Madhara ya kufanya tendo la ndoa hovyo hovyo!

Em ngoja kwanza... Unaongelea tendo la ndoa au ngono.
 
Chovya chovya tamu asikwambie mtu Mkuu.

Kwanza unakuwa na uzoefu mpana sana na kuwajua wanawake wa aina mbali mbali.

Mbali na utamu wa ngono liwe ni zoezi nzuri hivyo hufanya mwili uwe imara na fresh.

Ukiwa mtu wa kupitia kila mwanamke huwezi ukawa na stress za kimapenzi hata siku moja na utaishi maisha ya furaha siku zote.

Maana mwajuma akizingua unaenda kwa Sara, Sara nae akileta zengwe unaenda kwa jesca yani hakuna msongo wa mawazo.

Kuhusu kupata magonjwa ni kweli but it depends on how you dance brother. If you dance wisely, the chance of being infected with the diseases you have named there above is too low.
 
Pamoja na faraja unayojipa lkn usisahau Mungu ameweka siku moja ya hukumu
 
Leo naomba tuangalie madhara ya kufanya tendo la ndoa hovyo hovyo, nikisema hovyo hovyo nina maana ile tabia ya kutaka kuzini na kila mwanamke au mwanaume unayemtamani.
niliingia kwenye hii thread ili nijue unakusudia nini unaposema 'hovyo hovyo' . afadhari umefafanua mapema
 
Back
Top Bottom