Madhara ya kumtolea mtu figo

Madhara ya kumtolea mtu figo

Kuna mzee mmoja nchi jirani alikiahidi Chuo Kikuu kuwa akifa viungo vyake vichukuliwe. Sasa katimiza miaka 70+ na kila mara chuo humpigia simu kumsalimia. Anashindwa kuelewa nk salamu genuine au wanakumbushia ahadi yake
 
Kama upo Dar nenda Mloganzila, Mwanza nenda Bugando, Dodoma nenda Benjamin Mkapa, Mtwara nenda Ndanda benedictine.

Figo zinahotajika mkuu, watu wanaumwa na hela wanazo.
Niko dar, naomba connection mana hizi ishu ukisema uende mwnyw bila connection ukifika hapo watakukataa hata kama wanahitaji
 
Kuna mzee mmoja nchi jirani alikiahidi Chuo Kikuu kuwa akifa viungo vyake vichukuliwe. Sasa katimiza miaka 70+ na kila mara chuo humpigia simu kumsalimia. Anashindwa kuelewa nk salamu genuine au wanakumbushia ahadi yake
mzee anasema hawa wapuuzi wanataka mm nife 😂
 
Figo sio nyanya useme uende tu hospital utapata wateja wakununua kwanza kisheria hairuhusiwi kuuza viungo, nchi inayoruhusu kuuza viungo ni Iran tu
 
Ooh nikajua kuspend tu ila kama na kuweka akili tena basi tutaidouble!🤭

Mindset ya kuspend hela achana nayo kwa age yako hiyo. Chochote unachokipata kizalishe, utakuwa huru na pesa. Hutakaukiwa pesa, pesa ni Mindset. 😁
 
Mindset ya kuspend hela achana nayo kwa age yako hiyo. Chochote unachokipata kizalishe, utakuwa huru na pesa. Hutakaukiwa pesa, pesa ni Mindset. 😁
Kweli kabisa! Ni bora pesa ikutumikie kuliko kuitumikia!
 
Back
Top Bottom