Mke akikunyina uhausi, ndio wwe hamu ya uhausi inayokuwa kubwa
Kazini mkikatazwa kuvaa jeans ndivyo wee hamu ya kuvaa jeans inaongezeka
SHule mkikatazwa kwenda mjini ndio hamu ya kwenda mjini inakuwa kuwa
Mtambuzi mchana ilikuwa mwaka 1988 mchana kabisaaaaaa ila baba hakujua ila toka pale niliona aibu kweli nikajuta kwanini nimekula chabo
umesema kweli kabisa mkuu, na ndio maana nawashauri wadada humu wasinyimane wapeane tu maana itafika mahali kila mtu ataona hiyo kitu ni ya kawaida kabisa, lakini huko kufichwa kumefanya iwe na thamani isiyostahili na sasa inajenga nyumba na kununua magari...
Kaizer ngoja nimsaidie Kongosho kwetu kule arusha vijijini tulipokuwa tunaishi early 80's tulikuwa na bafu ambalo halikuw zuri sana ukitulia mahali unakula chabo sasa pindi baba/marehemu mama wakienda bafuni tunafukuzwa maeneo ya jikoni maana bafu lilikuwa karibu,nikawa najiuliza kwani ninini hasa wanachotufukuzia basi siku hiyo mama hakluwepo baba akaenda kuoga mie taratibu nanyata nikala chabo nikaona dushelele la baba yangu basi nikajua kumbe ndio kifichwacho?ila ile taswira hainipotei mpaka leo lol.naonaga aibu sana nikimwona baba yangu Kaizer hii ndio Kongosho anasemelea
hahahaah nivea unajua nimepata picha tulikuwa wote, mi ni mtoto wa njirani yenu NNko, tulicheza wote kibaba na mama hebu songesha PM tutambuane vizuri aisee
(ila we mbayyyyaaaaaaaaaaaaaaaaa)
hahahaah nivea unajua nimepata picha tulikuwa wote, mi ni mtoto wa njirani yenu NNko, tulicheza wote kibaba na mama hebu songesha PM tutambuane vizuri aisee
(ila we mbayyyyaaaaaaaaaaaaaaaaa)
Siku hizi mama Ngina akininyima namkumbusha madhara ya kukandamiza ngono na yeye anasalimu amri.
Kusema ukweli kabisa, kama wanandoa wananyimana hiyo kitu, madhara yake yanaweza kuwa makubwa sana, kwani hamjawahi kusikia hata humu JF kuwa mwanaume kamuua mkewe kwa sababu kamnyima unyumba, au eti hakumpikia chakula, hiyo sababu ya kutopikiwa chakula ni shabaha dhaifu tu, lakini nyuma a ugomvi wao ni kunyimana tendo la ndoa.
Ukichunguza sana migogogro ndani ya ndoa nyingi sababu ni tendo la ndoa, aidha mke anamnyima mume kama adhabu (Hii hutumiwa na wanawame wengi sana siku hizi) au mke hatoshelezewi na mumewe tendo la ndoa na mume kuambiwa na mkewe kwamba hajatosheka ni tusi kubwa............ kwa mwanaume tayari huko ni kudharauliwa, na atajiuliza maswali mengi sana,
je kama mie simtoshelezei, ni nani anayemtoshelezea?
Kwa kuwa wanaume wengi hawajiamini na wanatawaliwa na EGO, kuambiwa hivyo na mwanamke ni kudharauliwa na wivu utaongezeka kwa sababu atahisi mke atakwenda nje kutafuta wa kumtoshelezea.....
kwa wanawake wajanja huishia kulia utamu kumbe hamna kitu ili mumewe ajione kazi kaiweza kweli kweli yeye kidume ,ukitaka ndoa ife mwambie mwanaume siriziki na ufanyacho atakugeuka hata kama ulisema kwa gud wil.muulize Madam B aka fundi wakulia anasema yeye analia mpaka eeeeuiii hahahahh maisha kweli hayana formula ati lolsiku hizi mama ngina akininyima namkumbusha madhara ya kukandamiza ngono na yeye anasalimu amri.
Kusema ukweli kabisa, kama wanandoa wananyimana hiyo kitu, madhara yake yanaweza kuwa makubwa sana, kwani hamjawahi kusikia hata humu jf kuwa mwanaume kamuua mkewe kwa sababu kamnyima unyumba, au eti hakumpikia chakula, hiyo sababu ya kutopikiwa chakula ni shabaha dhaifu tu, lakini nyuma a ugomvi wao ni kunyimana tendo la ndoa.
Ukichunguza sana migogogro ndani ya ndoa nyingi sababu ni tendo la ndoa, aidha mke anamnyima mume kama adhabu (hii hutumiwa na wanawame wengi sana siku hizi) au mke hatoshelezewi na mumewe tendo la ndoa na mume kuambiwa na mkewe kwamba hajatosheka ni tusi kubwa............ Kwa mwanaume tayari huko ni kudharauliwa, na atajiuliza maswali mengi sana,
je kama mie simtoshelezei, ni nani anayemtoshelezea?
Kwa kuwa wanaume wengi hawajiamini na wanatawaliwa na ego, kuambiwa hivyo na mwanamke ni kudharauliwa na wivu utaongezeka kwa sababu atahisi mke atakwenda nje kutafuta wa kumtoshelezea.....
Ndio, marginal Utility inahusu