MO11
JF-Expert Member
- Mar 23, 2014
- 18,857
- 38,605
mimi pia nilikua mfuasi wake ninakiri
yupo act unaweza ukamfuata nyie ndio wafuasi wa watu badala ya sera nzuri za chama jembe Zitto akifa leo utamfuata hadi kaburini ?
mimi pia nilikua mfuasi wake ninakiri
Haya ni maneno tu hata kwenye kanga yapo
Haya ni maneno tu hata kwenye kanga yapo
Amesema atakuwa wa mwisho kuondoka chadema.
Ukiona hivyo ujue wanakupuuza na hoja zako za kipunguani.Adui anaponichagulia silaha,shame Mchange,hivi Mods mbona kila nikimchana Msaliti Zito mnaficha uzi,au ni sehemu ya mkakati
Mkuu, kuna watu wanadhani kuwa mawazo yao hata kama ni mabaya basi yaachwe tu
Ukiona hivyo ujue wanakupuuza na hoja zako za kipunguani.
Ukiona hivyo ujue wanakupuuza na hoja zako za kipunguani.
kwa hiyo tufanyaje ?
uongozi apewe nani?
au tuwarudishe wakoloni ?
Adui anaponichagulia silaha,shame Mchange,hivi Mods mbona kila nikimchana Msaliti Zito mnaficha uzi,au ni sehemu ya mkakati
Nadhani wewe ndiye mpuuzi,kama zito ni wamaana mpeleke kwenye chama chako,na huo mpasuko unaukuza wewe tu,haupo,chadema is still one.wamekuona mpuuzi wanakupuuza tu
Kiukweli CHADEMA imepasuka vipande vipande, imemeguka, imeyumba na imeporomoka japo wanachama wake na washabiki na viongozi wanakana ukweli huu. kwa sasa CHADEMA haisisimui wala haina tena mvuto kwa watanzania.
Imedharaulika.
Hivi Zitto angekuwa hana mgogoro na CHADEMA leo hii wakati chama kipo kwenye uchaguzi wa ndani, wakati kuna mgogoro wa katiba mpya, wakati vyama vya upinzani vimeungana, hali ingekuwaje??
Nawashauri CHADEMA wayamalize na Zitto kama NCCR walivomalizana na Kafulila kwa maslahi mapana ya Taifa na demokrasia nchini.
Au wanasubiri uchaguzi ndani ya CHADEMA uishe ndio wayamalize?
mpuuzi ni wewe unayemtumikia huyo mganga njaa zitto,sisi tulishampuuza zamani baada ya kukubali kutumiwa na ccm kuvuruga mabadiliko ya kweli!wamekuona mpuuzi wanakupuuza tu
CHADEMA kimeyumba sana kutokana na mgogoro na Zitto Kabwe
mimi pia nilikua mfuasi wake ninakiri
Wakiyamaliza sasa hivi, KABWE anakuwa Mwenyekiti Taifa