Shaloom Sanga
Member
- May 20, 2017
- 52
- 36
Kaka kamzinzi, uongo?
Kuna watu wanajitoa ufahamu humu as if hawata kufaHumu ndani unaweza ucheke hadi ufeeeeeeee!!! Eti "nije inbox wakati mchugaji kakataza" Khaaa!!!!!!
Kwa hiyo kiongozi tulio na wanawake wanne kisheria kabisaa inamadhara hiyo?Wana MMU habari za majukumu?
Leo naomba tuangalie madhara ya kufanya tendo la ndoa hovyo hovyo, nikisema hovyo hovyo nina maana ile tabia ya kutaka kuzini na kila mwanamke au mwanaume unayemtamani.
Kufanya tendo la ndoa na kila mwanamke au mwanaume kuna madhara mengi sana,Leo ntataja machache.
1. Hushusha heshima ya mtu husika.
Kufanya tendo la ndoa hovyo hovyo huitwa zinaa, zinaa husababisha mfanyaji aonekane ni mtu asiheshimika wala kuaminiwa na jamii.
2.Huharibu mahusiano kati ya mtu husika na Mungu.
3. Humuweka muhusika mbali na Mungu
4. Hujenga mazoea ya kutotulia na mwanamke au mwanaume mmoja hata baada ya kuoa au kuolewa.
5. Hupelekea kupata magonjwa ya zinaa kama vile ukimwi,gono , kaswende na kadharika.
6. Hupelekea mwili kuchoka na kuzeeka haraka.
Hayo ni baadhi tu ya madhara ya zinaa.
Geuka acha zinaa , mrudie Mungu wako.
Sina mpango na huko ulaya mkuu ntabaki hapahapaBongo bahati mbaya, Leah 2, twe nzetu Ulaya
dah....ukipata jibu niambie....manake na wewe umenipa hamuPastor nifanyaje ili nisiwe na hamu ya kusex
Zinaa ni kufanya tendo la ndoa nje ya ndoa so hakuna nilichokosa bokoiKuna tofauti Kati ya kufanya tendo la ndoa na kufanya zinaaa.
Hapo nadhani kwenye kicha cha habari ungeandika hivi."" Kufanya zinaa hovyo hovyo"""
Maana tendo la ndoa n kwa wanandoa tu sasa unajishushiaje heshima hapo.
Mchungaji tafakari Sana.
Kwa dhima yako ya uchungaji ulitakiwa usindikize na mistari ya Biblia ili watu wakuelewe zaidi
Ukifanya tendo la ndoa nje ya ndoa haitwi zinaa kwa wenye ndoa Bali inaitwa uasherati.Zinaa ni kufanya tendo la ndoa nje ya ndoa so hakuna nilichokosa bokoi
kumradhi inaitwa uzinziUkifanya tendo la ndoa nje ya ndoa haitwi zinaa kwa wenye ndoa Bali inaitwa uasherati.
Kibiblia ukimuacha mkeo ukaenda kuoa mke mwingine pale inaitwa unafanya uzinzi.kumradhi inaitwa uzinzi