Madhara ya kufanya tendo la ndoa hovyo hovyo!

Madhara ya kufanya tendo la ndoa hovyo hovyo!

Tendo la ndoa ni tofauti na zinaa, zinaa inafanywa na wale ambao haijahalalishwa kwao kisheria ila tendo la ndoa hufanywa na wanandoa.
 
Hapa unataka kwenda kinyume na uumbaji wa MUNGU...mungu kakupa hizo hamu (nyege) halafu wewe hauzitaki?

Watch out..Leah!
Acha upotoshaji ndugu Mungu alikusudie kila mwanaume awe na mke wake mwenyewe na kila mwanamke awe na mume wake mwenyewe, hayo mengine ni upotoshaji na yana hukumu
 
Pia humsababishia muhusika hali yake ya kiroho kuvurugika sana,ikiwemo kupata mikosi n.k.
 
Tendo la ndoa ni tofauti na zinaa, zinaa inafanywa na wale ambao haijahalalishwa kwao kisheria ila tendo la ndoa hufanywa na wanandoa.
Kitendo cha kulala na mwanamke kwa nia ya kusex tayari unakuwa umefanya tendo ambalo linapaswa kufanywa na wana ndoa ndiyo maana tunaita tendo la ndoa.. Upo?
 
Sio kweli aheri angekuwa ni mmoja tu tatizo leo huyu kesho yule kesho kutwa mwingine tena mnajiongezea minuksi na mapepo
Kwa habari ya kiroho sawa...kwa habari ya kimwili kubali ukweli.
 
Acha upotoshaji ndugu Mungu alikusudie kila mwanaume awe na mke wake mwenyewe na kila mwanamke awe na mume wake mwenyewe, hayo mengine ni upotoshaji na yana hukumu
Upotoshaji uko wapi hapo sasa?

Na umejuaje kama hayo mambo yana hukumu mwisho wa siku?
 
Back
Top Bottom