Lutala
JF-Expert Member
- Jun 17, 2010
- 848
- 103
Waungwana kwa muda mrefu nimekuwa nikijiuliza na kutopata jibu. Leo hii naomba mnisaidie jibu.
Mara kwa mara nisomapo habari kuhusu ubakaji (siyo kuwa nashabikia vitendo hivyo) waandishi humalizia kwa kusema kytokana na kitendo hicho mbakwaji ameumia vibaya sehemu za siri.
Hivi ni kweli kila anayebakwa ni lazima aumie vibaya sehemu za siri? Au ndo imekuwa dhana yakinifu (stereotype) katika kuandika?
Kwani kama angekubali kwa ridhaa yake asingeumia vibaya? Naombeni munielimishe katiaka hili.
Nawasilisha