Wakuu kuna sehem ningependa ku share.
a)Dereva wa Kike,awe anajua kuonge Kiingereza
Majukum ni kubeba watalii,ndani ya jiji la Dar,mfano,kutoa Hotel,kwenda
Bandarini,au kwenda Airport kwa mfumo kama huo.
b)Reservation Officer/Desk attendant
Hapa Kiingereza,atakuwa trained Zanzibar ili aweze kuijua vizuri wakati
wa kuwashauri wageni.
Hii hapa gari unaweza kufundishwa then ukawa na majukum ya ziada
Nafasi hizo haziangalii kidato,hata kama Darasa la Saba muhim kigezo ni
Kiingereza Tu,maana mengine utawekwa Field
b)Nafasi Nyingine,hii kiingereza sio lazima,maana anachukua watoto
kutoka Nyumbani kwenda Shuleni na kuwarejesha
Halafu weka kiwango cha mshahara unachotaka ili wakujadili.
Mjumbe hauwawi