mchungaji7
Senior Member
- Feb 2, 2017
- 187
- 396
- Thread starter
- #21
Ndgu cha muhimu ni kuacha nukuu ya biblia kwa jukwaa hili hairuhisiwi itahamishiwa jukwaa la diniMchungaji mwema n yule anayewatunza kondoo wake kwa kuwapa Chakula na maji. Lakini mchungaji huyu huwa hawapi kondoo wake Chakula wala maji Bali anaishia kuwapa harufu ya Chakula.
Mchungaji unapotaja Biblia kuhusu jambo flani hakikisha unatupa na neno linatoka wapi katika vitabu vya biblia. Hii inasaidia kukazia neno na hata watu wazidi kuamini