profftobe
JF-Expert Member
- Sep 12, 2017
- 906
- 929
Sidhani. Kinyume cha haya uliyoandika ndiyo sahihi. Yaani attitudes na personalities ni vi-components vinavyo changanywa pamoja ili kupata integrity ya mtu husika. Yaani integrity ni kubwa kuliko attitudes na personality. Kwa maana ya kwamba kila mtu aishiye ana personality na attitudes lakini siyo wote tuna qualify kuitwa integrity people. Maana ya hii ni kwamba siyo kila personality au attitudes zina-qualify kuingia kwenye set elements zinazotengeneza integrity ya mtu. Kama ni negative attitudes au negative personalities kamwe asimfanyi huyo mtu husika kuwa person of integrity, never.Personality ni kubwa kuliko attitude na integrity maana personality ndo inayo kutambulisha wewe ni Nani. Hizo attitudes, integrity ni moja kati ya attributes nyingi ambazo zaweza kuwa ndani ya personality ( I mean zinabebwa na personality na zinaweza zisiwe permanent /zaweza kubadilika with time)
Nimekuwekea dissertation ya mtu hapa kwenye attachment, inayohusiana na haya tunayojadiri. Ukipata nafasi/mda pitia walao page 47 kidogo kwa ufafanuzi zaidi.