controler
JF-Expert Member
- Jul 3, 2012
- 1,562
- 361
[h=2]Madhara ndani ya CHADEMA baada ya mgogoro na Zitto Kabwe[/h]Kiukweli CHADEMA imepasuka vipande vipande, imemeguka, imeyumba na imeporomoka japo wanachama wake na washabiki na viongozi wanakana ukweli huu. kwa sasa CHADEMA haisisimui wala haina tena mvuto kwa watanzania.
Ha ha ha ha ha. Kwako ni lini ilikuwa na mvuto.? Mbona kila siku unasema haivutii ever since. Nyie watu bana Rostam aliwachana live. Siasa uchwara.