Hayo maisha ya kutulia yako wapi, niache niishi maisha yangu.Hiyo silaha yako ni kwaajili ya wana ndoa na si kutumiwa hovyo hovyo
Hayo maisha ya kutulia yako wapi, niache niishi maisha yangu.Hiyo silaha yako ni kwaajili ya wana ndoa na si kutumiwa hovyo hovyo
Wala sijakuzuia ninacho Fanya hapa ni kukumbusha aina ya maisha uliyochagua haina mwisho mwemaHayo maisha ya kutulia yako wapi, niache niishi maisha yangu.
Hata akiongea huyo amejitoa kwa shetaniembu kaongee nao kule
Hakika mkuu upo very rightPia humsababishia muhusika hali yake ya kiroho kuvurugika sana,ikiwemo kupata mikosi n.k.
Kasome tena mkuu mleta hoja amefafanua vizuri tu acha kupotoshaKama nasex ovyo na mke wangu, what's wrong with that??
Sawa Cleopatra, lakini ninavyojua tendo la ngono huchangamsha mwili na akili, hufanya brain kuwa active and sharp.Kasome tena mkuu mleta hoja amefafanua vizuri tu acha kupotosha
Sawa Cleopatra, lakini ninavyojua tendo la ngono huchangamsha mwili na akili, hufanya brain kuwa active and sharp.Kasome tena mkuu mleta hoja amefafanua vizuri tu acha kupotosha
Uamuzi mzuri sana bwana wewe.Nimetetemeka......!
Ngoja nimrudie Muumba wangu, Maisha haya ni mafupi sana!
Eeeh Mola, nihurumie na unisamehe dhambi zangu zote..!
AMINA..!
Kwani kasema kusex na mkeo ni dhambi?Kama nasex ovyo na mke wangu, what's wrong with that??