Tabutupu
JF-Expert Member
- Nov 26, 2010
- 13,111
- 18,327
Nimeongea na kijana hapa dereva wa bajaji ananiambia huwa anapeleka mke na mume kuchepuka guest kwa wakati tofauti na hakuna anayejua mwenzake anachepuka.
Anasema mke huwa anaenda kuchepuka mchana kuanzia saa 5 asubuhi wakati mume yupo kazini.. na weekend mume hutumia dereva huyo huyo kwenda kuchepuka guest nyingine.
Mume hajui kama mkewe anachepuka na mkewe hajui kama mume anachepuka ila huyu dereva ana mkanda mzima.
Ndoa zina mambo mengi sema muda mchache.
Sent using Jamii Forums mobile app