mcubic
JF-Expert Member
- Mar 3, 2011
- 10,310
- 6,548
Adui anaponichagulia silaha,shame Mchange,hivi Mods mbona kila nikimchana Msaliti Zito mnaficha uzi,au ni sehemu ya mkakati
Hatembelei tena JF siku hizi...so it is meaningless
Adui anaponichagulia silaha,shame Mchange,hivi Mods mbona kila nikimchana Msaliti Zito mnaficha uzi,au ni sehemu ya mkakati
kiukweli chadema imepasuka vipande vipande, imemeguka, imeyumba na imeporomoka japo wanachama wake na washabiki na viongozi wanakana ukweli huu. kwa sasa chadema haisisimui wala haina tena mvuto kwa watanzania. imedharaulika.
Hivi Zitto angekuwa hana mgogoro na chadema leo hii wakati chama kipo kwenye uchaguzi wa ndani, wakati kuna mgogoro wa katiba mpya, wakati vyama vya upinzani vimeungana, hali ingekuwaje??
Nawashauri chadema wayamalize na zitto kama NCCR walivomalizana na kafulila kwa maslahi mapana ya taifa na demokrasia nchini. au wanasubiri uchaguzi ndani ya chadema uishe ndio wayamalize??
Asisahau tu kuwagawia vyeo marafiki zake. Kinyume cha hapo yatakuwa yaleyale ya chademaZitto anakwenda act huko atafanya chama chenye nguvu kuliko cdm
amewakaba koo hampumui. mkimkumbuka mnasikia haja kubwaZitto anakwenda act huko atafanya chama chenye nguvu kuliko cdm
tatizo la zitto ana akili kuliko hata mwenyekiti wake ndio mana. angekuwa zezeta kama nyie misukule wala haya yasingemkuta
Kwani wewe unajuaje kwamba hatembelei JF?Hatembelei tena JF siku hizi...so it is meaningless
mkuu naomba namba ya huyu msichana kwenye avator yakoAsisahau tu kuwagawia vyeo marafiki zake. Kinyume cha hapo yatakuwa yaleyale ya chadema
amewakaba koo hampumui. mkimkumbuka mnasikia haja kubwa
wewe ni msukule wa mboweMisukule ipo hapo Lumumba ambayo siku ikiachiwa kutoka kwenye hivyo vibuyo hapo wanatoa ukakazi mbaya sana kama leo ulivyoachiwa wewe
Zitto anakwenda act huko atafanya chama chenye nguvu kuliko cdm
Mmmmh! Umeacha kujadili na sasa umeanza kutafuta wachumba? Muhimu uwe muoaji tu na si mchombezajimkuu naomba namba ya huyu msichana kwenye avator yako
Hakuna woga tanzania hakuna siasa ... ni njaa tu yanawasukuma
Huo ndo uhalisiakwa hiyo unasema kuwa Vijana wachadema na viongozi zao wako kimaslai zaidi?
Kwani wewe unajuaje kwamba hatembelei JF?
wewe ni msukule wa mbowe
Chadema imebaki jina tu. Zito ndio alikuwa anashikilia uhai wa chadema
Mke mwenzangu, sijui umeandika nini? Fafsnua basi tuelewe dhamira yako