Madereva wa Alteza, Subaru na Cruser V8 wakikutana na huu mkeka wa Zambia... Lazma tairi lichomoke

Mkuu upo Wa Mwanza to musoma ni balaa tupu
Wee jamaa acha uongo barabara ipo ovyo sana mwanza -musoma, sehemu yanye mkeka tena mfupi ni kuanzia pale kwenye mizani ya geti la Serengeti hadi unakaribia bunda ,ila sehemu zingine hatari tupu
 
Two lanes high way Tanzania hakuna kutoka mkoa to mkoa , ya morogoro road inaishia kimara mwisho kama si mbezi, kuanzia hapo ni uchochoro. .. Barabara zetu ni uchochoro
 
26169917_321609668326909_4192658413194107432_n.jpg
Na vitz yangu hapo hammikamati
 
Back
Top Bottom