Madereva wanaoendesha magari aina ya Subaru na Alteza

Bora madereva wa Subaru kuliko wa IST hawa jamaa ni mapepe barabaran sijui shida Yao ni nini..
Madereva wa IST hawajiamini barabaran wao muda wote ni ku-overtake bila kuangalia nyuma na mbele
Nilichogundua madereva wa ist wengi wao ni washamba na hawajui magari,kuna siku nikakaona ka ist eti kanataka kuleta ligi na subaru legacy kitu kina twin turbo,binafsi nikajiuliza huyu mwenye ist anajua magari kweli 🤔
 
Umri wao wengi ni kati ya 25-35 yrs, walioko above hapo wachache sana humiliki gari za vurugu kama hizi.

Kati yao, mabishoo ndio wengi ila wastaarabu ni wachache kuanzia mavazi mpaka uendeshaji.
Mnatuone wivu tu hamna lolote😀😀😀
 
Ni kweli Mkuu kuwa gari ni gari tu lakini kuna gari zinahitaji kuendana na status ama heshima ya mtu ktk jamii.

Ni kama vile kusema mavazi ni mavazi tuu, kisha mtu mzima mwenye staha ukavaa tight jeans zile za kuchanwa chanwa, micheni mikubwa mikubwa na mapete vidole vyote kumi..

Hii lazima jamii ikuchulie kitofauti sana..

nimecheka nikikuona tu unastail za ivyo kuna vitu nakuwa nakukataa sababu if we hang together utaniharibia status na reputation yangu nlioijenga for a very long time
 
Umetusahau sisi tunaoendesha Subaru Impreza kwenye WRC- Play Station 4


1608689755351.png
 
UMOFIA KWENU!

Uzi huu ni maalum kwa ajili ya kupata maoni au mtizamo wa jamii kwa namna inavyowachukulia madereva wanoendesha magari aina ya SUBARU na ALTEZA hapa Tz.

Kwa kuanzia, mimi binafsi nawaona wengi wao kuwa ni:

1 - Vijana wa kiume
2 - Wanaendesha kwa 'rafu' sana.
3 - Over speeding hata kama anapokwenda ni karibu ama haparuhusu over speed
4 - Wapo arrogant/wakorofi/ hawanaga ustaarabu
5 - Wanapenda sana 'Ligi' za barabarani
6 - Wanapenda sana starehe/ kujirusha
7 etc...

Hayo ni kwa mtizamo wangu. Ukitoa mtizamo wako pia tunaweza kuwasaidia wachache ambao ni wasikivu wakabadilika, kupunguza ajali za barabarani na kuleta ustawi kwa jamii.

NAWASILISHA
Wanajionaga wana gari kali zaidi ya lile la Mkurugenzi wa Geita.
 
8 Reactions
Reply
Back
Top Bottom