Madhara ya kufanya mapenzi kinyume na maumbile

Madhara ya kufanya mapenzi kinyume na maumbile

Tatizo wanawake ndo wanaopenda wengine unastukia umewekewa upande wa pili sasa utafanyeje maana yy bila kukunwa kule haridhiki
 
Wana MMU habarini za mihangaiko ya maisha!

Tumshukuru Mungu kwa pamoja kutukirimia afya na uzima.

Niende kwenye mada moja kwa moja.

Ktk michezo michafu yenye kuleta dharau na yenye machukizo mbele za Mungu na wanadamu basi mchezo wa kuruka ukuta, wengine wanauita Tigo lkn Mimi nauita mapenzi kinyume na maumbile

Biblia umeutaja huo ushenzi kwa jina lake halisi, kuna sehemu inasema wafilaji hawataingia mbinguni.

Yafuatayo ni madhara ya anayetendo tendo hilo.

Anafanya machukizo mbele za Mungu.
Anajidhalilisha
Anajiharibu kisaikolojia
Hatataka kufanya kwenye maumbile yaliruhusiwa
Atapata madhara kadhaa ya kiafya.

Yafuatayo ni madhara atakayopata mtendewaji.

Anafanya machukizo mbele za Mungu
Anajidharirisha
Anajiharibu kisaikolojia
Hataweza kuacha
Break za haja kubwa zitakatika
Kwa wanawake atapata ugonjwa wa festura


Michezo huu ni mchafu na Mungu anauchukia sana ndiyo sababisho la miji ya sodoma na gomora kutekezwa.

Badirika acha mchezo mchafu.
Afu unakuta mtu kazoea unamuoa alfu anataka umgeuzee ndo anasikia raha ila duuh dunia imeharibika
 
Pamoja na kuonekana una heshima jf bado unaweza supoti ujinga wa na nama hii?

Kwani aliyekuambia kuwa wenye heshima hawafukui Uvungu ni nani? Hapo ulipo pamoja na Kupovuka kote huku usikute Mkeo Watu wanampeleka sana tu Mombasa, Pemba na Lamu pasipo hata Wewe Mumewe kujua lolote na kimoyo moyo anakung'ong'a tu na kukuona bonge la POPOMA ULIYETUKUKA. Mimi Mtu akijipendekeza tu namfukua Uvungu bila hiyana.
 
Back
Top Bottom