Madhara ya kufanya mapenzi kinyume na maumbile

Madhara ya kufanya mapenzi kinyume na maumbile

Don't take it the way it tends to be perceived by others....
Mi napoteza wakati humu
..napenda kufurahi that's why
I reply shit basii tu kufurahiu [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji117] [emoji108] [emoji117] [emoji108]

Utazibuliwa chooo tuu hata kama hitaki
[emoji15] Duh, kaka unamitusi kama umesomea [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Binadamu wanakasumba ya kujaribu vile ambavyo vinazungumzwa sana au kukatazwa sana na hapo ndipo anguko lilipo.Kwakweli kama kuna laana kubwa basi ni hii na mpka sasa kuna baadhi ya familia zimepata watoto mashoga kwasababu ya ushenzi huu toka kwa wazazi wao,nivyema binadamu tukamrudia Mola/Mungu kwa kufanya yaliyosahihi.
 
Kwani aliyekuambia kuwa wenye heshima hawafukui Uvungu ni nani? Hapo ulipo pamoja na Kupovuka kote huku usikute Mkeo Watu wanampeleka sana tu Mombasa, Pemba na Lamu pasipo hata Wewe Mumewe kujua lolote na kimoyo moyo anakung'ong'a tu na kukuona bonge la POPOMA ULIYETUKUKA. Mimi Mtu akijipendekeza tu namfukua Uvungu bila hiyana.
Haya uliyoandika hayafanani kabsa na wewe , unajidharirisha jaribu kujistahi mwenyewe
 
Binadamu wanakasumba ya kujaribu vile ambavyo vinazungumzwa sana au kukatazwa sana na hapo ndipo anguko lilipo.Kwakweli kama kuna laana kubwa basi ni hii na mpka sasa kuna baadhi ya familia zimepata watoto mashoga kwasababu ya ushenzi huu toka kwa wazazi wao,nivyema binadamu tukamrudia Mola/Mungu kwa kufanya yaliyosahihi.
Hiyo kasumba Ndiyo inayowaliza
 
Kuna jamaa yangu yeye hasimamishagi kabisa, yaani jongoo wake hapandi mtungi ila cha ajabu akipewaga tigo na madada jongoo anazinguka aisee wanyama wengine bwana!
 
Kwani aliyekuambia kuwa wenye heshima hawafukui Uvungu ni nani? Hapo ulipo pamoja na Kupovuka kote huku usikute Mkeo Watu wanampeleka sana tu Mombasa, Pemba na Lamu pasipo hata Wewe Mumewe kujua lolote na kimoyo moyo anakung'ong'a tu na kukuona bonge la POPOMA ULIYETUKUKA. Mimi Mtu akijipendekeza tu namfukua Uvungu bila hiyana.
Uliousima vzr ujumbe wako kabla ya kupost? Kama Ndiyo basi sikuwa sahihi kukuwwka katika kundi la watu wenye heshima , nisamehe kwahilo ila kwa sasa nimekuelewa vyema kbsa
 
Mke au mume wa kutaka hii kitu sio kizuri kabisaa maana hii inakuwa nikizazi mpka kizazi kinalithi mwisho wa sku unashitukia umepata mtoto shoga lool inauma saana
Ni kweli kbsa ndugu lkn watu hufanya na kudhani ni fahari
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom