Madereva wanaoendesha magari aina ya Subaru na Alteza

Bora madereva wa Subaru kuliko wa IST hawa jamaa ni mapepe barabaran sijui shida Yao ni nini..
Madereva wa IST hawajiamini barabaran wao muda wote ni ku-overtake bila kuangalia nyuma na mbele
Nilichogundua madereva wa ist wengi wao ni washamba na hawajui magari,kuna siku nikakaona ka ist eti kanataka kuleta ligi na subaru legacy kitu kina twin turbo,binafsi nikajiuliza huyu mwenye ist anajua magari kweli πŸ€”
 
Umri wao wengi ni kati ya 25-35 yrs, walioko above hapo wachache sana humiliki gari za vurugu kama hizi.

Kati yao, mabishoo ndio wengi ila wastaarabu ni wachache kuanzia mavazi mpaka uendeshaji.
Mnatuone wivu tu hamna loloteπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Tena Turbo
Sina turbo ila wa stock subaru namkalisha πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ mchawi nusu tank tu hamna rangi ataacha ona hapo highway.

Haiwezekani mtuchukulie kinyonge nyonge tu kisa hatuna show off!
 

nimecheka
nikikuona tu unastail za ivyo kuna vitu nakuwa nakukataa sababu if we hang together utaniharibia status na reputation yangu nlioijenga for a very long time
 
Wanajionaga wana gari kali zaidi ya lile la Mkurugenzi wa Geita.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…