Mwanamke unajisikiaje kutunza siri ya kuzaaa na mwaume ambaye sio mume wako?

sportstore

JF-Expert Member
Apr 5, 2023
454
1,609
Haya mambo nilikuwa nayasikia sana kwenye media kuwa watu wanaenda kupima DNA na kukuta watoto sio wao ila sasa naona live.

It's true, story ya watu niliowaona na kuwafahamu. Story yenyewe ni kwamba; kuna mwanaume ana mke wake wa ndoa, sasa amechepuka nje ya ndoa na kuzaa na mke wa mtu mtoto mmoja na kwa taarifa sahihi kabisa huyo mume anayegongewa mke hajui kabisa kuwa huyo mtoto anayelea sio wake! Hwanaume anayekula mke wa mtu anajua kabisa mtoto huyo ni wake.

Sasa swali langu ni kuwa, huyo mwanamke anajihisi vipi ndani ya nafsi yake anapotunza siri hiyo?

Je, nafsi yake haimsuti au huwa roho yake ikoje?
 
Kuna jamaa baada ya kugundua mkewe kamzalia mtoto wa nje ya ndoa, aliamua kujifanya hajagundua... Uamuzi aliouchukua ULINIFURAHISHA SANA, maana story za chini chini zinasema kuna sumu fulani jamaa alimuwekea mkewe kwenye chakula Mwaka wa 5 sasa mwanamke yupo kitandan hawez kuamka wala kujisaidia anaoza na kutoka vidonda... Jamaa alimuacha huyo mkewe akachukua watoto wote hadi yule wa nje ya ndoa... Mwanamke kapelekwa kila hospital ila wanasema hawajui aina ya ugonjwa...
 
Angesamehe au kumuacha tuu, hayo mengine hayafai kibinadamu
 
Kuna jamaa baada ya kugundua mkewe kamzalia mtoto wa nje ya ndoa, aliamua kujifanya hajagundua... Uamuzi aliouchukua ULINIFURAHISHA SANA, maana story za chini chini zinasema kuna sumu fulani jamaa alimuwekea mkewe kwenye chakula Mwaka wa 5 sasa mwanamke yupo kitandan hawez kuamka wala kujisaidia anaoza na kutoka vidonda... Jamaa alimuacha huyo mkewe akachukua watoto wote hadi yule wa nje ya ndoa... Mwanamke kapelekwa kila hospital ila wanasema hawajui aina ya ugonjwa...
Dah hii yote ya nini, loh hata shetani hajafikia hii level bado
Inaumiza sana ila, unamuacha tuu kiroho safi, unaanza maisha mengine wanawake wapo wa kutosha sanaaaaa
 
Kuna jamaa baada ya kugundua mkewe kamzalia mtoto wa nje ya ndoa, aliamua kujifanya hajagundua... Uamuzi aliouchukua ULINIFURAHISHA SANA, maana story za chini chini zinasema kuna sumu fulani jamaa alimuwekea mkewe kwenye chakula Mwaka wa 5 sasa mwanamke yupo kitandan hawez kuamka wala kujisaidia anaoza na kutoka vidonda... Jamaa alimuacha huyo mkewe akachukua watoto wote hadi yule wa nje ya ndoa... Mwanamke kapelekwa kila hospital ila wanasema hawajui aina ya ugonjwa...
Baadhi ya Binadamu Ni watu wa ajabu Sana.... Kwa hiyo unafurahia huyo mwanamke anavyooza na kutoka vidonda.... Then inakuongezea nini katika maisha yako? Nimekuja kugundua baadhi ya Binadamu Ni wabaya zaidi ya fisi mla watu....
 
Kuna jamaa baada ya kugundua mkewe kamzalia mtoto wa nje ya ndoa, aliamua kujifanya hajagundua... Uamuzi aliouchukua ULINIFURAHISHA SANA, maana story za chini chini zinasema kuna sumu fulani jamaa alimuwekea mkewe kwenye chakula Mwaka wa 5 sasa mwanamke yupo kitandan hawez kuamka wala kujisaidia anaoza na kutoka vidonda... Jamaa alimuacha huyo mkewe akachukua watoto wote hadi yule wa nje ya ndoa... Mwanamke kapelekwa kila hospital ila wanasema hawajui aina ya ugonjwa...
Mbona katumia njia ngumu sana kwanza hata yeye mwenyewe anateseka kwenda hospital kila kukicha kwa sababu hawezi mwacha ateseke peke yake watamshtukia. Kiufupi uyo jamaa ni chenga atawekea sumu wangapi mana wanawake wenyewe ndio hawa chenga tupu.

Sent from my vivo 2015 using JamiiForums mobile app
 
ZINAA ni DHAMBI yenye MADHARA mengi na MAGONJWA mengi sana kuliko dhambi nyingine

Hapo tegemea kuishia kuwa na watu wenye stress, magomvi, mauaji, panyaroad, upweke, kukataliwa, msongo wa mawazo nk
Na magonjwa ya presha, vidonda vya tumbo, sukari, Hepatitis B, ukimwi, kaswende, gonorrhea nk
 
Kuna jamaa baada ya kugundua mkewe kamzalia mtoto wa nje ya ndoa, aliamua kujifanya hajagundua... Uamuzi aliouchukua ULINIFURAHISHA SANA, maana story za chini chini zinasema kuna sumu fulani jamaa alimuwekea mkewe kwenye chakula Mwaka wa 5 sasa mwanamke yupo kitandan hawez kuamka wala kujisaidia anaoza na kutoka vidonda... Jamaa alimuacha huyo mkewe akachukua watoto wote hadi yule wa nje ya ndoa... Mwanamke kapelekwa kila hospital ila wanasema hawajui aina ya ugonjwa...
Kakufurahisha Kwa huu unyama?
Angekuwa dada yako ungesema haya?
 
Kuna jamaa baada ya kugundua mkewe kamzalia mtoto wa nje ya ndoa, aliamua kujifanya hajagundua... Uamuzi aliouchukua ULINIFURAHISHA SANA, maana story za chini chini zinasema kuna sumu fulani jamaa alimuwekea mkewe kwenye chakula Mwaka wa 5 sasa mwanamke yupo kitandan hawez kuamka wala kujisaidia anaoza na kutoka vidonda... Jamaa alimuacha huyo mkewe akachukua watoto wote hadi yule wa nje ya ndoa... Mwanamke kapelekwa kila hospital ila wanasema hawajui aina ya ugonjwa...

Dhambi yote ya nini? Piga chini endelea na maisha mengine.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom