Arnold Ringo
JF-Expert Member
- Jan 23, 2014
- 2,318
- 394
Tundulissu alishawi kukubali live kupitia kipindi DAKIKA45 kuwa tangu wajaribu kumfukuza Zitto chama kinapita katika wakati mgumu na kiko kwenye mgogoro kwa kuwa Zitto ana wafuasi wengi chadema..
Nafikiri hiyo Radio yako au TV yako watangazani wako studio za hapo Lumumba