Madhara ndani ya CHADEMA baada ya mgogoro na Zitto Kabwe

Madhara ndani ya CHADEMA baada ya mgogoro na Zitto Kabwe

Hata mm wadau! Suala la kumtimua zito sikuliafiki coz hata ccm wanamigogoro ndan ya chama na ukinzani wa mawazo lakini hata siku moja hutasikia wanatatua migogoro yao kwa kufukuza watu uanachama. Lazima watazidi kuyumba yao chadema tu:hadi wajisahihishe
kwani masoor wa zanzibar alikuwa wa chama gani?
 
Kiukweli CHADEMA imepasuka vipande vipande, imemeguka, imeyumba na imeporomoka japo wanachama wake na washabiki na viongozi wanakana ukweli huu. kwa sasa CHADEMA haisisimui wala haina tena mvuto kwa watanzania.

Imedharaulika.

Hivi Zitto angekuwa hana mgogoro na CHADEMA leo hii wakati chama kipo kwenye uchaguzi wa ndani, wakati kuna mgogoro wa katiba mpya, wakati vyama vya upinzani vimeungana, hali ingekuwaje??

Nawashauri CHADEMA wayamalize na Zitto kama NCCR walivomalizana na Kafulila kwa maslahi mapana ya Taifa na demokrasia nchini.

Au wanasubiri uchaguzi ndani ya CHADEMA uishe ndio wayamalize?

malizana nae hukohuko chumbani. Chadema hatumhtaji hata mwishoni?
 
Mbona ccm ndio mnaionea huruma chadema? Huruma hii imeanza lini? Kweli ccm kimepata pigo kubwa

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom