Madhara ya kufanya mapenzi kinyume na maumbile

Madhara ya kufanya mapenzi kinyume na maumbile

Kwa mfiraji kuna uwezekano mkubwa wa kuziba mirija ya kibofu na vilevile kuiua tezi dume kabisa kwa kuisababishia maambukizi hatarishi. Unaweza pia kupata cancer ya tezi dume
 
Inasikitisha sana...

Hicho ni kitendo cha kinyama... Madhara yake hayafurahishi hata kidogo, kiafya na psychologically ni mbaya sana...
Ni jambo baya sana... kwa mwanaume anayefanya na kwa mwanamke anayefanyiwa...
Kwa mwanamume hizo tabia anaweza kuzihamishia mpaka kwa mwanaume wenzake au wanyama...

Kwa mwanamke madhara yake ni kwenye kuzaa na hata kushindwa kuwa na brake pale anaposhikwa na haja kubwa...

cc: mahondaw
 
Haya uliyoandika hayafanani kabsa na wewe , unajidharirisha jaribu kujistahi mwenyewe

Bora Mimi muwazi kuliko Wewe Mnafiiki. Hivi ni nani humu JF anaweza akaielezea tabia ya Mtu Kiuhalisia tu kwa Kigezo cha Kuangalia tu posts zake? Sikujuwa kuwa kumbe Wapumbavu bado mpo Jamvini. Yaani unamuhukumu Mtu ambaye mnajuana tu kupitia interactions zenu kisha una conclude kuwa anajidhalilisha au muhuni? Ndiyo nauchukia Uafrika wangu kwani ni Kielelezo Kikuu cha Watu hopeless on earth. Endelea tu hivyo hivyo Kujidanganya ukidhani hayo unayoyasema yanafanana na Mimi ila ukweli wa WHO IS GENTAMYCINE hasa niwapo tu humu JF naujua mwenyewe.
 
Uliousima vzr ujumbe wako kabla ya kupost? Kama Ndiyo basi sikuwa sahihi kukuwwka katika kundi la watu wenye heshima , nisamehe kwahilo ila kwa sasa nimekuelewa vyema kbsa

Nakushauri usipoteze muda wako na Mimi kwani haupo moyoni mwangu na huna uwezo wa kunijua in and out hivyo lawama zako hizi Kwangu naona ni muendelezo tu ule ule wa Upumbavu ambao nilianza kuuona Kwako mapema tu. Hivi logically tu interactions za Mtu humu zinaweza kuwa justification ya tabia au mienendo halisi ya Mhusika? Sasa kama jambo dogo tu kama hili linakushinda kuling'amua utaweza kweli kuujua uhalisia wa GENTAMYCINE kama ulivyokuwa ukisadiki?
 
Habari wana Jamii Forum.
Juzi katika matembezi yangu Katika mkoa flani (jina kapuni) nilikutana na demu mzuri kweli kuanzia umbo hadi sura.Tukakubaliana kwenda kugegedana.Cha ajabu wakati tunafanya Kile kitu yule mwanamke akata niingize dushelele langu kwenye (anus) yake kitu kilichonishutua kwa kweli.Kusema kweli sikuweza kufanya vile na sijawahi kufikiria kufanya ivyo .
Sasa naomba kujua madhara yatokanayo na MTU / Wapenzi kufanya mapenzi kinyume na maumbile.Madhara kwa Mwanaume na Mwanamke pia.Nawasilisha.
 
"hukutaka na hujawahi fikiria kufanya hivyo"...kwanini??? nadhani jibu unalo mwenyewe...
 
Kuna ongezeko kubwa sana la wanawake kuingiliwa kinyume na maumbile…nini tatizo?????

Je wanaume hulazimisha???

Au wanawake huridhia wenyewe????
 
Hao wanawake wanaoingiliwa kinyume na maumbile uliwaona wapi??
 
Ni laana
Wanawake hutaka na wanaume hutak na kupenda zaid hadi kuwasapot
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom