nabii Issa(Yesu Kristo)?
Lakini pia unaweza kunithibitishia Palestina ya sasa na ile iliyotajwa kwenye Biblia na miji ya Kiarabu kama Mecca na Medina, uhusiano wa historia ya miji hiyo enzi za mtume Mohamed(SAW) na maandiko ya Tourati,Injili,Zaburi na Quran?
Nia ya JF ni kuelimishina. The floor is yours sheikh.
 
nikumbushe tu kwamba UDSM ilijengwa na wayahudi kwa sehemu kubwa
 
Kwanza kuna jambo moja ningependa nikueleze kama ulikuwa haulifahamu kabla ya kuanza hiyo safari, nalo ni hakuna tofauti kati ya Mpalestina na Muisraeli zaidi ya Dini, mmoja ni muumini wa Dini ya Kiislamu mwingine ni Muumini ya Uyahudi, lkn wote hawa wawili wana asili ya eneo moja hata Lugha yao ni familia moja, hilo ni muhimu sana na unapswa ulielewe hivyo uhusiano wa Mpalestina na Muisraeli ni karibu zaidi klk wako wewe na Muisraeli/Palestina au wangu mimi na Muisreli/Palestina!
 
Sheikh,
This is too cheap and too shallow to buy!
Kwa maelezo haya wewe ni maamuma tu na hata hiyo dini unayojidai kuifahamu huna lolote. Israel na Palestine ni mataifa 2 tafauti na kila nchi ina serkali yake na Muisrael anaongea Kiebrania(Hebrew) na Mpalestina anaongea Kiarabu(Arabic)! Sasa unaposema asili yao ni eneo moja na lugha moja husomeki! Kama ni asili moja na jamii moja Vita visivyoisha vya Mpalestina na Muisrael ni vya nini?
Kuhsu utofauti wa dini ni mtazamo wako finyu. Wewe unafikiri ugomvi wa nchi hizi mbili ni Ukristo zidi ya Uisalamu? Kuna Waarabu/Wapaletina ni Wafuasi wa dini ya kikristo wazuri tu.
Katika hili inaonekana sheikh huna hoja!
 
Usiwe na jazba, twende pole pole, sijasema kwamba ni Lugha moja bali nimesema ni lugha ya familia moja, kama ulikuwa haufahamu Kiarabu na Hebrew ni lugha familia moja, zote ni Afro semitic languages pmj na Amharic ya Ethiopia hilo ni muhimu kulifahamu kwanza kabala ya kuingia kwenye Dini, ni kama vile lugha za Kibantu kwetu zilivyokuwa familia moja, yaani Kisukuma, Kiswahili, Kijita n.k zote ni Bantu languages vivyo hivyo Kiarabu na Hebrew!

Mpaka hapo tuko pamoja?
 
Tuwe tayari tukiombwa kusaidia kupambana na Al-Shabab,Boko Haram,IS,waasi wa Benghazi n.k
 
Uhusiano na Israeli ni must! Hatuna namna ingine tena!
Yaani huyu jamaa anaona Ma Pharaoh ambao wanauhusiona mzuri na Israel hawanazo? Misri ni taifa kubwa among the 22 Arab countries and they have diplomatic ties with Israel, why not Tanzania! Saudi Arabia(uhusiano nzuri), Jordan, Turkey all have diplomatic ties with Israel, lazima Tz ifungue ubalozi Tel Aviv.
 
Wana JF,
Tuache kupotosha mada hii. Israel inayozungumziwa na Biblia ni ileile ya sasa knayoongozwa na Ben Netanyahu.
Biblia inatufundisha kuwa Abramu na baadaye Abrahamu ndiye baba wa Wana Israel ambao walichukuliwa Misri utumwani na baadaye kurudishwa katika nchi yao ya Ahadi Kanani ambayo ndipo ilipo nchi ya Israel ya sasa. Tunaposoma Biblia kitabu cha Mwanzo(Genesis)12:1-3 inasema,

1 The LORD had said unto Abram, Get thee out of thy country, and from thy kindred, and from thy father's house, unto a land that I will shew thee.
2And I will make of thee a great nation, and I will bless thee, and make thy name great; and thou shalt be a blessing:

3And I will bless them that bless thee, and curse him that curseth thee: and in thee shall all families of the earth be blessed.

Sina maneno ya kufasiri kwa kiswahili lakini ni wazi kabisa Mungu alimaanisha kuwa Abrahamu ndiyo asili ya Israel ya sasa na
Abrahamu alimzaa Isaka naye Isaka akamzaa Yakobo(Israel).
Biblia imesema kuhsu Ishmael aliyezaliwa na mjakazi wa Sarah mkewe Ibrahimu kwa vile alikuwa tasa kwa muda mrefu. Uzao wa Ishmae(Palestina)haukuwa mpango mkamilifu wa Mungu na Biblia inasema huyu alikuwa mtoto wa haramu na kamwe asinge rithi pamoja na Isaka lakini atakuwa mwiba kwa ndugu yake Isaka!

Sote tunajua kinachoendelea kati ya Israel na Palestina and that is biblical and nobody can change that! Hivo basi kuisusia na KULAANI ISRAEL NI KUJITAFUTIA LAANA ya bure.

Tanzania kwa mara ya kwanza ulivunja uhudiano wa kibalozi na Israel baada ya vita vya Israel na Waarabu mwaka 1967 na ndiyo maana hatuna balozi wetu nchini Israel wala wao hawana balozi ao hapa kwetu.

Hili lilikuwa kosa kubwa sana alilowahi kufanya Baba wa Taifa Mwl.Nyerere(rip).Hapo ndipo laana ya Tanzania ilipoanzia(let this think deep into thine tiny mind).Mungu si mwanadamu hata aseme uongo! Dhambi ya kulaaniwa na Mungu baada ya kuilaani Israel na kuvunja ubalozi wake bado inatutafuna Tanzania. Hapa ndipo penye majibu ya KWANINI TANZANIA INA UTAJIRI WA RASLIMALI ZA ASILI KAMA MADINI,GASI ASILIA, WANYAMA,ARDHI KUBWA NA MIFUGO LAKINI NCHI BADO NI MASKINI?Hili swali aliulizwa JK a.k.a Mzee wa Msoga na mtangazaji wa BBC akajibu kuwa HATA YEYE KAMA RAIS ALIKUWA HAJUI!Na kweli hajui mpaka sasa!
Inaskitisha mtu ameleta uzi hapa ati anashabikia PM wa Israel kutoitembelea Tanzania kati ya nchi 3 muhimu za waanzilishi wa EA ya kale! Mtu hajiulizi ni kwa nini Ben Netanyahu kafika Uganda,Kenya,Rwanda na Ethiopia! Labda nitoe mfano mdogo tu wa hizi nchi 4 alizotembelea Netanyahau.Kwa vile vina ufungamano na utengamano na Israel nchi ZIMEBARIKIWA KATIKA CHUMI ZAO NDIYO MAANA UCHUMI WA NCHI HIZI(BLESSED) UKO VIZURI AS COMPARED TO TANZANIA(CURSED).
Ukiangalia nchi zote hizi hazina utajiri wa Raslimali kama Tanzania lakini ZOTE ZINA MASHIRIKA YA NDEGE YALIYO IMARA:Kenya Airways,Uganda Airways,RwandaAirways,Ethiopian Airways!!!!Tanzania Airways iko ICU inapumulia mashine! Tanzania peke yetu kwa maana ya dunia ndo tuna madini ya TANZANITE lakini Wakenya wanaongoza kwa kuuza madini haya nje ya nchi yao!
Angalia kwenye utalii Kenya wanatuzidi kwa biashara ya Utalii kwa mbali kabisa kwa vile wako smart kwenye utangazaji wa biashara hii kiasi kwamba ni kazi kuwashawishi Wazungu/Watalii kwamba MLIMA KILIMANJARO HAUKO KENYA!!!
Udhaifu wote huu wa Tanzania kushindwa kutumia fursa hizi tulizo jaaliwa na Mwenye enzi Mungu ni sehemu tu ya LAANA HII YA MUNGU KWA KUSHINDWA KUHESHIMU MAAGIZO YA MUNGU YA KULIHESHIMU TAIFA LA ISRAEL!!
Kama serikali ya Magu na CCM yake anapenda kuona nchi hii uchumi wake ukitamalaki basi lazima kurejesha uhusiano na Israel ikiwa ni pamoja na kufungua ofisi za Ubalozi kati ya nchi hizi 2 vinginevo laana itaendelea kuitafuna nji hii!
Najua kuna Waislamu hawapendi kusikia habari hii kwasababu ambazo mimi naziita ni za kipuuzi.

Nadhani hujaelewa hivi kurani ikisema watu wa makaa halafu mtanzania aliyosilimu akateke maka baada ya karne 18 itawezekana akawa ni mtu wa maka kurany iliyomtaja?hawa kina natanyahu hawana asili ya hapo ni wa khazar na walibadili dini na kuingia uyahudi kama dini,soma historia kabla ya kugeuzwa mtumwa wa watu weupe.
 
Naona mtu mwenye uwezo mdogo akijaribu kujivisha joho la u-great thinker kwa hoja nyepeeeeeeeeeeeesi!Hivi kati ya Israel na Marekani nani ana maadui wengi? Kama tatizo ni maadui mbona marekani tunashirikiana nao.Scare mongering!
 
Israeli ndiyo ana madui wengi klk USA, na maadui wa USA ni kwa sababu ya ukaribu wake na Israeli, ni vita chache sana ambazo USA imepigana kwa ajili ya maslahi yake, karibia vita vyote ambavyo USA imepigana kuanzia Vita kuu ya 1, 2 mpaka Iraki, Somalia ambako Black hawk helicopter ilitunguliwa kwenye battle of Mogadishu mpaka uuliwaji wa Gadafi na NATO vyote kulikuwa na uhusiano wa namna au nyingine na ma zionists!!
 
Conspiracy theories again eh!
 
Najua kuna baadhi ya watu wanashangilia sana ujio wa Kiongozi mkubwa wa Israeli kwenye nchi za AM na hata nchi yetu pia iliwakilishwa ingawaje Raisi wetu hakwenda namuunga mkono kwa hilo!

Binafsi naona kwamba siyo jambo la busara kushirikiana na nchi hiyo ya Israeli, na sababu ni kwamba nchi hiyo ina maadui wengi sana na niijuavyo Israeli, Kiongozi wao hakuja hapa kwa sababu anapenda kusaidia nchi zetu kama ambavyo wengi wanaamini, kwani kama ingekuwa ni hivyo kwa nini hakuja miaka 5 iliyopita? kwa nini leo hii? Hivyo basi ingawaje hilo linaweza kuwa kweli kwa upande mmoja lkn pia tusisahau kwamba Israeli wanategemea msaada wetu kwao pindi watuhitajipo, sasa ni msaada gani tutawapa Israeli?

Ninachopenda kuonya mimi ni kwamba sasa hivi Dunia imechafuka na inaendelea kuchafuka siku hadi siku, kitakachokuja kutokea ni kwamba maadui wa Israeli watakuwa maadui wetu, ghafla na sisi tutaingia kwenye hayo magomvi ya akina Irani, Uturuki na sijui Urusi na Isis, Je tunaweza kukabili hali hiyo?

Kulikuwa na sababu kwa nini Mlm.Nyerere alifwata Siasa za ,,kutofungamana na upande wowote ule", alielewa hili, kwani Mlm.Nyerere alisomea Historia tena huko huko Ulaya hivyo uelewa wake wa Siasa za kidunia ulikuwa mkubwa sana na hakuwa mjinga alivyoamua kujitenga nchi na Siasa za Mataifa makubwa au unaweza kusema kutokuchagua upande!

Hivyo tuchekelee kushirikiana na Israeli lkn siku wakituhitaji tusianze kusema hayatuhusu, hapo ndipo tutakapojua MOSAD ni nani, na je tuko tayari kuwafanya maadui wa Israeli maadui wetu?

Tukumbuke kwamba hakuna msaada unaokuja bure, hata ukisikia USA wametoa msaada TZ basi ujue ni lazima kwa mfano computer ziwe za Dell na siyo Toshiba, ukisikia Ujapani wametoa fedha za br. ni lazima Kampuni ya Japani ndiyo ijenge vile vile Uchina, hivyo kama tunachekelea kupata misaada ya Israeli pia tukubali kuwa nao watakapo tuhitaji, hayo mambo ya akina Boko Haram, Al shabab sijui Koni huko Uganda msifikiri yapo tu bila ya sababu ...

Binafsi nisingependa TZ yetu ijiingize kwenye hayo maugomvi, kwani hatuwezi kuhimili kuwa na maadui!

*
In the UN there are many [resolutions] which target Israel and we want to change this with the help of the Africans,” Arye Oded, a former Israeli ambassador to Kenya and Uganda, told German broadcaster DW

Israeli exports to Africa totaled about $1 billion last year, about 2% of its total exports.

With insurgencies and Takfiri militancy growing across Africa, including Qaeda-affiliated al-Shabaab and Daesh-linked Boko Haram, Israeli leaders are looking to sell advanced military equipment to the continent, the New York Times wrote.

Netanyahu is also expected to discuss the eviction of around 40,000 migrants and refugees from Sudan and Eritrea who entered Israel through Egypt.

According to the British daily Financial Times, Israel has reached an agreement with Uganda and Rwanda to resettle the refugees.

Last year, Israel ordered African migrants to choose between deportation and indefinite imprisonment. About 2,000 Africans are reportedly held in Israeli prisons.

Pumbavu. Chuki zako dhidi ya Israel zikae kwako peke yako na washenzi wenzako msitake kuambukiza ujinga watu wengine. Yaoneni ninyi wenyewe. Ukipaka na miarabu ilivyo minafiki, huwezi kuwa salama kama hauko imara.

Peleka huko upumbavu wako. Sisi na Israel hadi mwisho. Sambaza amani acha kusambaza chuki za kipumbavu.
 
Go to hell you Isreal hater!. Satanist!.
 
Yyote anayepngana na Israel anapngana na Mungu... yyote au popote alpo Muisrael MUNGU upabariki...
angalia Kenya... Wana-ubaloz wa Israel!tumewazd maliasil na kila ktu lakn kipato maendeleo wametuzd.. angalia Ethiopia pia...
bla ushabk MWENYEZ MUNGU ameibark Israel na watu wke popote walipo
 
Pumbavu. Chuki zako dhidi ya Israel zikae kwako peke yako na washenzi wenzako msitake kuambukiza ujinga watu wengine. Yaoneni ninyi wenyewe. Ukipaka na miarabu ilivyo minafiki, huwezi kuwa salama kama hauko imara.

Peleka huko upumbavu wako. Sisi na Israel hadi mwisho. Sambaza amani acha kusambaza chuki za kipumbavu.

Nani amekwambia mimi ni pro Arab? Na hapo ndipo tatizo lenu lilipo, kwa taarifa yako mimi siyo pro Arab na wala kwanza Waarabu siwafagilii lkn kama unafikiri kuwa Mkristo ndiyo kunakupa tiketi ya kuitetea Israeli kwa lolote wanalofanya basi utakuwa na IQ ndogo, Wazungu wenyewe ambao ndiyo wamekuletea Ukristo wameipeleka Israeli UN kuwataka isimamie kile ilichokiahidi, sasa nakushangaa wewe mtu mweusi kama mimi ambaye hata Ukristo wenyewe hauelewi unamchukulia yoyote ambaye anataka haki ifanyike ni adui yako kisa tu ameishutumu Israeli, amka ndugu!

Kwa kukusadia tu ndani ya Israeli Mwarabu wa ktk Omani au sijui Saudia au hata Palestina anathaminiwa zaidi na Wayahudi klk Mwafrika mweusi Mkristo ktk Afrika kama wewe au mimi, mimi ushahidi ninao kuna Padri wa Parokia yetu alirudishwa Airport Tel Aviv tena walimpeleka Jela ingawaje ana barua ya Askofu kila kitu mpaka walipiga simu Jimboni Dar lkn bado hawakumuachia na walimrudisha na ndege hiyo hiyo Bongo!
 
Duh International relation studies inatupita kiasi sana. Imagine mchina anavyopingwa na ucommunist wake marekani na nchi za ulaya lakini bado wana ushirikiano kibiashara, kiutamaduni, na nyanja nyingine. Unaposhirikiana na nchi yeyote unachagua nyanja za kushirikiana siyo whole package kama unavyofikiria. Mtoa mada kaitaja Namibia lakini akienda kwenye mtandao atakuta kuna ubarozi, kuna wafanya biashara toka Israel wana shughuli za madini kule.

Uliza wajuzi na watu wote tuliopita jeshini yale makopo yanayoita mustini made in Israel. Ina maana waliyaiba? La hasha, jeshi letu la kujenga taifa lilijengwa na Waisrael na walileta kila kitu na kutufundisha kila kitu. Uhusiano ulikufa sababu ya ile vita ya 73. Kilimo tulichokuwa tunatekeleza enzi hizo wataalamu walijifunza Israel. Siongei ya ulinzi sababu sijui huko.

Usiposhirikiana na Israel utakutana product zao kila ukiagiza vifaa toka Marekani, ulaya. Nilisikiliza mtaalam mmoja toka Israel aliyeongelea kuhusu techonologia zote hizi za kisasa zinazotumiwa na nchi kama uarabuni, zote zimeasisiwa uyahudi.
 
  • Thanks
Reactions: MC7
Post yako ina mapungufu au ipo shallow. Kuipa uzito ungetaja hao maadui wa Israel. Halafu ukachambua je, hao maadui hawana uhusiano wa kidiplomasia na nchi marafiki za Israel? Je kuna athari zozote? Vile vile, ukaja Tanzania ukaorodhesha nchi ambazo ni rafiki zetu lakini zina maadui na nchi kazaa kisha uoneshe uhusiano wetu ukoje na wamedemand nini kwetu. Kuna athari gani kwa kuwa nao kirafiki....ungefanya hivi ungekuwa great thinker
 
Najua kuna baadhi ya watu wanashangilia sana ujio wa Kiongozi mkubwa wa Israeli kwenye nchi za AM na hata nchi yetu pia iliwakilishwa ingawaje Raisi wetu hakwenda namuunga mkono kwa hilo!

Binafsi naona kwamba siyo jambo la busara kushirikiana na nchi hiyo ya Israeli, na sababu ni kwamba nchi hiyo ina maadui wengi sana na niijuavyo Israeli, Kiongozi wao hakuja hapa kwa sababu anapenda kusaidia nchi zetu kama ambavyo wengi wanaamini, kwani kama ingekuwa ni hivyo kwa nini hakuja miaka 5 iliyopita? kwa nini leo hii? Hivyo basi ingawaje hilo linaweza kuwa kweli kwa upande mmoja lkn pia tusisahau kwamba Israeli wanategemea msaada wetu kwao pindi watuhitajipo, sasa ni msaada gani tutawapa Israeli?

Ninachopenda kuonya mimi ni kwamba sasa hivi Dunia imechafuka na inaendelea kuchafuka siku hadi siku, kitakachokuja kutokea ni kwamba maadui wa Israeli watakuwa maadui wetu, ghafla na sisi tutaingia kwenye hayo magomvi ya akina Irani, Uturuki na sijui Urusi na Isis, Je tunaweza kukabili hali hiyo?

Kulikuwa na sababu kwa nini Mlm.Nyerere alifwata Siasa za ,,kutofungamana na upande wowote ule", alielewa hili, kwani Mlm.Nyerere alisomea Historia tena huko huko Ulaya hivyo uelewa wake wa Siasa za kidunia ulikuwa mkubwa sana na hakuwa mjinga alivyoamua kujitenga nchi na Siasa za Mataifa makubwa au unaweza kusema kutokuchagua upande!

Hivyo tuchekelee kushirikiana na Israeli lkn siku wakituhitaji tusianze kusema hayatuhusu, hapo ndipo tutakapojua MOSAD ni nani, na je tuko tayari kuwafanya maadui wa Israeli maadui wetu?

Tukumbuke kwamba hakuna msaada unaokuja bure, hata ukisikia USA wametoa msaada TZ basi ujue ni lazima kwa mfano computer ziwe za Dell na siyo Toshiba, ukisikia Ujapani wametoa fedha za br. ni lazima Kampuni ya Japani ndiyo ijenge vile vile Uchina, hivyo kama tunachekelea kupata misaada ya Israeli pia tukubali kuwa nao watakapo tuhitaji, hayo mambo ya akina Boko Haram, Al shabab sijui Koni huko Uganda msifikiri yapo tu bila ya sababu ...

Binafsi nisingependa TZ yetu ijiingize kwenye hayo maugomvi, kwani hatuwezi kuhimili kuwa na maadui!

*
In the UN there are many [resolutions] which target Israel and we want to change this with the help of the Africans,” Arye Oded, a former Israeli ambassador to Kenya and Uganda, told German broadcaster DW

Israeli exports to Africa totaled about $1 billion last year, about 2% of its total exports.

With insurgencies and Takfiri militancy growing across Africa, including Qaeda-affiliated al-Shabaab and Daesh-linked Boko Haram, Israeli leaders are looking to sell advanced military equipment to the continent, the New York Times wrote.

Netanyahu is also expected to discuss the eviction of around 40,000 migrants and refugees from Sudan and Eritrea who entered Israel through Egypt.

According to the British daily Financial Times, Israel has reached an agreement with Uganda and Rwanda to resettle the refugees.

Last year, Israel ordered African migrants to choose between deportation and indefinite imprisonment. About 2,000 Africans are reportedly held in Israeli prisons.
Wewe na assadsyria mna nini na Israel? Wasiwasi wekeni pembeni. Israel ni taifa dogo sana kijiografia ila kubwa sana kiteknolojia na kiuchumi. Ni vyema tukarejesha uhusiano wa kidiplomasia na kiuchumi na taifa hili twaweza pata chochote kitu.
 
Binafsi naona kwamba siyo jambo la busara kushirikiana na nchi hiyo ya Israeli, na sababu ni kwamba nchi hiyo ina maadui sababu anapenda kusaidia nchi zetu kama ambavyo wengi wanaamini, kwani kama ingekuwa ni hivyo kwa nini hakuja miaka 5 iliyopita? kwa nini leo hii? Hivyo basi ingawaje hilo linaweza kuwa kweli kwa upande mmoja lkn pia tusisahau kwamba Israeli wanategemea msaada wetu kwao pindi watuhitajipo, sasa ni msaada gani tutawapa Israeli?

Ninachopenda kuonya mimi ni kwamba sasa hivi Dunia imechafuka na inaendelea kuchafuka siku hadi siku, kitakachokuja kutokea ni kwamba maadui wa Israeli watakuwa maadui wetu, ghafla na sisi tutaingia kwenye hayo magomvi ya akina Irani, Uturuki na sijui Urusi na Isis, Je tunaweza kukabili hali hiyo?

Kulikuwa na sababu kwa nini Mlm.Nyerere alifwata Siasa za ,,kutofungamana na upande wowote ule", alielewa hili, kwani Mlm.Nyerere alisomea Historia tena huko huko Ulaya hivyo uelewa wake wa Siasa za kidunia ulikuwa mkubwa sana na hakuwa mjinga alivyoamua kujitenga nchi na Siasa za Mataifa makubwa au unaweza kusema kutokuchagua upande!

Hivyo tuchekelee kushirikiana na Israeli lkn siku wakituhitaji tusianze kusema hayatuhusu, hapo ndipo tutakapojua MOSAD ni nani, na je tuko tayari kuwafanya maadui wa Israeli maadui wetu?

Tukumbuke kwamba hakuna msaada unaokuja bure, hata ukisikia USA wametoa msaada TZ basi ujue ni lazima kwa mfano computer ziwe za Dell na siyo Toshiba, ukisikia Ujapani wametoa fedha za br. ni lazima Kampuni ya Japani ndiyo ijenge vile vile Uchina, hivyo kama tunachekelea kupata misaada ya Israeli pia tukubali kuwa nao watakapo tuhitaji, hayo mambo ya akina Boko Haram, Al shabab sijui Koni huko Uganda msifikiri yapo tu bila ya sababu ...

Binafsi nisingependa TZ yetu ijiingize kwenye hayo maugomvi, kwani hatuwezi kuhimili kuwa na maadui!

*
In the UN there are many [resolutions] which target Israel and we want to change this with the help of the Africans,” Arye Oded, a former Israeli ambassador to Kenya and Uganda, told German broadcaster DW

Israeli exports to Africa totaled about $1 billion last year, about 2% of its total exports.

With insurgencies and Takfiri militancy growing across Africa, including Qaeda-affiliated al-Shabaab and Daesh-linked Boko Haram, Israeli leaders are looking to sell advanced military equipment to the continent, the New York Times wrote.

Netanyahu is also expected to discuss the eviction of around 40,000 migrants and refugees from Sudan and Eritrea who entered Israel through Egypt.

According to the British daily Financial Times, Israel has reached an agreement with Uganda and Rwanda to resettle the refugees.

Last year, Israel ordered African migrants to choose between deportation and indefinite imprisonment. About 2,000 Africans are reportedly held in Israeli prisons.

[/QUOTE]
Najua kuna baadhi ya watu wanashangilia sana ujio wa Kiongozi mkubwa wa Israeli kwenye nchi za AM na hata nchi yetu pia iliwakilishwa ingawaje Raisi wetu hakwenda namuunga mkono kwa hilo!

Binafsi naona kwamba siyo jambo la busara kushirikiana na nchi hiyo ya Israeli, na sababu ni kwamba nchi hiyo ina maadui wengi sana na niijuavyo Israeli, Kiongozi wao hakuja hapa kwa sababu anapenda kusaidia nchi zetu kama ambavyo wengi wanaamini, kwani kama ingekuwa ni hivyo kwa nini hakuja miaka 5 iliyopita? kwa nini leo hii? Hivyo basi ingawaje hilo linaweza kuwa kweli kwa upande mmoja lkn pia tusisahau kwamba Israeli wanategemea msaada wetu kwao pindi watuhitajipo, sasa ni msaada gani tutawapa Israeli?

Ninachopenda kuonya mimi ni kwamba sasa hivi Dunia imechafuka na inaendelea kuchafuka siku hadi siku, kitakachokuja kutokea ni kwamba maadui wa Israeli watakuwa maadui wetu, ghafla na sisi tutaingia kwenye hayo magomvi ya akina Irani, Uturuki na sijui Urusi na Isis, Je tunaweza kukabili hali hiyo?

Kulikuwa na sababu kwa nini Mlm.Nyerere alifwata Siasa za ,,kutofungamana na upande wowote ule", alielewa hili, kwani Mlm.Nyerere alisomea Historia tena huko huko Ulaya hivyo uelewa wake wa Siasa za kidunia ulikuwa mkubwa sana na hakuwa mjinga alivyoamua kujitenga nchi na Siasa za Mataifa makubwa au unaweza kusema kutokuchagua upande!

Hivyo tuchekelee kushirikiana na Israeli lkn siku wakituhitaji tusianze kusema hayatuhusu, hapo ndipo tutakapojua MOSAD ni nani, na je tuko tayari kuwafanya maadui wa Israeli maadui wetu?

Tukumbuke kwamba hakuna msaada unaokuja bure, hata ukisikia USA wametoa msaada TZ basi ujue ni lazima kwa mfano computer ziwe za Dell na siyo Toshiba, ukisikia Ujapani wametoa fedha za br. ni lazima Kampuni ya Japani ndiyo ijenge vile vile Uchina, hivyo kama tunachekelea kupata misaada ya Israeli pia tukubali kuwa nao watakapo tuhitaji, hayo mambo ya akina Boko Haram, Al shabab sijui Koni huko Uganda msifikiri yapo tu bila ya sababu ...

Binafsi nisingependa TZ yetu ijiingize kwenye hayo maugomvi, kwani hatuwezi kuhimili kuwa na maadui!

*
In the UN there are many [resolutions] which target Israel and we want to change this with the help of the Africans,” Arye Oded, a former Israeli ambassador to Kenya and Uganda, told German broadcaster DW

Israeli exports to Africa totaled about $1 billion last year, about 2% of its total exports.

With insurgencies and Takfiri militancy growing across Africa, including Qaeda-affiliated al-Shabaab and Daesh-linked Boko Haram, Israeli leaders are looking to sell advanced military equipment to the continent, the New York Times wrote.

Netanyahu is also expected to discuss the eviction of around 40,000 migrants and refugees from Sudan and Eritrea who entered Israel through Egypt.

According to the British daily Financial Times, Israel has reached an agreement with Uganda and Rwanda to resettle the refugees.

Last year, Israel ordered African migrants to choose between deportation and indefinite imprisonment. About 2,000 Africans are reportedly held in Israeli prisons.
Samahani kwa makosa niliyokomenti hapo juu. Wewe na Bargash mna nini na Israeli?
 
Back
Top Bottom