Zitto Kabwe: Nilipokuwa nina mgogoro ndani ya Chadema Membe alinihurumia akataka kunipa Ubalozi wa Ujerumani!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,004
142,036
KC wa ACT Wazalendo Zitto Kabwe amesema wakati akiwa na mgogoro ndani ya Chadema huku ajitafakari kuanzisha chama mzee Membe alimwita akamwambia asihangaike Ubalozi wa Ujerumani uko wazi ataongea na Kikwete Ili amteue awe Balozi Wetu nchini Ujerumani

Source: Mwanahalisi Digital
 
Ampe ubalozi wa Ujerumani? Alikuwa na mamlaka gani ya kuteuwa wakati alikuwa waziri tu?
 
Kumbe Membe alikuwa fala tu kama falas wengine anagawa vyeo kama demu wa uswahilini na k yake

USSR

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ampe ubalozi wa Ujerumani? Alikuwa na mamlaka gani ya kuteuwa wakati alikuwa waziri tu?
Si amesema angeongea na JK.
Nape anasema Kachero ndo alimwombea UDC masasi.
Umesahau mama alisema huko serikalini Kuna Magodfather?
Nchii hii bila Godfather hutoboi.
Waitaliano wanamsemo mmoja""
Dunia ni ngumu Sana ndo maana mtu anatakiwa awe na ma baba wawili, baba mzazi na Godfather""
 
KC wa ACT Wazalendo Zitto Kabwe amesema wakati akiwa na mgogoro ndani ya Chadema huku ajitafakari kuanzisha chama mzee Membe alimwita akamwambia asihangaike Ubalozi wa Ujerumani uko wazi ataongea na Kikwete Ili amteue awe Balozi Wetu nchini Ujerumani

Source: Mwanahalisi Digital
Inaonyesha madai ya CHADEMA kuwa Zitto alikuwa msaliti akitoa siri kwa serikali ya CCM hayana ubishi wowote. Huyu Zitto kuwa karibu kiasi kile na kachero mkuu wa serikali ilimaanisha kuwa siri za CHADEMA moja kwa moja aliziwasilisha. Na msaliti ni msaliti tuuuu. Membe alipokaribishwa na Zitto ndani ya ACT Wazalendo ili agombee uraia hakusita kumkana na kumsapoti Tundu Lissu ambaye ndiye alitangaza rasmi kuisha kwa uanachama wa Zitto ndani ya CHADEMA.
 
Back
Top Bottom