Madhara ya kushirikiana na Israeli!

Madhara ya kushirikiana na Israeli!

Kibaraka wa Mwarabu ndiyo mtu gani? ana sifa gani? Kuwa mtetezi wa Waplestina ndiyo mtu unakuwa kibaraka wa Mwarabu? Wazungu, Wajapani walivyokuwa wanatetea ukandamizwaji wa watu weusi AK walikuwa ni vibaraka wetu? Fumbua macho kijana hii Dunia ni kubwa zaidi ya hapo, usiangalie kila kitu i black & white kuna rangi nyingine pia!
Kibaraka wa waarabu ni kama wewe unayetumiwa kueneza chuki za kijinga
 
Ndiyo maana ninasema wewe ni kibaraka wa waarabu,maana waarabu na Israel wana uadui hivyo wewe sasa hivi unafanya kazi za Mabwana zako waarabu kupandikiza chuki zisizo na ukweli ili na sisi tuichukie Israel kama walivyo Mabwana zako,sisi siyo wajinga kama wewe.


Lakini wewe kama Mwafrika mweusi haijalishi Imani Muisraeli anamthamini Mwarabu kuliko wewe, huo ndiyo ukweli unaopaswa kuukubali kwanza, kama vile Mwarabu anamvyomthamini Muisraeli klk Mwafrika mweusi Muislamu mwenzake huo ndiyo ukweli, kwa hiyo utetezi wako wa Israeli ni mapenzi ya upande mmoja ni kama vile mtu Mwanaume anayempenda Mwanamke asiympenda!
Kibaraka wa waarabu ni kama wewe unayetumiwa kueneza chuki za kijinga
 
Na hili ndiyo tatizo kubwa lilipo hapa nchini ukisema Israeli tayari mtu anahusisha na Dini ukisema Palestina tayari wewe unaambiwa ni Muislamu lkn wanashindwa kuelewa Dunia hii imesha move on na haya mambo, sasa hivi watu wanaangalia utu na haki na siyo Dini na ndiyo maana pmj na ukristo wao Wazungu wenyewe nchi nyingi za Ulaya zinajitolea kusimama na Wapalestina, Bajeti kubwa ya Wapalestina inalipwa na Wazungu!
Kwa ujinga wako unaanza kujificha chini ya pazia la dini??Hakuna nchi itakayotuchagulia rafiki hayo yalikuwa ya enzi hizo nchi nyingi za kiafrika zililazimika kuvunja uhusiano wa kibalozi na Israel kwa tishio la kunyimwa mafuta na OPEC yao sasa hivi imeshasambalatika kila mtu sasa ana uhuru wake,hivyo wewe hao mabwana zako waambie walie tu.
 
Lakini wewe kama Mwafrika mweusi haijalishi Imani Muisraeli anamthamini Mwarabu kuliko wewe, huo ndiyo ukweli unaopaswa kuukubali kwanza, kama vile Mwarabu anamvyomthamini Muisraeli klk Mwafrika mweusi Muislamu mwenzake huo ndiyo ukweli, kwa hiyo utetezi wako wa Israeli ni mapenzi ya upande mmoja ni kama vile mtu Mwanaume anayempenda Mwanamke asiympenda!
Waambie hao mabwana zako wameula wa chuya Enough is Enough uhusiano Israel upo na utaendelea kuwepo na tutapa misaada kutoka Israel mbona tunapata ya waarabu iweje nongwa kwa Israel??
 
Israel inatumiwa na marekani.kuunganisha africa.sasa ndo agenda iko Mezani.wanachokifanya.Israeli. ndio yenye maelite duniani ambo lengo in kuona hukuafrica tunalejea kwenye mwendo wao unakoelekea one world government
 
  • Thanks
Reactions: wa4
Hatuwezi kusolve matatizo ya dunia..kwanza hatuwezi. Tusolve ya kwetu yanatutosha
 
Waambie hao mabwana zako wameula wa chuya Enough is Enough uhusiano Israel upo na utaendelea kuwepo na tutapa misaada kutoka Israel mbona tunapata ya waarabu iweje nongwa kwa Israel??


Sawa nimekusikia, kila la Heri!
​
 
Ume
Nadhani hujaelewa hivi kurani ikisema watu wa makaa halafu mtanzania aliyosilimu akateke maka baada ya karne 18 itawezekana akawa ni mtu wa maka kurany iliyomtaja?hawa kina natanyahu hawana asili ya hapo ni wa khazar na walibadili dini na kuingia uyahudi kama dini,soma historia kabla ya kugeuzwa mtumwa wa watu weupe.
Umechanganyikiwa! never rely on fictious books man!!!!!!!!
 
J
Stemcell, kwahiyo bora uwalaani tu Wapalestina ili mambo yako yawe swaafi.
silaani yoyote sichukii yeyote na wala sidanganywi na yoyote,mimi ni mwafrica na ninapenda uafrica wangu na sitothubutu kumtukana mwafrica mwenzangu kwa ajili ya mtu mweupe.sisi ni binadamu na inatakiwa tujifundishe kwa makosa ya mababu zetu.
 
Moronic ideas. Sisi si wapalestina. Nakushauri urudi tena kwa darasa ukajifunze kwa nini nchi moja inaamua kuwa na mahusiano ya kidemokrasia na nchi nyingine.

Tanzania ni nchi isiyofungamana na upande wowote kwa maana hiyo hakuna mtu wa kutuchagulia adui au rafiki.
Ni upuuzi kuichukia Israel ya Ben Netanyahu lakini ukashabikia Palestina inayowafadhili Magaidi kwenda kujitoa mhanga na kuwaua Waisrael popote walipo duniani pamoja na wale wanao waunga mkono.

Palestina ni chimbuko la ugaidi wa aina yoyote duniani kuanzia kwa kina Al-Qaeda, Al-Shabab, IS(Islamic State), Boko Haram na vikundi vya Magaidi vinavotokana na mafundisho potofu ya Wapalestina,Waarabu na Uislamu. Sijawahi sikia kundi la ugaidi nje ya maeneo haya matatu!!
 
Wana JF,
Tuache kupotosha mada hii. Israel inayozungumziwa na Biblia ni ileile ya sasa knayoongozwa na Ben Netanyahu.
Biblia inatufundisha kuwa Abramu na baadaye Abrahamu ndiye baba wa Wana Israel ambao walichukuliwa Misri utumwani na baadaye kurudishwa katika nchi yao ya Ahadi Kanani ambayo ndipo ilipo nchi ya Israel ya sasa. Tunaposoma Biblia kitabu cha Mwanzo(Genesis)12:1-3 inasema,

1 The LORD had said unto Abram, Get thee out of thy country, and from thy kindred, and from thy father's house, unto a land that I will shew thee.
2And I will make of thee a great nation, and I will bless thee, and make thy name great; and thou shalt be a blessing:

3And I will bless them that bless thee, and curse him that curseth thee: and in thee shall all families of the earth be blessed.

Sina maneno ya kufasiri kwa kiswahili lakini ni wazi kabisa Mungu alimaanisha kuwa Abrahamu ndiyo asili ya Israel ya sasa na
Abrahamu alimzaa Isaka naye Isaka akamzaa Yakobo(Israel).
Biblia imesema kuhsu Ishmael aliyezaliwa na mjakazi wa Sarah mkewe Ibrahimu kwa vile alikuwa tasa kwa muda mrefu. Uzao wa Ishmae(Palestina)haukuwa mpango mkamilifu wa Mungu na Biblia inasema huyu alikuwa mtoto wa haramu na kamwe asinge rithi pamoja na Isaka lakini atakuwa mwiba kwa ndugu yake Isaka!

Sote tunajua kinachoendelea kati ya Israel na Palestina and that is biblical and nobody can change that! Hivo basi kuisusia na KULAANI ISRAEL NI KUJITAFUTIA LAANA ya bure.

Tanzania kwa mara ya kwanza ulivunja uhudiano wa kibalozi na Israel baada ya vita vya Israel na Waarabu mwaka 1967 na ndiyo maana hatuna balozi wetu nchini Israel wala wao hawana balozi ao hapa kwetu.

Hili lilikuwa kosa kubwa sana alilowahi kufanya Baba wa Taifa Mwl.Nyerere(rip).Hapo ndipo laana ya Tanzania ilipoanzia(let this think deep into thine tiny mind).Mungu si mwanadamu hata aseme uongo! Dhambi ya kulaaniwa na Mungu baada ya kuilaani Israel na kuvunja ubalozi wake bado inatutafuna Tanzania. Hapa ndipo penye majibu ya KWANINI TANZANIA INA UTAJIRI WA RASLIMALI ZA ASILI KAMA MADINI,GASI ASILIA, WANYAMA,ARDHI KUBWA NA MIFUGO LAKINI NCHI BADO NI MASKINI?Hili swali aliulizwa JK a.k.a Mzee wa Msoga na mtangazaji wa BBC akajibu kuwa HATA YEYE KAMA RAIS ALIKUWA HAJUI!Na kweli hajui mpaka sasa!
Inaskitisha mtu ameleta uzi hapa ati anashabikia PM wa Israel kutoitembelea Tanzania kati ya nchi 3 muhimu za waanzilishi wa EA ya kale! Mtu hajiulizi ni kwa nini Ben Netanyahu kafika Uganda,Kenya,Rwanda na Ethiopia! Labda nitoe mfano mdogo tu wa hizi nchi 4 alizotembelea Netanyahau.Kwa vile vina ufungamano na utengamano na Israel nchi ZIMEBARIKIWA KATIKA CHUMI ZAO NDIYO MAANA UCHUMI WA NCHI HIZI(BLESSED) UKO VIZURI AS COMPARED TO TANZANIA(CURSED).
Ukiangalia nchi zote hizi hazina utajiri wa Raslimali kama Tanzania lakini ZOTE ZINA MASHIRIKA YA NDEGE YALIYO IMARA:Kenya Airways,Uganda Airways,RwandaAirways,Ethiopian Airways!!!!Tanzania Airways iko ICU inapumulia mashine! Tanzania peke yetu kwa maana ya dunia ndo tuna madini ya TANZANITE lakini Wakenya wanaongoza kwa kuuza madini haya nje ya nchi yao!
Angalia kwenye utalii Kenya wanatuzidi kwa biashara ya Utalii kwa mbali kabisa kwa vile wako smart kwenye utangazaji wa biashara hii kiasi kwamba ni kazi kuwashawishi Wazungu/Watalii kwamba MLIMA KILIMANJARO HAUKO KENYA!!!
Udhaifu wote huu wa Tanzania kushindwa kutumia fursa hizi tulizo jaaliwa na Mwenye enzi Mungu ni sehemu tu ya LAANA HII YA MUNGU KWA KUSHINDWA KUHESHIMU MAAGIZO YA MUNGU YA KULIHESHIMU TAIFA LA ISRAEL!!
Kama serikali ya Magu na CCM yake anapenda kuona nchi hii uchumi wake ukitamalaki basi lazima kurejesha uhusiano na Israel ikiwa ni pamoja na kufungua ofisi za Ubalozi kati ya nchi hizi 2 vinginevo laana itaendelea kuitafuna nji hii!
Najua kuna Waislamu hawapendi kusikia habari hii kwasababu ambazo mimi naziita ni za kipuuzi.


Brother kwanza nakushukuru kutujuza hivyo vifungu vya kwenye bible... kiasi flani nemeongeza kitu hapo kitu hapo.

Ila tu umeniacha bumbuwazi hapo kwenye paragraph za mwisho uliposema etii tukitaka uchumi wetu ukue itabidi turejeshe mahusiano mazuri na Israel kwa maana ya kwamba tuwaombe msamahaa au?, yaani una maanisha kuwa tumelaaniwa na sababu kuu ni hao Israel sio?
kwa maana nyingine endapo kama tungekuwa na mahusiano mazuri na Israel kma ambavyo ilivyo kwa hizo nchi zingine za afrika mashariki ulizozitaja, basi uchumi wetu usingekuwa mbaali sana pengine hata tungekuwa ni donor country kwa maana kma tangu mwaka 1967, bila ya hiyo lahana hadi leo na juhudi tulizo nazo hilo lingewezekana.


Kwa hiyo kumbe sababu inayo tukwamisha sio utawala mbovu,ukosefu wa maarifa wala ukoloni endelevu bali ni lahana tulioipata kutokana na kutokuwepo kwa mahusiano mazuri na Israel?

DUUH... HII KALI KULIKO ZOTE NILIZO WAHI KUZISKIA?
 
Wewe kwa mfano ulitaka hayo mataifa ya afrika yashirikiane na mataifa yapi ukitoa israel?
 
Brother kwanza nakushukuru kutujuza hivyo vifungu vya kwenye bible... kiasi flani nemeongeza kitu hapo kitu hapo.

Ila tu umeniacha bumbuwazi hapo kwenye paragraph za mwisho uliposema etii tukitaka uchumi wetu ukue itabidi turejeshe mahusiano mazuri na Israel kwa maana ya kwamba tuwaombe msamahaa au?, yaani una maanisha kuwa tumelaaniwa na sababu kuu ni hao Israel sio?
kwa maana nyingine endapo kama tungekuwa na mahusiano mazuri na Israel kma ambavyo ilivyo kwa hizo nchi zingine za afrika mashariki ulizozitaja, basi uchumi wetu usingekuwa mbaali sana pengine hata tungekuwa ni donor country kwa maana kma tangu mwaka 1967, bila ya hiyo lahana hadi leo na juhudi tulizo nazo hilo lingewezekana.


Kwa hiyo kumbe sababu inayo tukwamisha sio utawala mbovu,ukosefu wa maarifa wala ukoloni endelevu bali ni lahana tulioipata kutokana na kutokuwepo kwa mahusiano mazuri na Israel?

DUUH... HII KALI KULIKO ZOTE NILIZO WAHI KUZISKIA?

Brother Lizarazu,
Kwanza nishukru kwa kunielewa lakini pili ni kwamba ili tupate Baraka badala ya Laana kulingana na Biblia ni lazima kurejesha mahsiano ya kibalozi kati ya Israel na Tanzania.
Nimesema kuwa nchi ikiwalaani Israel basi Mungu hana budi kulaaniwa na Mungu na ndiyo maana nchi za Kiarabu karibu zote zina matatizo ya kisiasa na kiuchumi pamoja na kuwa na Utajiri mkubwa wa Mafuta!
Maadamu Tanzania tuliamua kuungana na nchi za Kiarabu kuilaani Israel basi laana iko palepale.Ndiyo maana nchi hii ni tajiri kwa raslimali za kila aina lakini nchi inazidi kuwa hoi pamoja na Watanzania wote. Na kadri muda unavosonga mbele hali inazidi kuwa tete zaidi KISIASA NA KIUCHUMI! Angalia sasa kilichojiri Bungeni kwa UKAWA kususia Bunge kutokana na uongozi mbovu wa kijimama hiki kilicho shindwa ku TULIA! Angalia matamko ya Rais kama Mkuu wa nchi ya kutaka KUZUIA MIKUTANO YA KISIASA kwa kidingizio cha Hapa Kazi Tu! Kwa akili ya JPM anafikiri Wapinzani ndiyo wanamzuia au wanazuia serikali ya CCM kuwaletea maendeleo Watanzania! Hii ni dhana potofu na ndiyo ishara yenyewe ya KULAANIWA NA MUNGU kwamba nchi inakuwa na viongozi wababaishaji kwa vile hawana hekima ya Mungu ndani yao wako chini ya laana!
 
Palestina ni chimbuko la ugaidi wa aina yoyote duniani kuanzia kwa kina Al-Qaeda, Al-Shabab
Hata ukijificha nyuma computer/smartphone, utaficha sura tu lakini upumbavu haufichiki.
 
Watusi tunawachukia halafu tunajifanya eti tunamapenzi israili
 
Back
Top Bottom