Madereva wa Alteza, Subaru na Cruser V8 wakikutana na huu mkeka wa Zambia... Lazma tairi lichomoke

26169917_321609668326909_4192658413194107432_n.jpg
Endelea kutembelea dunia mkuu inaonekana hujakutana na mkeka bado.
 
Hapo hakuna cha teza wala nini...

Baja 250 nitakuwa nakanyagia moshi wa tairi...tairi haligusi chini.
 
Hizo ndio umeona gari zenye spidi zaidi hapa bongo? Asilimia 90 ya hizo ulizotaja spidi yake mwisho 180km/h ambayo ni ya kawaida sana, cruising speed!! Barabara za lami zilizonyooka vizuri zaidi ya hiyo uliyoona wewe zipo karibu kila mkoa Tanzania..Ukiwa na gari nzuri BMW, Mercedes, Audi, Range etc unawezakimbia hata 250km/h au zaidi..
 
Ukitaka kuona mkeka mzuri na kuona kifo kipo mbele Endesha kutoka kondoa kwenda Arusha.. Ike barabara itawatoa wengi roho.
Mkuu hivi ile ya dom-arusha via kondoa ilishakamilika? Kumbe mie bwege huwa nazungukia singida-katesh-babati!
 
Halafu ukute LABDA barabara ya hivyo ijengwe Tz, na wale ndugu zetu manesi wa barabarani wasimame na mitochi yao barabarani!!! Period!
 
Back
Top Bottom