Madhara ya kumtolea mtu figo

Madhara ya kumtolea mtu figo

Kitu nachojua ni kuwa ukipandikizwa figo hautaishi nayo kama yako maana mfumo wa mwili wako utaisoma kama kitu kigeni na itakuwa constantly inashambuliwa.

Ndio maana wanaopandikizwa figo huwa kuna dawa hawaachi kumeza ili kuzuia figo isipate mashambulizi kutoka katika kinga ya mwili.
 
''Muda wa Kuishi (Viability): Figo zinaweza kuhifadhiwa na kubaki salama kwa ajili ya kupandikizwa (transplant) kwa muda wa saa 24 hadi 48 baada ya kifo, ikiwa zitaondolewa na kuhifadhiwa vizuri kwenye kifaa maalum cha ubaridi.''
Souz wabafanya sana kwa marehem wa ajali kutoa figo na viungo vingine
 
Back
Top Bottom