Madhara ndani ya CHADEMA baada ya mgogoro na Zitto Kabwe

Madhara ndani ya CHADEMA baada ya mgogoro na Zitto Kabwe

comment nyingi kweli lakini zote ni upuuzi mtupu.. pole sana...tumia kichwa kufikiri sio kufuga chawa

Wewe Unayetoka kujiesaidia Msalani kama huyo mwenzano alafu unakuja kuwahi kwenye keyboard bila kunawa ndio unaleta Harufu na Ukakasi huku ndani. Shirikisha kichwa kufikiri siyo sehemu Yamakaliyo kufikiri
 
adui anaponichagulia silaha,shame mchange,hivi mods mbona kila nikimchana msaliti zito mnaficha uzi,au ni sehemu ya mkakati

ukiandika ishu yoyote inayohusu zitto jamaa huwa wanatoa na huu ndio kitu kinachouifanya jamii forum kuwa kama blog ya udaku please jirekebisheni am very sorry kuwa wazi sana

zitto anaandamwa kwasababu ya ujinga wake kwa waacheni watu watoe madukuduku yao then wakichoka wataacha
 
Wewe Unayetoka kujiesaidia Msalani kama huyo mwenzano alafu unakuja kuwahi kwenye keyboard bila kunawa ndio unaleta Harufu na Ukakasi huku ndani. Shirikisha kichwa kufikiri siyo sehemu Yamakaliyo kufikiri

Nikweli na ndio Maana wengine wanakuja huku ndani bila hata kunawa uso

[h=2]rudi kwenye mada acha kuweweseka kama kuku anayetaka kutaga

Madhara ndani ya CHADEMA baada ya mgogoro na Zitto Kabwe[/h]
Kiukweli CHADEMA imepasuka vipande vipande, imemeguka, imeyumba na imeporomoka japo wanachama wake na washabiki na viongozi wanakana ukweli huu. kwa sasa CHADEMA haisisimui wala haina tena mvuto kwa watanzania.​
 
Sina Hoja kweli Maana mimi namagamba ni Mbali mbali kweli

[h=2]Madhara ndani ya CHADEMA baada ya mgogoro na Zitto Kabwe[/h]
Kiukweli CHADEMA imepasuka vipande vipande, imemeguka, imeyumba na imeporomoka japo wanachama wake na washabiki na viongozi wanakana ukweli huu. kwa sasa CHADEMA haisisimui wala haina tena mvuto kwa watanzania.​
 
rudi kwenye mada acha kuweweseka kama kuku anayetaka kutaga

Madhara ndani ya CHADEMA baada ya mgogoro na Zitto Kabwe


Kiukweli CHADEMA imepasuka vipande vipande, imemeguka, imeyumba na imeporomoka japo wanachama wake na washabiki na viongozi wanakana ukweli huu. kwa sasa CHADEMA haisisimui wala haina tena mvuto kwa watanzania.​

Tokalini wewe ukaona Mpango wa Mungu ukapasuka vipande vipande Unajua Ukishakua na Damu ya kifisadi wewe ni fisadi tu Mpaka mwisho
 
Tundulissu alishawi kukubali live kupitia kipindi DAKIKA45 kuwa tangu wajaribu kumfukuza Zitto chama kinapita katika wakati mgumu na kiko kwenye mgogoro kwa kuwa Zitto ana wafuasi wengi chadema..

mimi pia nilikua mfuasi wake ninakiri
 
Zito hana nafasi tena CHADEMA.Alichopanda ndicho alichovuna!.Msaliti ni mtu hatari sana,hata kwenye familia.

Zitto alikusaliti nini? Umelishwa propaganda na akina sa8 na yeriko mpaka umeziamini, muda uliolishwa propaganda ni mdogo mno ukilinganisha na muda uliomjua zitto, ghafla umechange naona akili zako umezifanya kama sponji, maana sponji ukiiweka kwenye mavi yenyewe inafyonza, ukiiweka kwenye mikojo yenyewe imo tu ukiiweka kwenye maji safi imo tu haichagui.

By the way hata huo uchaguzi mmefanya kwa kujihami. Siku hizi naona hamjiiti tena makamanda sijui mmepatwa na nini
 
Back
Top Bottom