Madhara ya kufanya tendo la ndoa hovyo hovyo!

Madhara ya kufanya tendo la ndoa hovyo hovyo!

Hivi mimi nimeoa mke wangu uzinzi unatoka wapi jamaniiii? Hata nikitaka mara 100 per day sawa maana ni haki na hata yeye akitaka pia sawa
 
Kumbuka tendo la ndoa hufanywa na wanandoa nje ya hapo ni wale wazinzi na waasherati sijui unamaanisha lipi hapo?
 
Back
Top Bottom