Madhara ya kufanya tendo la ndoa hovyo hovyo!

Madhara ya kufanya tendo la ndoa hovyo hovyo!

Wana MMU habari za majukumu?

Leo naomba tuangalie madhara ya kufanya tendo la ndoa hovyo hovyo, nikisema hovyo hovyo nina maana ile tabia ya kutaka kuzini na kila mwanamke au mwanaume unayemtamani.

Kufanya tendo la ndoa na kila mwanamke au mwanaume kuna madhara mengi sana,Leo ntataja machache.

1. Hushusha heshima ya mtu husika.
Kufanya tendo la ndoa hovyo hovyo huitwa zinaa, zinaa husababisha mfanyaji aonekane ni mtu asiheshimika wala kuaminiwa na jamii.

2.Huharibu mahusiano kati ya mtu husika na Mungu.

3. Humuweka muhusika mbali na Mungu

4. Hujenga mazoea ya kutotulia na mwanamke au mwanaume mmoja hata baada ya kuoa au kuolewa.

5. Hupelekea kupata magonjwa ya zinaa kama vile ukimwi,gono , kaswende na kadharika.

6. Hupelekea mwili kuchoka na kuzeeka haraka.

Hayo ni baadhi tu ya madhara ya zinaa.

Geuka acha zinaa , mrudie Mungu wako.
Nahis point ya 2 na ya 3 ni kitu kimoja mkuu
 
Pamoja na faraja unayojipa lkn usisahau Mungu ameweka siku moja ya hukumu
Mungu ni mwenye Upendo,
mwingi wa rehema na huruma, hivyo natumai atanisame Mkuu.

Maana anatujua sana kuwa sisi siyo wakamilifu Kama alivyotuumba yeye mwenyewe.
 
Wana MMU habari za majukumu?

Leo naomba tuangalie madhara ya kufanya tendo la ndoa hovyo hovyo, nikisema hovyo hovyo nina maana ile tabia ya kutaka kuzini na kila mwanamke au mwanaume unayemtamani.

Kufanya tendo la ndoa na kila mwanamke au mwanaume kuna madhara mengi sana,Leo ntataja machache.

1. Hushusha heshima ya mtu husika.
Kufanya tendo la ndoa hovyo hovyo huitwa zinaa, zinaa husababisha mfanyaji aonekane ni mtu asiheshimika wala kuaminiwa na jamii.

2.Huharibu mahusiano kati ya mtu husika na Mungu.

3. Humuweka muhusika mbali na Mungu

4. Hujenga mazoea ya kutotulia na mwanamke au mwanaume mmoja hata baada ya kuoa au kuolewa.

5. Hupelekea kupata magonjwa ya zinaa kama vile ukimwi,gono , kaswende na kadharika.

6. Hupelekea mwili kuchoka na kuzeeka haraka.

Hayo ni baadhi tu ya madhara ya zinaa.

Geuka acha zinaa , mrudie Mungu wako.
Ur veri raiti mkuu watu watubu na kumgeukia Mungu
 
Namba 6 sio....angalia tafiti....ku sex mara kwa mara huufanya mwili kuwa imara...na kukuweka hali ya ujana....
Sio kweli aheri angekuwa ni mmoja tu tatizo leo huyu kesho yule kesho kutwa mwingine tena mnajiongezea minuksi na mapepo
 
Mchungaji unamakusudi da, sazingine mtumishi tunajipata tu maungoni mwa wenzetu sio kwa kupenda kwetu
 
Mchungaji unamakusudi da, sazingine mtumishi tunajipata tu maungoni mwa wenzetu sio kwa kupenda kwetu
Ndugu nisipo kwambia kosa lako wakati unapotea ntakuja kudaiwa siku ya mwisho ninachofanya hapa nikutimiza wajibu wangu ktk kufanya hivi wewe hutakuwa na sababu siku ile ikiwadia, cha muhimu kufanya kwa sasa ni kubadirika tu .
 
Sio kweli aheri angekuwa ni mmoja tu tatizo leo huyu kesho yule kesho kutwa mwingine tena mnajiongezea minuksi na mapepo
Kubadirisha wanawake au wanaume kuna athali nyingi kiroho sikuweza kuziweka hapa kwasababu huku watu wapo mwilini zaid hope siku moja naelezea kwa undani
 
Back
Top Bottom