Madhara ya kushirikiana na Israeli!

Madhara ya kushirikiana na Israeli!

Aisee...kazi kweli ipo hiki ndi kizazi kileeee....yaani ndo hoja uliyoona inakufaa?umechelewa ubalozi unafunguliwa. Na tumekuwa na uhusiano na nchi kama syria,egypt,saudi arabia etc umetusaidia nini. Anyway sikatai huwa tunapata msaada wa tende wakati wa mfungo nisikose shukran.ndugu unataka maisha yote tule tende za msaada tu toka uarabun?aaahaah jaman heb wakati mwngne tutukise kichwa kidogo ubongo ushtuke.

Tusitumie sana matumbo.israel ni taifa dhabiti ,imara na lenye wachapakaz we need to learn frm them. Wapo mbele yetu kwa miaka mingi sana ingawa walianza kukaa pamoja muda mfup tu uliopita.

Itikadi na iman mbov mbov tuweke pemben kipind hiki cha kazi tunataka ushirikiano na mataifa wachapa kazi. Mambo ya kukaa kucheza bao na kunywa kahawa,pombe,madawa kwa sasa tuache
 
Kuna watu humu kama stemcell wanasema ni utumwa kufuata imani hizi tulizoletewa na watu weupe.

Kuwa imani za kiafrika hazikuwekwa kwenye maandishi kama za wenzetu hawa weupe. Cha kujiuliza ni kwa nini waafrika hawa kuwa na maandishi?

Lakini hata baada ya kujua maandishi ya watu weupe mbona hakuna ambaye ameweka hizi imani za kiafrika kwenye maandishi. Hata teknologia ya kuruka kwa ungo, tunasikia tu haijaandikwa mahali tujifunze na ieleweke kwa jamii iliyo pana.
 
Una element za ugaidi ugaidi we Israel ni taifa teule wewe labda hao maadui wa Israel wote ni waovu na magaidi sasa jarib jupambana na Israel mchakzwe kama Yom Kippur hahaa
Wacha fikra mgando wewe. Taifa teule lina mashoga 250,000?
Someni nyie viumbe.
Kesho ukiletewa posa na Myahudi usijerusha Ngumi tu
 
Je hawa mashoga wanahojiwa na moja ya tv zetu hapa, ulipokea posa ya myahudi?
Unajua kwa nini kuna kiama na jehanamu?
 
Muulize mumeo kwanini kile kibanda cha urithi anakipigania cha nini wakati kodi yenu hapo mjini mnalipiwa na Chadema?
Kahtaan bhana, hivi hujui kuwa ardhi ya Israel ya sasa inaingia mara karibu Mia nane? Kwa nini hao wa Palestinian wasipewe ardhi hata Syria?
 
Najua kuna baadhi ya watu wanashangilia sana ujio wa Kiongozi mkubwa wa Israeli kwenye nchi za AM na hata nchi yetu pia iliwakilishwa ingawaje Raisi wetu hakwenda namuunga mkono kwa hilo!

Binafsi naona kwamba siyo jambo la busara kushirikiana na nchi hiyo ya Israeli, na sababu ni kwamba nchi hiyo ina maadui wengi sana na niijuavyo Israeli, Kiongozi wao hakuja hapa kwa sababu anapenda kusaidia nchi zetu kama ambavyo wengi wanaamini, kwani kama ingekuwa ni hivyo kwa nini hakuja miaka 5 iliyopita? kwa nini leo hii? Hivyo basi ingawaje hilo linaweza kuwa kweli kwa upande mmoja lkn pia tusisahau kwamba Israeli wanategemea msaada wetu kwao pindi watuhitajipo, sasa ni msaada gani tutawapa Israeli?

Ninachopenda kuonya mimi ni kwamba sasa hivi Dunia imechafuka na inaendelea kuchafuka siku hadi siku, kitakachokuja kutokea ni kwamba maadui wa Israeli watakuwa maadui wetu, ghafla na sisi tutaingia kwenye hayo magomvi ya akina Irani, Uturuki na sijui Urusi na Isis, Je tunaweza kukabili hali hiyo?

Kulikuwa na sababu kwa nini Mlm.Nyerere alifwata Siasa za ,,kutofungamana na upande wowote ule", alielewa hili, kwani Mlm.Nyerere alisomea Historia tena huko huko Ulaya hivyo uelewa wake wa Siasa za kidunia ulikuwa mkubwa sana na hakuwa mjinga alivyoamua kujitenga nchi na Siasa za Mataifa makubwa au unaweza kusema kutokuchagua upande!

Hivyo tuchekelee kushirikiana na Israeli lkn siku wakituhitaji tusianze kusema hayatuhusu, hapo ndipo tutakapojua MOSAD ni nani, na je tuko tayari kuwafanya maadui wa Israeli maadui wetu?

Tukumbuke kwamba hakuna msaada unaokuja bure, hata ukisikia USA wametoa msaada TZ basi ujue ni lazima kwa mfano computer ziwe za Dell na siyo Toshiba, ukisikia Ujapani wametoa fedha za br. ni lazima Kampuni ya Japani ndiyo ijenge vile vile Uchina, hivyo kama tunachekelea kupata misaada ya Israeli pia tukubali kuwa nao watakapo tuhitaji, hayo mambo ya akina Boko Haram, Al shabab sijui Koni huko Uganda msifikiri yapo tu bila ya sababu ...

Binafsi nisingependa TZ yetu ijiingize kwenye hayo maugomvi, kwani hatuwezi kuhimili kuwa na maadui!

*
In the UN there are many [resolutions] which target Israel and we want to change this with the help of the Africans,” Arye Oded, a former Israeli ambassador to Kenya and Uganda, told German broadcaster DW

Israeli exports to Africa totaled about $1 billion last year, about 2% of its total exports.

With insurgencies and Takfiri militancy growing across Africa, including Qaeda-affiliated al-Shabaab and Daesh-linked Boko Haram, Israeli leaders are looking to sell advanced military equipment to the continent, the New York Times wrote.

Netanyahu is also expected to discuss the eviction of around 40,000 migrants and refugees from Sudan and Eritrea who entered Israel through Egypt.

According to the British daily Financial Times, Israel has reached an agreement with Uganda and Rwanda to resettle the refugees.

Last year, Israel ordered African migrants to choose between deportation and indefinite imprisonment. About 2,000 Africans are reportedly held in Israeli prisons.

Kiongozi wao hakuja hapa kwa sababu anapenda kusaidia nchi zetu kama ambavyo wengi wanaamini,

Hayo maneno hapo juu yanaonyesha wengi wanaamini,sasa nyie wachache msioamini mtawezaje kuwaaminisha walio wengi hizo fitna zenu?????
 
Hivi mojawapo ya masharti mliyopewa ni pamoja na kuunga mkono jambo lolote lile hata liwe la kipuuzi ili mradi kalisapoti mkulu?
Naiona akili yako ipo likizo hadi 2020 itakapozinduka
 
Sidhani kama iran au nchi yoyote itaanza uadui na Tanzania kisa tuna uhusiano mzuri na isreal. Siasa za kimataifa haziko hivo mkuu. Jordan na Egypt zina uhusiano mzuri na isreal mbona sisikii zikishambuliwa na iran? Kingine Tanzania ni nchi huru tunatakiwa kufanya maamuzi kwa maslahi yetu sio maslahi ya iran au isis.
Hao iran unaowasema wakiamua kushambulia ubalozi wa Israel uliopo tz,watz hawataathirika?
 
Sema tu kuwa nyinyi watu wa allah na huyo mtume, allah aishawaziba maskio na
Usisahau watakatifu waliouwa watu kule Hiroshima,wanaopora ardhi ya watu kwa mtutu wa bunduki kule palestina,wanaoendesha vita Congo,south Sudan,wote hao huongozwa na roho mtakatifu.
Kwakukombolewa na damu ya... Waliendesha vita kwa muda mrefu kule Angola. Pia roho mtaka vitu akawaongoza kuingiza ushoga ndani ya nyumba za ibada. Usisahau watakatifu hao walivyowatesa akina Mandela kule bondeni. Na muongozo wa roho mtakatifu ukasimama kwakina Cameroon wasitoe misaada hadi watu wawe mashoga. Hapo shetani alikimbia tena mbali kwakuwa yote hayo yalikingwa kwa nguvu za roho wa mungu wenu
 
Kwani s
Wacha fikra mgando wewe. Taifa teule lina mashoga 250,000?
Someni nyie viumbe.
Kesho ukiletewa posa na Myahudi usijerusha Ngumi tu
Kwani saudi Arabia hakuna mashoga?mbona hiyo michezo ndio ya waarabu?
 
Kushirikiana na israel ni jambo jema imezungukwa.na magaidi kila upande ila kwa jinsi myahudi alivo na akili magaidi wanayeyuka na mabomu yao kama mkate kwenye chai
 
Kina mama wapenda vya bure km wewe kushirikiana na Mashoga ni kitu cha kawaida.
Chunga tu usijetoka nje bila kanga.
Tutakupigia firimbi upate kipigo kitakatifu.
Uchafu wa ushoga hapa Tanzania hatutaki. Pelekeni huko huko Israel.
Na kule kwenu Ukerewe.
 
Mmexoea taarabu nyie misukule ya waarabu najua,mashoga hata Saudi wapo blza we swallow jamna nch duniani haina mashoga hiyo sio issue ila Netanyahu kiboko ya magaidi
 
Huo ni utoto hamna asie.jua kuwa naeneo yenye element za waarabu,tanga,Zanzibar,mombasa ni maskani ya mashoga issue ni kwamba wanajificha vile sharia itawa nyonga
 
What I believe..,is just adui wa rafiki yako si wa kwako,that means elites groups against Israel can't be an obstacle in our friendship #Viva Israel nchi ya ahadi
 
Back
Top Bottom